Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,043
Wenzio wamesha piga mahela hawana mda.
WAPI MAMA TERI
Mama Teri yupo mkuu juzi kati kawakandia watu wanaosema kashafulia.
Huyu mama alizidiwa kete ma Salma wa 'mtoto wa mwenzio ni wako' huu msimu angefika mbali na hivi Janeth zake ni kufua na kupika tu ila thubutuu jiwe lazima limpige [emoji23]