Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,955
Matango pori uliyolishwa na hawa watu hayajakutosha, na sasa unataka tena?
Hakuna mtu namkubali kwa ubabaishaji kama Ndodi
D9 iliwaacha watu hoi,tena wengine wenye heshima ndani ya jamii.Walipigwa halafu wakakaa kimyaaa kama vile hakikutokea kitu.Wengine tuliwaasa baada ya kuona Serikali ya Rwanda kuanza kuchukua hatua ya kuwafyekelea mbali,wajanja hao wa kutafuta Fedha walituona wengine tu wajinga hatujui kutafuta fedha,lakini kilichokuja kutokea ilikuwa aibu.Utapeli wao ni kama Deci au D9. Muda ukifika na wameishapata pesa wanasepa kiana.
Ndodi sasa karithi kitambi cha John Komba. Dawa zake mwenyewe hazimsaidii tena.
Kuna alinichukia sana lakini mwishowe million zake 7 zimekwenda na majiD9 iliwaacha watu hoi,tena wengine wenye heshima ndani ya jamii.Walipigwa halafu wakakaa kimyaaa kama vile hakikutokea kitu.Wengine tuliwaasa baada ya kuona Serikali ya Rwanda kuanza kuchukua hatua ya kuwafyekelea mbali,wajanja hao wa kutafuta Fedha walituona wengine tu wajinga hatujui kutafuta fedha,lakini kilichokuja kutokea ilikuwa aibu.
Umemtaja the late kombaUtapeli wao ni kama Deci au D9. Muda ukifika na wameishapata pesa wanasepa kiana.
Ndodi sasa karithi kitambi cha John Komba. Dawa zake mwenyewe hazimsaidii tena.
HahahahaKajamaaa kalikuwa kasanii kipindi watu walikuwa hawajui kama sio kasomi ila kamekariri majarida ya kisabato.. Basi akipigiwa simu na kuulizwa amipata wapi elimu hito na wengine waitafute alikuwa anaishia kubwabwaja hadithi zake za matunda tu.
Kapfo momrassaWajinga ndo waliwao
Usinikumbushe machungu, kuna watu walikopa hela nyingi, baada ya kupigwa wakaamua kimpeleka mwanzilishi wa hapa bongo mahakamani walls za uso!!D9 iliwaacha watu hoi,tena wengine wenye heshima ndani ya jamii.Walipigwa halafu wakakaa kimyaaa kama vile hakikutokea kitu.Wengine tuliwaasa baada ya kuona Serikali ya Rwanda kuanza kuchukua hatua ya kuwafyekelea mbali,wajanja hao wa kutafuta Fedha walituona wengine tu wajinga hatujui kutafuta fedha,lakini kilichokuja kutokea ilikuwa aibu.
Huu ndio ukweli kwa 100%Ila tukubali tukatae NDODI ndo Founding Father wa kina Dokta Mwaka na Sigwa Clinic...
Ndo mwasisi wao...madhani Dokta mwaka akiulizwa atasema role model wake ni Dokta Ndodi
Sasa hivi huyo mjinga Ndodi katulia tu anakula penseni yake huku akicheki vijana kina Dokta Mwaka wanavyoiendeleza tasnia hiyo ya Utabibu Ubabaishaji....Huu ndio ukweli kwa 100%
Dodi au Ndodi?Una maanisha Dkt dodi amekuwa tukunyema.
Hahah halafu wasabato wanamuaminia kichiz,kuna mwana ameoa msabato akiumwa kichwa tu utasikia mkewe anamwambia kunywa chai yenye tangawizi nyingii na mchamchai sijui nini mshikaji inabidi anywee panadol zake kwny gari huko.Sasa hivi huyo mjinga Ndodi katulia tu anakula penseni yake huku akicheki vijana kina Dokta Mwaka wanavyoiendeleza tasnia hiyo ya Utabibu Ubabaishaji....
Haha sijawai kumuona tena...Hahah halafu wasabato wanamuaminia kichiz,kuna mwana ameoa msabato akiumwa kichwa tu utasikia mkewe anamwambia kunywa chai yenye tangawizi nyingii na mchamchai sijui nini mshikaji inabidi anywee panadol zake kwny gari huko.
Kuna siku nilikutana na ndodi mtaani aisee kile kitambi chake ni balaa sana,pressure/sukari haimuachi pale.
Ila tukubali tukatae NDODI ndo Founding Father wa kina Dokta Mwaka na Sigwa Clinic...
Ndo mwasisi wao...nadhani Dokta mwaka akiulizwa atasema role model wake ni Dokta Ndodi