Yuko wapi tabibu Isaack Ndodi, Jk Buberwa na dkt Rahabu

Utapeli wao ni kama Deci au D9. Muda ukifika na wameishapata pesa wanasepa kiana.
Ndodi sasa karithi kitambi cha John Komba. Dawa zake mwenyewe hazimsaidii tena.
Hakuna kitu....kipindi hicho alikuwa na njaa...hicho kitambi ni pesa za watanzania wajinga alizowatapeli ..
 
Ila tukubali tukatae NDODI ndo Founding Father wa kina Dokta Mwaka na Sigwa Clinic...

Ndo mwasisi wao...nadhani Dokta mwaka akiulizwa atasema role model wake ni Dokta Ndodi
Inaonekana sheria zinazuia kwa sasa kujitangaza na kupiga promo kama nyakati zile.
Huyo ndodi anafanyia shughuli zake nyumbani kwake ingawa pia inaonekana hana wateja kivile inaonekana ila anaweza kuwa anatafuta fursa kwingine nje ya bongo.
 
Ila unakiri kua ndo MUASISI wao?
nimewahi kuongea nae akasema hao wakina rahabu aliwafundisha yeye, na wengine wengi tu.
Ingawa na Yeye anamkubali mdau mmoja yuko nyuma ya ubungo plaza nadhani na yeye alijifulia pale kuongeza ujuzi.
Ila ndodi anasoma sana, lzm ajitofautishe na wengine kiueledi.

Ila zile dawa kwa utafiti wangu ni kweli zinasaidia ila sio kwa Muda mfupi kama wanavyojinadi, na huwa wanaongeza chumvi kidogo kuzipigia promo.
Mwenyewe kwenye home library ninavitabu vya mambo hayo, mambo mengine huwa nayamalizia home tu bila kwenda hata hospital.
mfano kimoja kinaitwa Natural Health Encyclopedia kinauzwa 150K Tsh.
 
So Unauza icho kitabu 150k? Punguza 140k nije kuchukua kama viwili basi
 
unaweza kuagiza amazon utapata kwa bei ya chini zaidi.
unaweza kwenda kwenye maduka ya vitabu SDA vinapatikana. Kama uko DSM nenda pale Mwenge au Ilala opposite na soko kuna duka pale pembeni ya kanisa.

wale jamaa wanasoma, na kuhadithia watanzania wanasiopenda kusoma.
Kuna kimoja '' health and strong'' kama unafamilia ni bomba sana kwa afya ya mtoto na mama mjamzito na vyakula gani ale na kwa nini.
 
Aah asante sana...nilikua nakupima tu nijue na ww kama ulikua unafaka ufanye biashara ya chap chap.

Ila hujakiri kua Ndodi na MUASISI wao. Mpe credits zake amadeserve
 
B19i9bdXkTS.jpg

cc stanley mit
 
Aah asante sana...nilikua nakupima tu nijue na ww kama ulikua unafaka ufanye biashara ya chap chap.

Ila hujakiri kua Ndodi na MUASISI wao. Mpe credits zake amadeserve
pamoja mkuu. mambo ya chapchap sio ya kuyakimbilia. mara nyingi huwa yanafanya watu wafikiri baada ya kutenda, na kuishia kulaumu watu hovyo badala ya kujilaumu wao kufanya unconscious decision au emotional decision.
 
Mkuu weka nyama kidogo basi unajua tena enzi za Ndodi

Alikua anajikweza vp
Alikua anasema ndani ya chupa yenye kinywaji cha coca cola ukiweka msumari ndani ya siku kadhaa utakuta msumari umeyeyuka au kama choo chako kimejaa mwaga coca mambo yote yanajiflash na hapo ndipo utajua ukali wa coca cola mwilini mwako teh teh
 
Alivuka mipaka itakua
 
Hao hao wenye coca ndio wenye media unadhani wangemfanya nini boss?

Na yeye ndodi ndiye aliyeanzisha msemo eti ukinywa chupa 1 ya bia ni sawasawa na umekula chapati 7 nadhani(yani wanga unaokula kwny bia 1 ni balaa)
Hahah jamaa alikua na kamba sana...na kwakua wajinga ni wengi na wanaamini basi wafanyabiashara lazima wapate jamba jamba
 
Hahah kwenye hilo alifanikiwa sana,baadae akasema ukipiga bao 1 kwny ngono ni sawasawa na mtu aliyekimbia kilometre 10 na ngapi huko,teh the guy alikua ni comedian yule.
 
Back
Top Bottom