Kuna jamaa yangu waliuza nyumba ya urithi wakagawana pesa fresh. Jamaa akaonja mwanamke wa kimakonde. Eh bwana we. Jamaa alihamia kwa huyu mwanamke huku kaacha mke wake na watoto 4 mita hamsini tu toka kwake. Tulifanya kila juhudi anatusikiliza lkn akitoka kwenye kikao break ya kwanza kwa mmakonde Hadi hela zote zilipoisha mmakonde kamtupia nguo zake nje.Tena wamakonde ni wanafiki sana, staki kabisa hata ukaribu nao, ndo hao hao akina harmonize
Yupo mwingine kijana mdogo tu anaduka na mke na watoto.
Utani utani akamuonja mwanamke wa kimakonde mwenye miaka 60 plus. Heh kufumba na kutumbua mapenzi yakanoga mpaka jamaa akajivhanganya wakafunga ndoa ya kiislam. Ndugu zake wskachachamaa wakasema hawataki huo ujinga. Mwanamke wa kimakonde akasema haachiki hivi hivi lazima wagawane Mali.Wapambe wa serikali za mitaa wakauliza Kama Kuna ndoa wakaambiwa ipo. Huwezi kuamini nyumba ya jamaa iligawiwa Kati Kati vyumba vitatu huku na vitatu kule mpaka uani. Jamaa kabaki na upande wenye frem ya duka. Ukuta Kati Kati, mpaka hii asubuhi kigagula kinaishi kwenye hiyo nyumba. Hakina mtoto Wala mjukuu Wala ndugu Wala msaidizi. Hakija wahi kuzaa.