Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,096
Nimepata hizi taarifa nikashtuka sana maana mwaka huu tumefululiza matukio mabaya mno kwa watu mashuhuri.
Taarifa zinaeleza kuwa mzee wetu amekimbizwa Ujerumani kwa matibabu na hali yake hairidhishi.
Nadhani kwa sababu mzee Lowassa ni Public Figure, kuna haja ya umma kufahamishwa kama anaumwa. Si lazima kutajiwa maradhi yake in particular.
PS: Naomba sana tusijadili maradhi yake. Tuhoji tu ili kama anapambania afya yake, taifa zima tumuweke kwenye sala na maombi.