Yuko wapi kijana mtanashati January Makamba?

Yuko wapi kijana mtanashati January Makamba?

his silence is for the best. Nothing good ever comes out of the guy's mouth other than hypocrisy and butt kissing for positions. He is not banned, he was just dismayed by the position given to him, given all the confidence he had of being offered a major ministry. Rumours had it that he had even planned for his cabinet as he was certain of being the premier only to be dumped in a very trivial ministry.

Jamalm335,
To me January Makamba under this dictatorship government of JPM is banned and doomed for ever!
In most cases weak presidents always chose weak and loyal personnel under them in order to control them starting with the PM and all Ministers! They do fear challenges from their surbodinates!
That's what JPM have done in his 5th reign of terror!
Just try to compare Majaliwa the incumbent PM and Minister Makamba and see their differences. Makamba is much better than Majaliwa 1000 times!!!!
 
Zinapita siku, wiki, miezi na hata mwaka unaisha sasa bila kumwona au kumsikia Kijana Machachari na makini Januari Makamba katika duru hizi za siasa ya awamu ya tano.
Kwa wanaomtambua Makamba wanaelewa uwezo wake wa kucheza na siasa za Tanzania kama alivyo Lowassa enzi za ujana wake. Ni kijana ambaye hutulia pale ambapo hupatwa na misukosuko ya kisiasa na kujipanga upyaa. Pamoja na kwamba mimi ni moja ya watu wasioipenda CCM lakini Makamba ni hazina safi ambayo hata ukienda upinzani utampata mmoja au wawili wanaofanana naee.

Nakumbuka sote tulioshiriki katika uchaguzi wa mwaka jana tulivyo ona mipango ya ushindi wa Magufuli chini ya kijana huyu. Lakini sijui kimetokea nini mpaka kijana huyu machachari kupotezwa kwenye siasa na kutuipwa wizara mfu.

Niseme wazi kwamba pamoja na figisufigisu za kijana huyu mwaka jana lakini ni Hazina pekee ya mipango iliyosalia CCM. Hakuna kijana ambaye unaweza mfananisha na Makamba ndani ya CCM leo, sio Mwigulu wala Kigwangala. Huwezi msikia Makamba katika mihemko na mwendokasi wa hovyohovyo.
Najua wengi wanamlaumu Makamba kwa Bomoabomoa ya mabondeni ilivyofanyika, lakini ukweli ni kwamba bomoa bomoa ile ilifanywa na Lukuvi na Majaliwa.

Magufuli ameshindwa kumtumia Kijana huyu katika wizara kubwa hapa nchini na hii ndio inawezakuwa sababua kuyumba kwa serikali yake. Makamba alipaswa kuwa wizara ya Mambo ya nje au Waziri Mkuu.

Je huu ni mwanzo wa kufifia kwa Makamba katika siasa?
Makamba alikosa nini hasa kwa mtukufu Rais mpaka akapewa wizara ile?

Is makamba political Banned???

Karibuni kwenye mjadalaa, matusi, vijembe, hekima na busara ni haki yako, sio uchochezi.

Nakuomba ubadili hilo jina na hio picha ndugu ina effect katika spiritual life ndugu plse badili kama unaweza, ''Dont tempt devil to tempt you plse''
 
He was aiming high but he harvested little. Ni sawa NA kutegemea utapata Division 1 kwenye pepa kisha ukapata 4 au HATA Division 5. Halafu Wajinga Wajinga ambao darasani walikuwa mburula wamrpata 1,2. Kipanga wa darasa uliyekuwa unamkosoa hadi maalimu darasani umepata Div 5. Hiki ndicho kinachomuuna J Y M
 
Makamba hakuwahi kuwa wa manufaa kwa taifa lake unahiri wake wote ilikuwa ni kufanikisha....... ya wachache.
 
Hiyo wizara aliyopo akiropoka tuu kawasha moto bara na visiwani after law serikali ya kazi tuu iko zaidi kujikita kijeshi na kiiterejensia so makamba kaambiwa awe mpole kwanza ndio atapunguza wapinzani wake wa ugombea.
 
Zinapita siku, wiki, miezi na hata mwaka unaisha sasa bila kumwona au kumsikia Kijana Machachari na makini Januari Makamba katika duru hizi za siasa ya awamu ya tano.
Kwa wanaomtambua Makamba wanaelewa uwezo wake wa kucheza na siasa za Tanzania kama alivyo Lowassa enzi za ujana wake. Ni kijana ambaye hutulia pale ambapo hupatwa na misukosuko ya kisiasa na kujipanga upyaa. Pamoja na kwamba mimi ni moja ya watu wasioipenda CCM lakini Makamba ni hazina safi ambayo hata ukienda upinzani utampata mmoja au wawili wanaofanana naee.

Nakumbuka sote tulioshiriki katika uchaguzi wa mwaka jana tulivyo ona mipango ya ushindi wa Magufuli chini ya kijana huyu. Lakini sijui kimetokea nini mpaka kijana huyu machachari kupotezwa kwenye siasa na kutuipwa wizara mfu.

Niseme wazi kwamba pamoja na figisufigisu za kijana huyu mwaka jana lakini ni Hazina pekee ya mipango iliyosalia CCM. Hakuna kijana ambaye unaweza mfananisha na Makamba ndani ya CCM leo, sio Mwigulu wala Kigwangala. Huwezi msikia Makamba katika mihemko na mwendokasi wa hovyohovyo.
Najua wengi wanamlaumu Makamba kwa Bomoabomoa ya mabondeni ilivyofanyika, lakini ukweli ni kwamba bomoa bomoa ile ilifanywa na Lukuvi na Majaliwa.

Magufuli ameshindwa kumtumia Kijana huyu katika wizara kubwa hapa nchini na hii ndio inawezakuwa sababua kuyumba kwa serikali yake. Makamba alipaswa kuwa wizara ya Mambo ya nje au Waziri Mkuu.

Je huu ni mwanzo wa kufifia kwa Makamba katika siasa?
Makamba alikosa nini hasa kwa mtukufu Rais mpaka akapewa wizara ile?

Is makamba political Banned???

Karibuni kwenye mjadalaa, matusi, vijembe, hekima na busara ni haki yako, sio uchochezi.
Wakati wa kampeni alizipiga bilion 1.7 zote peke yake kwa visingizio kuwa kazitumia kwenye propaganda za kumchafua Lowasa na Ukawa , magufuli hakutaka kumpa uwaziri mpaka alipopewa shinikizo na JK na kinana kwani wanajua bila kamati yake ya ufundi, uchakachuaji na maujanja na Fitna CCM wasingeingia ikulu , wizara ya muungano kuna Pesa nyingi za mazingira, kero za muungano nk huko Pesa unakula bila mtu kukushitukia ndiyo maana yeye anaipenda hiyo wizara bajeti ya kero za muungano ni ulaji kwani kero zipo na haziishi lakini Pesa unatoka na kupigwa , kumbuka Yule mzungu mtaliano anamdai Dola milion moja , Dili la sugu alimpora, magufuli anamjua vyema hata huko alipo kaamua kufumba macho vinginevyo January alipaswa awe nje kabsa .
 
Hiyo wizara aliyopo akiropoka tuu kawasha moto bara na visiwani after law serikali ya kazi tuu iko zaidi kujikita kijeshi na kiiterejensia so makamba kaambiwa awe mpole kwanza ndio atapunguza wapinzani wake wa ugombea.
January ni Mzee wa fursa mfano sasa hii issue ya UKUTA tayari kachukua Pesa kwa ajili ya kuwachonganisha ukawa , kule Zanzibar kipindi cha uchaguzi alipiga Pesa ndefu kwa ajili ya uchakachuaji , yy popote alipo anapiga Dili hata angekuwa waziri wa kivuli angepiga Pesa .
 
Hata katibu mkuu wa chama Magufuli kagoma.?
Endapo kama January angekuwa waziri mkuu basi mh.rais angefeli sana kwa kuwa falsafa za makamba haziendani na za magufuli hata kidogo.Ila alimsaidia sana Magufuli kufika alipofika leo na Magufuli amejihisi kuwa hatokuwa mbora wa fadhila asimpomteua,ila naye magufuli kama kalazimishwa vile kwa teuzi ya January na Mosses wa Nape.?
Hao aliwateua kwa shinikizo la JK na kinana lakini magufuli binafsi hawakubali moyoni .
 
makamba bora akae kimya kwani anawindwa sana ila namsifu ni mwanastrategia mzuri sana
 
his silence is for the best. Nothing good ever comes out of the guy's mouth other than hypocrisy and butt kissing for positions. He is not banned, he was just dismayed by the position given to him, given all the confidence he had of being offered a major ministry. Rumours had it that he had even planned for his cabinet as he was certain of being the premier only to be dumped in a very trivial ministry.
Wasiokupenda wanapojitokeza Mchana KWEUPE peeeee!
 
Jamaa ni mjanja mjanja so katika Government hii haitaki UJANJAUJANJA
Nakumbuka Jimboni kwake hakukuwa na kura hata moja iliyokosewa kuanzia diwani, Mbunge mpaka Rais.

Alifanya kaz kubwa ya ku hack matokeo na Mkurugenz wake Lakin yote bure.

Ngosha hatak Janja Janja ya MUJINI
 
makamba bora akae kimya kwani anawindwa sana ila namsifu ni mwanastrategia mzuri sana
Makamba hana tatizo lolote na Magufuli. Kaamua tu kupunguza maneno ya watu kwa stahili hii ila anapiga kazi sana wizarani kwake.
 
Makamba si doomed

Kwanza boss wake 'hampendi'...

pili ana maadui wengi ndani na nje ya ccm

Mtu pekee wa kumsaidia alikuwa JK....
Na mbaya zaidi kuna kipindi alimkashifu JK kwa kuponda staili yake ya uongozi.
 
Pia tusisahau role aliyo Play Mange Kimambi na yule Muitaliano.
Asipo pata ushauri mzuri anaweza kupata stress, depression due to lonelness na anaweza kugeukia Pombe. Mwishowe ata pata Parkinson diseases kama EL.
 
Kwenye Chama Chetu Makamba ni nguzo kuu ya mipango. Yule jamaa ni smart sana... Mara zote anajua anachofanya!

Kukaa kwake kimya kunanifanya niendelee kuamini kwamba yuko makini sana kisiasa! Hafungamani na style yoyote wala hali za dharura kirahisi-hafuati mkumbo! The guy is well focused with own Modus Operandi...

Anafanana sana kitabia na Zitto Kabwe na ni akili kubwa pekee zinazowaelewa hawa jamaa.

Natamani sana kuwa smart kama January Makamba. He is my roll model!

Mark Hilary
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom