Asante kwa kuniqout na kujibu kistaalabila nipende kusema kuwa kijna huyu ni moja kati ya watu ambao ni mastermind kwa kupanga ni jinsi gani ya kuharibu na listokee lolote umastermind wake hauko kulisaidia taifa bali ni kupiga mailston za kwake yeye mwenye ama na kikund kidogo cha watu wake. Kuwepo kwake kwenye list ya uncle Magu ni nguvu za chama na si uncle mwenyewe. So fara dogo Janja anabaki kuwa lonly maana ile kariba ya watu kama yeye hakuna.
Niliposema hana hana sifa ulizozta nilimaanisha background hujui alichokuwa anakifanya dogo Janja