January ameamua kuondoka/kuchukua likizo kwenye social media zote na hali ya kisiasa kwa sasa inahitaji young voices kama zake. January ni dame changa na naamini kuwa kuna vijana wengi ambao wangependa kusoma na kumsikiza kwenye hafla na mikutano mbali mbali akizungumzia mambo mbalimbali na hususan hali ya kisiasa nchini. As things stand, this country is poised on the brink of a choice between the dangers of authoritarianism, tranny and its historic commitment to dissent. It is essential that the latter prevails. Lakini this can only work if the likes of you come out and speak out.
Tunakuomba Janauary jitokeze tupate maoni yako juu ya maendeleo na mustabkali wa nchi yetu hapa tulipo, tunakokwenda na athari zake kisiasa, kijamii na kiuchumi katika zama hizi za 1984.
Tafadhali January we need you now than ever. Vijana kama akina Aidan Eyakuze wamejitokeza na kutoa maoni yao, akina Zitto na wengine (japo sijaona vijana wanawake kama akina Maria Sarong na wengineo kujitokeza). The bottom line ni kuwa in this era of tyranny the likes of you keeping silent doesn't help this nation. Una demographic (the silent majority) kubwa sana yuma yako mkuu jitokeze ongea na wanafunzi vyuo vikuuu, tembelea media houses, do interviews, write think pieces bring back the good old idealistic January.