Yuko wapi kijana mtanashati January Makamba?

Huyu Waziri tangu ateuliwe na Mh Rais kwenye nafasi binafsi sijawahi kumuona kabisa akifanya ziara za kikazi kama moja ya majukumu yake,zaidi amekua akionekana Naibu wake Mh Luhaha Mpina. Kama amekua akifanya hivyo basi itakua kimya kimya.

Mmh,hata kama ni kuonena kwenye media lakini binafsi naona kuna tofauti kubwa na wakati ule wa awamu ya nne akiwa kama Naibu waziri wizara ta Mawasiluana,sayansi na teknolojia wakati huo na wakati huu.Sijui ofisini kwake majukumu yanakwenda vipi lakini nafkiri ndiye Waziri pekee aliye kimya kuliko wote.
 
Yupo instagram we kamfollow utaona post zake na mapicha picha kibaaaaaooo usiyoyaelewa
 
Wanasiasa wote wameathirika na kukosekana kwa matangazo ya bunge.
Natarajia wabunge wengi na mawaziri kuanguka katika uchaguzi wa 2020.
 
Huyu Waziri tangu ateuliwe na Mh Rais kwenye nafasi binafsi sijawahi kumuona kabisa akifanya ziara za kikazi kama moja ya majukumu yake,zaidi amekua akionekana Naibu wake Mh Luhaha Mpina. Kama amekua akifanya hivyo basi itakua kimya kimya.

Mmh,hata kama ni kuonena kwenye media lakini binafsi naona kuna tofauti kubwa na wakati ule wa awamu ya nne akiwa kama Naibu waziri wizara ta Mawasiluana,sayansi na teknolojia wakati huo na wakati huu.Sijui ofisini kwake majukumu yanakwenda vipi lakini nafkiri ndiye Waziri pekee aliye kimya kuliko wote.
Yupo kimya akula pesa zile zinazotengwa kwa ajili ya kutataua kero za muungano, kumbuka kero zipo, hazijawahi kupungua licha ya bunge kupitisha pesa kila mwaka, pia anakula pesa zilizotengwa kw ajili ya kuidhoofisha CUF kupitia kwa Lipumba na wenzake, yeye ni mjanja kamwacha Naibu waziri auze Sura huku yeye akipiga michongo ya hapa na pale ikiwemo ile ya vibali vya sukari, tambua yy hupenya wizara yeyote akiona fursa.
 
Politics is the dirty game... alipigwa za kolomeo, ndo anaugulia maumivu sasa.
Dili haachi mda wote anasaka Dili, kwa sasa anakula kimya kimya kwa sababu wizara ya muungano ina pesa nyingi zikiwemo za mazingira, kero, na pesa kwa ajili ya shughuri mbalimbali Zanzibar, watu wengi hawaifuatilii hiyo wizara ndiyo maana inakuwa rahisi mtu kula kimya kimya pasipo kujulikana.
 
Yupo kimya akula pesa zile zinazotengwa kwa ajili ya kutataua kero za muungano, kumbuka kero zipo, hazijawahi kupungua licha ya bunge kupitisha pesa kila mwaka, pia anakula pesa zilizotengwa kw ajili ya kuidhoofisha CUF kupitia kwa Lipumba na wenzake, yeye ni mjanja kamwacha Naibu waziri auze Sura huku yeye akipiga michongo ya hapa na pale ikiwemo ile ya vibali vya sukari, tambua yy hupenya wizara yeyote akiona fursa.
Una undugu na Mkuu funza
 
Huyu Waziri tangu ateuliwe na Mh Rais kwenye nafasi binafsi sijawahi kumuona kabisa akifanya ziara za kikazi kama moja ya majukumu yake,zaidi amekua akionekana Naibu wake Mh Luhaha Mpina. Kama amekua akifanya hivyo basi itakua kimya kimya.

Mmh,hata kama ni kuonena kwenye media lakini binafsi naona kuna tofauti kubwa na wakati ule wa awamu ya nne akiwa kama Naibu waziri wizara ta Mawasiluana,sayansi na teknolojia wakati huo na wakati huu.Sijui ofisini kwake majukumu yanakwenda vipi lakini nafkiri ndiye Waziri pekee aliye kimya kuliko wote.
Yawezekana anapanga kikosi kazi cha 2020..

Nawaza tu lakini..
 
Wizara aliyopewa ni muhimu lakini kwake ni somo gumu kulielewa. Ilikuwa rahisi kupigania masrahi ya wasanii maana haihitaji shule, lakini hapo alipo, Dah! Itamchukuwa miaka 5 kabla hajaelewa tafsiri ya mazingira.
Unataka kusema ilitakiwa apewe scientist,na sivinginevyo.Kama ndio hivyo kwanini alikubali uteuzi,ukimia labda anasoma online Environmental Engineering.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom