Ghayo El Yehudi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 880
- 1,822
Wizzo ulipoteleaa wapiii??nipo
Yule pacha wake wakuitwa DIVISHENI FOO sijui alipotelea wapi.Bila shaka umemis story za vinyeo 🤣
Bichwa shabiki mkuu wa mitaa ya Kunduchinipo
Hao wakuu ni noma kwa contents zaoYule pacha wake wakuitwa DIVISHENI FOO sijui alipotelea wapi.
BICHWA KOMWE -Huyu member kitambo sana sijamuona Jf alikuwa mcheshi na anatoa madini sana sasa sijui kimemkuta nini natamani kujua BICHWA KOMWE -
secretarybird alikuwaga demu wake baada ya kumpora kutuka kwa Busu la Kenge
Cc : Fake P
Usiseme Hao sema Huyo.Hao wakuu ni noma kwa contents zao
dokta kwema?Daah DeepPond uko wapi Nigga ,itanilazimu kukutafuta madukani kwako ,najihisi hofu mdogo wangu
Mkuu BICHWA KOMWE -mambo kipenzi
wiz,o nilikuwa nalea ndoaWizzo ulipoteleaa wapiii??
😊☺️ Nafuatilia comment kwa ukaribu mkubwa sanaa.Daah DeepPond uko wapi Nigga ,itanilazimu kukutafuta madukani kwako ,najihisi hofu mdogo wangu
Mkuu BICHWA KOMWE -mambo kipenzi
Mkuu eti unatoa tope??wiz,o nilikuwa nalea ndoa
Kwema mbona wanazusha taharuki hawa vijana au wanataka nidondoke bar ?dokta kwema?
Ahaaa kaka sisteri tu huyu bwana😊☺️ Nafuatilia comment kwa ukaribu mkubwa sanaa.
Alilambwa na askari wa saa100!Huyu member kitambo sana sijamuona Jf alikuwa mcheshi na anatoa madini sana sasa sijui kimemkuta nini natamani kujua BICHWA KOMWE -
secretarybird alikuwaga demu wake baada ya kumpora kutuka kwa Busu la Kenge
Cc : Fake P