Yuko wapi Jasusi Bichwa Komwe ?

Yuko wapi Jasusi Bichwa Komwe ?

Mimi nakunywa peke angu sina KAMPANI ya MUPE MURUKE. .MUPE MURUKE.

Hapa nimejitundikia drip ya konyagiiii ☺️
Niliapa mwaka huu na mimi nitakuwa na hiyo tabia ila shida zikinipanda kichwani kaka ,asipite mwanamke mbele yangu nitamnunulia chochote kikubwa akae na mimi alafu awe ananipa stori zake ,japo mwisho wa game uwa wananikimbia
 
Mshika wangu Emma yeye ni Tungi / amekaa sana machimboni mtu wa Tungi sanaa..

Kilicho mfanya awe hai mpaka Sasa Huwa sio mtu wa wanawake rafiki zake wengi sana wamefyekwa na miwaya..pombe huleta confidence na maamuzii
 
Miwaya inatisha sana ila tunajaribu kuikwepa kaka ,natembea na JIPIME zaidi ya tatu kwenye kibegi changu au kibriefcase si unajua tena .

Sikumbuki ni mara ya mwisho lini nilimpima dada wa bar nikamkuta na maambukizi ,hili sio jipya mjini maana hata viral load hushuka ikiwa yuko njema kubwia maharagwe vziuri na kwa wakati ila sasa nautolea wapi ujasiri wa kwenda kavu na ilihali wanaopitia changamoto hiyo nashinda nao mimi ,nawashauri mimi na zaidi kuwaunganisha na wenzi wao wa maisha ?

Inafikirisha sana ila tuendelee kuishi tu kikubwa tujilinde ili kukilinda kizazi chetu
 
Madini matupuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom