Yuko wapi Daniel Chongolo aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM?

Yuko wapi Danniel Chongolo aliyekuwa katibu mkuu wa CCM?
Yuko Songwe
1709979850503.png
 
Naona mmemuulizia na Mama Chapu amempa Ukuu wa Mkoa

Wanasema ukishakuwa kwenye circle yao, utaendelea kula vya Mezani hadi unakufa
 
Yupo mahali anakula kodi zako na kuchakata totoz wewe na njaa zako hangaika kumtafuta...
Mi natafutaga Hela na mademu wewe unatafuta wanaume wenzio ili iweje?
 
Nimemuona anapokea maboga kwa jamaa yake huko Njombe. Anasema Njombe nisalama atakae aende
Mi nampendaga sana, angekuwa mwislamu ningemkabidhi binti yangu amuoe. Very cool and calm man... Yani hababaishwiii hata bila siasa atauza maboga na viazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom