Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Papaa Mwinyi za_hela ,mkata mayenu na ndombolo si mpira! Atawaambukiza ebola ya mpira bure!
 
Reactions: Tui
Mnashindwa hata kwenda kuitazama timu yenu taifa ikicheza michezo ya kimataifa kwel Kama mnaiamini timu yenu kwanini mnashindwa kuujaza uwanja wa taifa kwa namna hiyo mnawezaje kuisaidia timu yenu kimapato kazi yenu tu kupiga porojo mitandano na kujigamba badilikeni.
 
Reactions: Tui
Hilo ni kweli mkuu, Jana tulikuwa wachache sana, sijui tunakwama wapi?
 
Mm nasema tena siwezi kumbeza kocha timu imejitaidi no matter what sio kama wale vibwenge walio kuwa wanacheza komborera kwenye Viwanja vya watu.
Upo sawa kabisa yanga hii ya ss kwanza wanapiga mpira wa kuvutia
Ni makosa madagomadogo yaliop kweny Tim ila yatakapo malizika sioni Tim yakutusumbua TPL msimu huu.
 
Hilo ni kweli mkuu, Jana tulikuwa wachache sana, sijui tunakwama wapi?
Kiwango kibovu watu hawawezi kujaa uwanjani...wachezaji wanatuangusha..mechi na Kariobang Sharks walitakiwa kushinda kwa kishindo..watu wangejaa jana
 
Bado sio sababu, simba walikua wanapigwa tano tano lakini bado walikua wanajaa uwanjani, kiufupi wananchi tumezingua.
Kiwango kibovu watu hawawezi kujaa uwanjani...wachezaji wanatuangusha..mechi na Kariobang Sharks walitakiwa kushinda kwa kishindo..watu wangejaa jana
 
Walikuwa kwenye TV kufatilia timu zao pendwa za EPL, Wazo lankizushi tff waweke screen pale taifa kuonesha zoka la epl ratiba ikigongana na mechi zetu, kama kwenye vibanda umiza unakuta screen hadi 3 mechi tofauti
 
tatizo uliangalia mpira ukiwa na vipimo vyako flani (gadiel mbaga hakupiga cross wala hakuwa na blocking za maana) ila siwez sema hakucheza vzr kisa kapombe alikuwa anapanda kupiga cross (wakati mwingine alikuwa ana sababisha mashambulizi kwa kuchelewa kurudi)


kwa mtazamo wangu ally ally alicheza vzr 80%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…