You left me but remember

You left me but remember

But the kujiua part ni UJINGAAA,e; acha kutuchekesha ahapa,unafkr we mwenyewe dunia nzima ndo unajua kupenda zaidi,IS SHE WORTH THE SACRIFICE??bora nife for my children,mom,dad,bros n sisters but sio a man aliyenitenda,hata km ni mume,JIPENDE KWANZA
 
Damnnn...this is sooo emotional had chozi lilitaka kushuka
jamani poleeeh...pole sana,maybe she still loves you,u never know,just give it a shot ujue what she thinks and give her time..
Always watu had mkawa na rlship muda flani,there smthing special about you two,

Mapenzi yana tafsiri tofauti tofauti kwa watu tofauti...ila hadi leo ule uyabisi unaoupata uwapo kwenye mahusiano committed sijui unatokea wapi hasa, nimempa chance, kwamba nitakuwa na safari ndefu sana kusubiri, kama akiwa mistreated nitampokea tena bila shuruti! Nakumbuka wakati tukifanya conversation jana nilikumbuka kumuuliza kama kweli aliyempata anampenda na ana strong feelings kwake kama nilivyokuwa mimi na jibu lake likawa ndiyo!
 
But the kujiua part ni UJINGAAA,e; acha kutuchekesha ahapa,unafkr we mwenyewe dunia nzima ndo unajua kupenda zaidi,IS SHE WORTH THE SACRIFICE??bora nife for my children,mom,dad,bros n sisters but sio a man aliyenitenda,hata km ni mume,JIPENDE KWANZA

Uuuuuuwiiiii....mama unanikumbusha machungu ujue... suala la kujiua si nimeshaprospond jamani!
 
Kupenda kupitiliza ni ugonjwa, ni ujinga, ni upuuzi....!!!!

Ujiue kisa binadamu mwenzako? Mungu alokuleta duniani ndo mwenye dhamana ya uhai wako, kujiua ni dhambi.

Wapo wanawake wengi, wenye haiba nzuri, endelea kuishi na utajionea, huyo Rose utamsahau...

Acha upuuzi, nyanyuka, jipanguse mavumbi alafu uendelee na safari ya maisha, utakutana na mrembo mwingine.... Ila usipende kijinga namna hiyo!!!!!!

wee hujawahi kupendwa hadi ukasema poo! ndo maana una take easy kila kitu, ila nakusamehe bure, yote namwachia Rozi....
 
Uuuuuuwiiiii....mama unanikumbusha machungu ujue... suala la kujiua si nimeshaprospond jamani!

ooh hapo sawa cjasoma thread yote,nliona nkupe a piece of my mind kwanza,uyo dada bwn move on,akitaka game na we kama unataka icheze,but km kashajicommit kwngne huna chako apo
 
Pole sana japo inauma hiyoo usiombe yakukute bwana basi lakini yupo wa kwako wala usikate tamaa mkuu mwache aende nina uhakika iko siku atakukumbuka
 
wee hujawahi kupendwa hadi ukasema poo! ndo maana una take easy kila kitu, ila nakusamehe bure, yote namwachia Rozi....

Na wala sitaki kupendwa kijinga hivyo.... huo ni ulimbukeni!!!!
Kama hakupendi tena wewe tuliza akili, kaa peke yako kwa mda, usiparamie mwanamke mwingine hadi akili ikae sawa then tafuta mwingine...

"Ati kupendwa hadi niombe poo" Nonsense!!!!
 
Wabongo bhana... kwani kucopy ni vibaya!!!!!? Au ndo vichuki visivo na sababu???

Kunakili wala hakuna ubaya wowote ule. Lakini unaponakili bila kusema umenakili kutoka kwa nani halafu upewe heko na hongera kana kwamba maandishi umeyaandika wewe, huo ni wizi na dunia unapigwa vita.
 
I see ...
 
Mapungufu niliyonayo aliyapenda tokea kwanza,ningebadilika ningeweza kumpoteza mapema so far ningeongeza/punguza ambacho hakukinote mwanzoni...sijalala hadi muda huu nasubiri maji ya kuchanganyia sumu yachemke nikoroge ninywe kabisa uuuw!

Pole, inaumiza sanakuachwa wakati bado unapenda. Maisha yana mabonde na milima ,na mapenzi ni sehemu ya maisha. Unaweza ukajiuliza au mtu akafikiri unamapungufu.Si lazima unaeachwa uwe na mapungufu. Huenda aliyeacha ndiye mwenye mapungufu,labda ya tamaa, labda yakutoridhika or so. Inauma lakini jipemoyo ili maisha yasonge mbele.Haina haja ya kukata tamaa, utampata anayekupenda unaempenda na masiha yakaendelea.Cheer up!
 
Poa mwana....na hawa Man u wanawapa watu presha tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom