You left me but remember

You left me but remember

Even if it is just a copy>paste.... but still i can imagine... the whole thing... this life sucks big time... /sometimes.
But who knows his/her destiny...?
Sometimes we may have to let go "the unforgettable", when we really run out of options.

"Every body f___ks up once in while in this life"
Be strong boy................ and try to FORGET..
 
Really damn your very serious

Ni siku nyingine tena naamka nikimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia uzima,binafsi nikushukuruni marafiki, na msiokuwa marafiki kwa kuwa michango yenu imeniingia vyema,na kwa waliokejeli pia nilijifunza jambo ndani ya kejeli zao, but all in all nawashukuru wote!

Kwa kuwa nimekuwa mshauri (somehow) kwa watu waliowahi kukubwa na maswahibu kama yangu,ama zaidi na wakaaply nilichowaambia then wakaishi happily life ever naomba niwe mfano as well...kama nilivyosema tokea awali ni kwamba maisha ni accumulation ya aspects nyingi,mapenzi yakiwa mojawapo ya aspects hizo, hivyo kuna maisha hata kama mapenzi hayapo kwa kuwa kabla hatujajifunza mapenzi life was still there!

Kwa kuwa limjazalo mtu liko kwenye nafsi yake nichukue fursa hii pia kumtakia maisha mema Rose, na kumwombea moyo wa huruma na kujali huyu mwanaume mwingine kwa kuwa kama ameweza kumconvice akaniacha akaenda kwake, na binti akawill hata kwenda kuwa introduced kwenye familia ina maana huyu bwana ana karama ambayo yumkini nimeshindwa kuifikia na ndiyo maana hata baada ya Rose kuondoka bada hajanichukia,amenifanya rafiki. Nadhani wakati wangu ukifika nitamwendea huyu bwana anifundishe njia aliyotumia ili akija mwingine nisifanye makosa niliyofanya akanitoroka tena. Kwa moyo mkunjufu nawapenda na sina kinyongo kwa kuwa natambua mapenzi hayalazimishwi!

Mwisho nitoe rai kwa wadogo zangu/ wakubwa zangu ambao hamjaanza kujihusisha na mahusiano ikiwemo wale waliojiwekea malengo kwanza kabla ya kuanza haya mambo kuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya kupenda na kupendwa, ni heri apendwaye kuliko apendaye ila amekamilika yule apendaye na kupendwa at the same time. Na ni vizuri wakati tukiingia kwenye hii taasisi ya kupendana tujue pia kuna tofauti kubwa kati urafiki, uchumba na ndoa. Ni vyema tukayapambanua haya mambo kwanzia awali ili kujiepusha na migogoro ya nafsi isiyokuwa ya lazima!
 
Kama ni kweli huyo sdiyo ameshaenda aseeeh".............

halafu hizo za kujiliza kitrue love kwa Kizazicha sasa unapotea kijana..........

kuwa kifikra kiume , wanawake wengine wapo.......
 
Tunawashukuru jf members walioshiriki katika igizo hili. Igizo lilikua maalumu kujiandaa ikiwa jukwaa litakumbwa na watu ambao wana suicidal ideation.
 
Kama unatokea Tegeta kuja Bunju, na una usafiri wako utapita kituo cha mafuta cha oil com kisha utaacha njia panda ya kwenda Mbeni JKT, 50 M mbele yako upande wa kushoto utaona Bar moja iliyoezekwa kwa makuti ambayo imepangwa kwa zone...kesho kikao hicho cha kamati nami nitahudhulia kwa kuwa kuna mechi ya Arsenal, nikishaangalia mpira ndo narudi nyumbani kujiua! Nitakuwa single,ila kuwa kwangu single haimaanishi sina mtu, ninaye huyu Rose, Mchumba wetu na jamaa ila for mean while nitakuwa nampenda secretly!

heheheee, nimeipenda hii... Kupendwa ndio huku jamani, jamaa kakubali kushare yaishe na hapo hapo anaenda jiua. Kaka Ukijiua utamshare vipi Rose wako?

Mbu Dark City
 
heheheee, nimeipenda hii... Kupendwa ndio huku jamani, jamaa kakubali kushare yaishe na hapo hapo anaenda jiua. Kaka Ukijua utamshare vipi Rose wako?

Mbu Dark City

Wait, nimesema hadi niangalie mpira wa Arsenal! Halafu hawa Man U wanavyoenda kwa mwendo wa kusua sua, wanaweza kuzidi kuniahirishia kujiua ili nione wanavyoshuka daraja msimu huu kisha nijiue ha ha haaaa!
 
Wait, nimesema hadi niangalie mpira wa Arsenal! Halafu hawa Man U wanavyoenda kwa mwendo wa kusua sua, wanaweza kuzidi kuniahirishia kujiua ili nione wanavyoshuka daraja msimu huu kisha nijiue ha ha haaaa!

No wonder wanakushikia bango copy#paste, heheheheee. Mahaba#suicide mbuta nanga!
 
No wonder wanakushikia bango copy#paste, heheheheee. Mahaba#suicide mbuta nanga!

Hawa kina Ngabu, Nicas na huyu mhehe wana wivu wa kimapenzi tu waache, na nitafanya uchunguzi nijue wana connection gana na huyu bwana aliyemchukua Rose kisha nijiue ha ha haaa....
 
i think message derived,this words olso touched my heart...i realize your pain to let sameone who loved much to go but wory out life is going on and i hope soon you will find a true love and you can forget all this bad pain keep it on your mind!!
 
i think message derived,this words olso touched my heart...i realize your pain to let sameone who loved much to go but wory out life is going on and i hope soon you will find a true love and you can forget all this bad pain keep it on your mind!!

Karibu cantonna!
 
Jamaa kaiiba halafu eti anataka kuanzisha ligi na kunyoosha kidole cha wivu. Wivu utoke wapi kwa mabandiko ya wizi?

Bro, kama ameiba basi ni kazi yako kuthibitisha huo uhalifu, zaidi zaidi unazidi kuongeza hekaya humu ndani,
 
kumbe tupo wengi katika haya matatizo,,nimependa sana hii kitu,,naomba niiprint nimpe x gal friend wangu,,,najiuliza kwa nn siku hizi wanaume ndo tunalia kuachwa!!!

bro, hivi ukimpa hii kitu sijui itakuaje, sipati picha, by the way it's the same disaster i also met 2012
 
bro, hivi ukimpa hii kitu sijui itakuaje, sipati picha, by the way it's the same disaster i also met 2012

Naomba hii kitu itumike kwa wapenzi wanaoachana wangali wakipendana...
 
Hawa kina Ngabu, Nicas na huyu mhehe wana wivu wa kimapenzi tu waache, na nitafanya uchunguzi nijue wana connection gana na huyu bwana aliyemchukua Rose kisha nijiue ha ha haaa....

Mwizi tu wewe. Huna ubavu wa kuandika maneno kama hayo kwa Kiingereza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom