You left me but remember

You left me but remember

One thing that i believe in life is to be positive although is hard at the moment you are going thru a painful situation. Mkuu jitahidi kuupa moyo wako another chance , one day out there you might meet a good Samaritan who is gonna give a refuge for your heart and you will forget the past . Remember you are not the first/last person to go thru this , wengi walikutwa na yaliyokukuta lkn wali move on who knows lbd Mungu amekuandalia mtu mwema atakaethamini pendo lako. Jipe muda kwani time is a great healer.

You're right, but the problem comes when your whole longs for just one person, that person who has hurt you big time, and that same person at the slightest thought that makes your heart beat faster and slower at the same time..!
Love transcends time and space.
 
Kwani sumu inakorogwa na maji ya moto?

Pole mwaya. Nahisi tu, na ni kawaida ya binadamu. Wakati unaonyeshwa mapenzi motomoto ulikuwa unatia pozi. Saa hizi umestukia shuka kushakuwa asubuhi.

Sweet poem though, but when a woman is fed up there is nothing you can do about it.

Couldnt agree zaidi ya hii.spoke my mind
Its easier kublame mtu akishaondoka and hard keéping her by your side.
 
oh my god!nimeumia moyoni wallahi!Pole sana,you spoke those words with so much pain from the depth of your heart....i sympathize with you!Love hurts...Learn or find a way to move on,you dont wanna be stuck on your past my dearest!Love hurts but its sweet too when you have it....I wish someone could love me tht way....I wish....I wish...
 
kung'uta vumbi songa mbele

Kipindi kile Mariam mdogo wa Shaban Jembe alipookolewa mara mbili kwenye majaribio tofauti ya kujiua nilikuwa miongoni mwa waliomzodoa hasa ukizingatia aliyemsababisha aatempt kujiua, kaka mwenyewe alikuwa kibushuti,mwenye sura isiyoeleweka,halafu mishen town...

Ushauri wa da Magreth,mama Rahma ulimsaidia sana kuwa hai hadi baada ya kumwambia mkasa wa maisha yake kimapenzi na hamidu aliyemzalisha haraka haraka watoto wanne waliopishana kwa interval ndogo ndogo kwa sababu ya wivu ili asipendwe na mwanaume mwingine,ambaye hata hivyo alikuja kumbwaga na kuchukua mtoto mbichi wa kiburushi sawa na mwanae Rahma!

Kwa muktadha huu kuna sababu ya kuacha yanayopepea yapekee,huwezi jua umeepushiwa nini....karibu kesho Hisage Pub kwenye kikao cha mazishi,uje kuangalia na mechi ya Arsenal vs Crystal Palace.
 
oh my god!nimeumia moyoni wallahi!Pole sana,you spoke those words with so much pain from the depth of your heart....i sympathize with you!Love hurts...Learn or find a way to move on,you dont wanna be stuck on your past my dearest!Love hurts but its sweet too when you have it....I wish someone could love me tht way....I wish....I wish...

Jana usiku nilikaa nikafikiria mambo mengi tuliyofanya pamoja, sikuona hata sehemu moja aliwahi kunikwaza,nikaenda mbali zaidi kwa kukumbuka moments nyingi tulizoshare pamoja, nakumbuka wakati pacha wake akiwa anasoma uongozi wa mahakama Lushoto,jinsi tulivyokuwa tunapunguza matumizi yasiyo ya lazima ili kumpa support shem wangu huyu..

Nakumbuka siku alivyonifariji kipindi mgogoro wa kifailia baina yangu na baba huku mama akishindwa kusimama upande wowote, nakumbuka alivyokuwa ananionea huruma wakati nikitumia muda mwingi kwenye meza yangu ya kuchorea (I'm Architect) Ndipo mara kwa mara akataka kusoma taaluma ambayo tutakuwa tunapeana kampan usiku niwapo studio ya kuchorea,naam akasomea ualimu!

Nakumbuka wakati ule nikiwa broke alivyokuwa anatumia hata boom lake (baada ya kubudget matumizi yake binafsi) na kunipatia ambapo nilikuwa namsupport nikiwa poa...nakumbuka alivyokuwa anapangilia vipaumbele vyangu na kuhakikisha nafanya yale ya msingi kwanza...Nakumbuka...Nakumbuka! But we are no longer together though hatukugombana!
 
Songa mbele mkuu, usijiue, utapata mwingine mzuri zaidi ya huyo. Kunywa sumu hakuwezi kubadili nia na makusudi yake Rose aliyodhamiria, bado wengi wanakuhitaji e.g familia yako n.k. Muombe Mungu akupe mke wako, yule hakuwa wako alikuwa wa mwenzio.
 
Shukrani... naweza kuhama mkoa ili nikaanze ukurasa mpya wa maisha ambapo baada ya muda nitasahau huenda!
 
Jana usiku nilikaa nikafikiria mambo mengi tuliyofanya pamoja, sikuona hata sehemu moja aliwahi kunikwaza,nikaenda mbali zaidi kwa kukumbuka moments nyingi tulizoshare pamoja, nakumbuka wakati pacha wake akiwa anasoma uongozi wa mahakama Lushoto,jinsi tulivyokuwa tunapunguza matumizi yasiyo ya lazima ili kumpa support shem wangu huyu..

Nakumbuka siku alivyonifariji kipindi mgogoro wa kifailia baina yangu na baba huku mama akishindwa kusimama upande wowote, nakumbuka alivyokuwa ananionea huruma wakati nikitumia muda mwingi kwenye meza yangu ya kuchorea (I'm Architect) Ndipo mara kwa mara akataka kusoma taaluma ambayo tutakuwa tunapeana kampan usiku niwapo studio ya kuchorea,naam akasomea ualimu!

Nakumbuka wakati ule nikiwa broke alivyokuwa anatumia hata boom lake (baada ya kubudget matumizi yake binafsi) na kunipatia ambapo nilikuwa namsupport nikiwa poa...nakumbuka alivyokuwa anapangilia vipaumbele vyangu na kuhakikisha nafanya yale ya msingi kwanza...Nakumbuka...Nakumbuka! But we are no longer together though hatukugombana!

She loved you for really, but may be you did not show any signs of marrying her, may be she thought you might dump her ...but......
 
Mmeachana kwasababu gani mkuu?Was there something that you did wrong?That was missing/lacking?
 
@Horseshoe Arch everything happens for a reason, even Rose had her own reason to do so. MOVE ON...
 
Mmeachana kwasababu gani mkuu?Was there something that you did wrong?That was missing/lacking?

She loved you for really, but may be you did not show any signs of marrying her, may be she thought you might dump her ...but......

Katika watu ambao sikuwahi kukwaruzana nao ni huyu...pamoja na mambo yote bado tutaendelea kuwa marafiki, sina hakika kama sababu bi hii klakini wakati fulani alianza kujishughulisha sana na fellowships,ile ya kuamua hata kwenda kusali maporini alfajiri na baadye aliwahi kufunga kwa muda bila kula hali iliyomletea matatizo ya tumbo na kupelekea kuprospond mwaka wa masomo...halikuwa tatizo kwangu but mwanaume wake wa sasa seem ni mmoja kati ya wapendwa wenzie wa fellowship!
 
I am sorry to say this but im sure she found something better in that other guy that you were missing....
 
Kwa Tanzania hatuiti wizi, ni matumizi yasiyoridhisha ya sanaa ya uandishi...muhimu fuata content na karibu kwenye kikao cha msiba pale Hisaje Pub, kamati ya maandalizi ipo tayari, usafiri wa kufika ni juu yako ila vinywaji vipo, ni free

Mkuu asante, nipm physical address
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom