You left me but remember

You left me but remember

Mkuu asante, nipm physical address

Kama unatokea Tegeta kuja Bunju, na una usafiri wako utapita kituo cha mafuta cha oil com kisha utaacha njia panda ya kwenda Mbeni JKT, 50 M mbele yako upande wa kushoto utaona Bar moja iliyoezekwa kwa makuti ambayo imepangwa kwa zone...kesho kikao hicho cha kamati nami nitahudhulia kwa kuwa kuna mechi ya Arsenal, nikishaangalia mpira ndo narudi nyumbani kujiua! Nitakuwa single,ila kuwa kwangu single haimaanishi sina mtu, ninaye huyu Rose, Mchumba wetu na jamaa ila for mean while nitakuwa nampenda secretly!
 
I am sorry to say this but im sure she found something better in that other guy that you were missing....

Labda na hii kuwa occupied sana na majukumu imechangia,lakini mbona nilikuwa naonesha concern kila mara?
 
Kama sio hii plan yangu ya kujiua ningekubali hongera ili kesho nitume maombi kwa hawa wanaoomba wachumba kila siku huku mmu...nitakie tu r.i.p

Haisaidii ukiwa wenzio wanamuopoa hapohapo kwenye mazishi yako.
We nyanyuka futa vumbi na usonge mbele
 
Haisaidii ukiwa wenzio wanamuopoa hapohapo kwenye mazishi yako.
We nyanyuka futa vumbi na usonge mbele

Navyompenda huyu binti naomba umwambie MC atangaze kwamba nimekufa kwa ngoma ili jamaa aogope kumgusa...please madam, nitaagiza mweka hazina wa kamati akupe laki...
 
Brother nina mama yangu,ambaye hata nisipomuita mpendwa haibadilishi dhana kwamba nampenda sana, nina dada yangu Lightness ambaye nilimuahidi kusimama naye bega kwa bega na kwamba ningekuwa mtu wa mwisho kumchoka baada ya ulimwengu mzima kumkataa...

Namfahamu Mwenyezi Mungu,ambaye alitumia muda wake adhimu kunipa pumzi hii ya uzima,nina wadogo zangu mtaani ambao kwa namna moja ama ningingine nimekuwa roll model wao kwenye aspects tofauti tofauti, nina Rose wangu huyu ambaye pamoja na uamuzi aliouchukua nadhani ataumia sana akijua nimejidhuru kwa sababu yake,na kwa kuwa nilimwahidi kwamba nisingependa kushududia akidondosha chozi kwa sababu yangu...,

Sasa basi najaribu kureview nakala ya sababu zinazonifanya nifikirie kujiua,ili nijikatie rufaa mwenyewe kwenye mahakama ya rufani ya mapenzi kisha nafsi ikishinda moyo nisitishe uamuzi wa kujiua na kama itaonekana niliviolet vifungu vya sheria wakati wa uamuzi wa kuijiua basi Rose anihukumu kwa kunirudisha kwenye kifungo cha kumpenda maisha!

kupenda sana mpk kushindwa kujicontroll ni ugonjwa,naamini sasa hivi unapitia katika assigment ya mapenzi ukiweza kuifaulu hii utapata funzo kubwa sana nautakuwa umegraduate mtihani wa mapenzi,hakuna maumivu makali kama ya hisia ni tofauti na physical pain,make sure unafanya maamuzi sahihi na hakuna dependant yako hata mmoja atakayekusport maamuzi yako ya kujiu,kwa sababu ww sio wa mwanzo kutendwa na ww sio wa mwisho kutendwa.
 
Ngoja nikaoge na kupiga mswaki kwanza, kisha nipate na chai na spanish omlet kisha ningwe sumu, lakini kabla sijafa ngoja nikutahadharishe,angalia sana usije kunywa sumu kama mimi kwa sababu kama zangu kisha tukutane huko juu...nitakulima makwenzi ya kutosha!

mimi siwezi kunywa sumu kwa ajili ya mapenzi ever mi nishaupitia huo mtihani na kupass tena inawezekana wangu ulikuwa mgumu zaidi so kama unajiua andika wosia fasta usitupotezee muda na kama hujiui futa kauli yako. And utaprove kwamba umekuwa gentleman wa kweli wa kuweza kukabiliana na changamoto za maisha.
 
kupenda sana mpk kushindwa kujicontroll ni ugonjwa,naamini sasa hivi unapitia katika assigment ya mapenzi ukiweza kuifaulu hii utapata funzo kubwa sana nautakuwa umegraduate mtihani wa mapenzi,hakuna maumivu makali kama ya hisia ni tofauti na physical pain,make sure unafanya maamuzi sahihi na hakuna dependant yako hata mmoja atakayekusport maamuzi yako ya kujiu,kwa sababu ww sio wa mwanzo kutendwa na ww sio wa mwisho kutendwa.

Jana kijana wetu wa kazi alikosea jambo ambalo ni minor na ningeweza kusamehe kwa kuwa umri wake unaruhusu, nilipouliza kwanini akanijibu (namna ambayo sikupendezwa) niliamua kufungia ndani na kupiga sana, upigaji wenyewe wa makofi umeniachia majeraha mikononi huku kidole gumba cha mkono wa kulia kikivilia damu na vidole viwili vya mwisho vya mkono wa kushoto vikibanduka kucha...
 
mimi siwezi kunywa sumu kwa ajili ya mapenzi ever mi nishaupitia huo mtihani na kupass tena inawezekana wangu ulikuwa mgumu zaidi so kama unajiua andika wosia fasta usitupotezee muda na kama hujiui futa kauli yako. And utaprove kwamba umekuwa gentleman wa kweli wa kuweza kukabiliana na changamoto za maisha.

Acha kunigombeza maana haisaidii, nimeprospond hadi kesho baada ya mechi ya Arsenal, wosia anauandaa mwanasheria wangu! Shamba la mihogo la Charambe nakuachia wewe, na chonde hakikisha kipindi chote ambacho nitakuwa sipo duniani uchukue nafasi yangu ya ushabiki kwa kuishabikia Arsenal!
 
.....kaka si ungesubiria kidogo mpaka Ijumaa kuu? Huwezi jua, labda ukijiua utafufuka siku ya pasaka!
 
.....kaka si ungesubiria kidogo mpaka Ijumaa kuu? Huwezi jua, labda ukijiua utafufuka siku ya pasaka!

Ha ha haaa, ijumaaa kuu kuna kuaga na pilika pilika nyingi mno! Ila maoni yako nayafanyia kazi...
 
kumbe tupo wengi katika haya matatizo,,nimependa sana hii kitu,,naomba niiprint nimpe x gal friend wangu,,,najiuliza kwa nn siku hizi wanaume ndo tunalia kuachwa!!!
 
kumbe tupo wengi katika haya matatizo,,nimependa sana hii kitu,,naomba niiprint nimpe x gal friend wangu,,,najiuliza kwa nn siku hizi wanaume ndo tunalia kuachwa!!!

Bwana shemeji upendo siku hizi umekuwa huria, na haijulikani mabinti wanataka nini kwenye mahusiano, maana utamtimizia haja zake zote hadi zile za (imehifadhiwa kwa sasa) ila still akili yake ikichetuka tu uandike maumivu, si unakumbuka hata mzee Jacob Zuma aliwahi kuchapiwa na mlinzi wake?
 
ahaaaaa kuna watu wanasema kuchapiwa ni siri ya ndani,,,hii kitu inauma sana kwa kweli yani kama una roho nyepesi unaweza ukaua mtu au kumroga tu
 
ahaaaaa kuna watu wanasema kuchapiwa ni siri ya ndani,,,hii kitu inauma sana kwa kweli yani kama una roho nyepesi unaweza ukaua mtu au kumroga tu

Wee, mizimu ya kwetu ni mwiko kuua kwa ajili ya mapenzi, tatizo ni pale vibwajizo vya my love,dear,fulani wangu vinapoendelea wakati ni yeye mwenyewe aliamua,sijui nimshawishi pacha wake maana kuliko kukosa kabisa bora kuambulia hata nusu hasara!
 
Kupenda kupitiliza ni ugonjwa, ni ujinga, ni upuuzi....!!!!

Ujiue kisa binadamu mwenzako? Mungu alokuleta duniani ndo mwenye dhamana ya uhai wako, kujiua ni dhambi.

Wapo wanawake wengi, wenye haiba nzuri, endelea kuishi na utajionea, huyo Rose utamsahau...

Acha upuuzi, nyanyuka, jipanguse mavumbi alafu uendelee na safari ya maisha, utakutana na mrembo mwingine.... Ila usipende kijinga namna hiyo!!!!!!
 
Damnnn...this is sooo emotional had chozi lilitaka kushuka
jamani poleeeh...pole sana,maybe she still loves you,u never know,just give it a shot ujue what she thinks and give her time..
Always watu had mkawa na rlship muda flani,there smthing special about you two,
 
Kupenda kupitiliza ni ugonjwa, ni ujinga, ni upuuzi....!!!!

Ujiue kisa binadamu mwenzako? Mungu alokuleta duniani ndo mwenye dhamana ya uhai wako, kujiua ni dhambi.

Wapo wanawake wengi, wenye haiba nzuri, endelea kuishi na utajionea, huyo Rose utamsahau...

Acha upuuzi, nyanyuka, jipanguse mavumbi alafu uendelee na safari ya maisha, utakutana na mrembo mwingine.... Ila usipende kijinga namna hiyo!!!!!![

My principle: Nimejifunza nijipende mimi kwanza.Sijawahi kumpenda mtu mwingine zaidi yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom