You left me but remember

You left me but remember

I hope (kama kweli yupo) amekusikia.

Brother yupo na nafikiri yeye ni mtu wa mwisho kufanya naye conversation jana usiku....
Anyway sijui kwanini alinipenda mimi kwanza kisha akampenda huyu jamaa mwingine,yumkini angeweza kumpenda yeye kwanza kisha akaja kwangu who knows!
 
Last edited by a moderator:
OMG sorry about that. Wakati mwingine ni vigumu kujua sababu za mmoja ku-walk away from a relationship and sometimes we may think that it is the end of every good moments in life, kumbe hapana life is too big. Unapoumizwa mara nyingi macho huingia ukungu kiasi kwamba huoni mbele na unafikiri kila mlango kwenye maisha yako umefungwa which is not kweli kwani Life is so sweet.

One thing that i believe in life is to be positive although is hard at the moment you are going thru a painful situation. Mkuu jitahidi kuupa moyo wako another chance , one day out there you might meet a good Samaritan who is gonna give a refuge for your heart and you will forget the past . Remember you are not the first/last person to go thru this , wengi walikutwa na yaliyokukuta lkn wali move on who knows lbd Mungu amekuandalia mtu mwema atakaethamini pendo lako. Jipe muda kwani time is a great healer.

Maneno yako mazuri sana na yatatia moyo, ila jambo moja tu nimejifunza kwenye maisha

" Mtu yeyote, anaweza kufanya kitu chochote, wakati wowote, bila kujali chochote"

kwa hiyo kuwa positive lakini tegemea unexpected as well.

Thanks
 
Ahahaaaa JF bana, si ungekubali tu mapema kuwa umekopi?
 
Maneno yako mazuri sana na yatatia moyo, ila jambo moja tu nimejifunza kwenye maisha

" Mtu yeyote, anaweza kufanya kitu chochote, wakati wowote, bila kujali chochote"

kwa hiyo kuwa positive lakini tegemea unexpected as well.

Thanks
Ni ukweli ambao ni vigumu kukubaliana nao....mathalani wakati mnaanza safari ya pamoja kuna mambo ya kutack risk ila tunajipofusha!
 
Kama hali hiyo imemtokea (Kaachwa) na katika pitapita yake alikutana na hayo maneno, ni kosa kuyatumia kuelezea tukio lililomkuta? ........au wadau mpo ki hati miliki zaidi?.
 
Kama hali hiyo imemtokea (Kaachwa) na katika pitapita yake alikutana na hayo maneno, ni kosa kuyatumia kuelezea tukio lililomkuta? ........au wadau mpo ki hati miliki zaidi?.

Watu kama hawa wasipokuwepo kwenye jamii maisha ya kila siku hayaendi, ni lazima tuwe na watu wema, wakorofi,wabishi na ving'ang'anizi hadi pumzi ya mwisho ila hakuna fantasy way ya kuelezea simanzi beside, kuchukuliwa soul mate inauma kuliko hata kufiwa na mpenzi, maana akishaingia kaburini tunamsahau ila kwa hawa ambao watakuwa couple ( kama hatabadili tena uamuzi) inauma zaidi...
 
Jibu hizo shutuma mkuu,za nicas, nyani ngabu ili ujijengee heshima.
Hiyo ni shutuma kubwa saaana ila kwetu hapa wezi wanaonekana mashujaa
Only in Tanzania
 
Mtu akiwa na mawazo mazuri,ambayo una manufaa nayo kwa namna moja ama nyingine you have a moral obligation kushare na watu wengine

Ukiamua ku share na wengine basi unataja ulikoitoa. Huo ndiyo uungwana. Lakini siyo kuiba vya watu halafu unajidai navyo kana kwamba ni vyako.
 
Mtu akiwa na mawazo mazuri,ambayo una manufaa nayo kwa namna moja ama nyingine you have a moral obligation kushare na watu wengine, sio lazima kwa scale ile ile! Isikupe taabu Nicas wee songa mbele,karibu kwenye harusi ya Rose naweza kuwa mwalikwa wa heshima pia!

Tatizo huja acknowledge, mbona huelewi wewee? Kucopy na kupaste ndio WIZI na sio tatizo ikiwa utaonesha uungwana wa kuandika mwenye kazi ila wewe ni mwizi wa kazi ya mtu mwingine na kuamua iwe yako mbele ya wanaJf
 
Ukiamua ku share na wengine basi unataja ulikoitoa. Huo ndiyo uungwana. Lakini siyo kuiba vya watu halafu unajidai navyo kana kwamba ni vyako.

Kuna watu wamekwiba mabilioni ya ankara zetu ambao link zake ziko kwenye account za uswizi huko amabapo bunge limepiga kelele wee na bwana mkubwa kakaa tu kimya,huo unaitwa ni ujamaa... Kwaito mnazocheza hadi kuchubua sakafu za kumbi za wenzenu huku viatu vikilika upande mmoja ni kiasi gani mnakuwa mnatoa contribution kwa wenye kazi hizo? Wee niache kwanza nishasahau kunywa sumu! Ngoja nisubiri lunch kisha ninywe sumu!
 
Tatizo huja acknowledge, mbona huelewi wewee? Kucopy na kupaste ndio WIZI na sio tatizo ikiwa utaonesha uungwana wa kuandika mwenye kazi ila wewe ni mwizi wa kazi ya mtu mwingine na kuamua iwe yako mbele ya wanaJf

Kwa Tanzania hatuiti wizi, ni matumizi yasiyoridhisha ya sanaa ya uandishi...muhimu fuata content na karibu kwenye kikao cha msiba pale Hisaje Pub, kamati ya maandalizi ipo tayari, usafiri wa kufika ni juu yako ila vinywaji vipo, ni free
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom