Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Wana JF. sipingi kufikishwa mahakamani kwa Yona na mramba. Lakini where is KAGODA? in the mid of all these noises about KAGODA wanaleta Alex Stewart! hii siyo mbinu ya kupunguza kelele za Kagoda maana concentration itakuwa kwa hawa akina Mramba na Yona. DPP tunahitaji tunahitaji kesi ya Mramba na Yona iende pamoja na those behind KAGODA
 
Give credit where it is due! Naona muda hauendi kabisa ili nisogee baa ya karibu....Nahisi leo raundi za bia zitakuwa nyingi kama siku ile Lowasa alipojiuzulu!

Sitaki kujua kama ni mchanga wa macho....!!! Hayo tutajua mbele ya safari.

Kuna ukweli kwenye kauli hii. Inawezekana kuna watu wana wasiwasi mkubwa sana kutokana na issue hii. Siamini kama JK ndiye aliyefanya efforts za kumfikisha Mramba kwenye mkono wa sheria, wakati inasemekana kuwa Mramba alitoa fedha nyingi sana kwa ajili ya kampeni ya mkuu. Kuna watanzania wenye uchungu na nchi wanaofanya hii kazi ya kuwafikisha watuhumiwa wa uhalifu kwenye mkono wa sheria, hao ndiio wanaotakiwa kupewa credit. Nadhani kama due process ikienda vizuri, hata heshima ya sheria zetu itaanza kuonekana.
 
tunaimani na Kikweteeee oyaaa oyaa oyaa oyaa Kikwete kweli kweli kweli kweli kweli kweli kweli Kikweteee x2

CCM Hoyeeeeee
Kidumu chama cha mapinduzi
 
Hapo kazi kubwa kweli kweli! Jamaa kutoka kwenye msemo wa... ni bora tule nyasi kuliko kukosa ndege ya Rais,,,, mpaka Mahakamani! Hata kama akiachiwa, hiyo ni adhabu tosha na tishio kubwa kwa vibaka wakubwa waliobakia.
 
tunaimani na Kikweteeee oyaaa oyaa oyaa oyaa Kikwete kweli kweli kweli kweli kweli kweli kweli Kikweteee x2

CCM Hoyeeeeee
Kigumu chama cha mapinduzi

Huyu naye keshaaanza kuchafua jukwaaa.....
 
Wana JF. sipingi kufikishwa mahakamani kwa Yona na mramba. Lakini where is KAGODA? in the mid of all these noises about KAGODA wanaleta Alex Stewart! hii siyo mbinu ya kupunguza kelele za Kagoda maana concentration itakuwa kwa hawa akina Mramba na Yona. DPP tunahitaji tunahitaji kesi ya Mramba na Yona iende pamoja na those behind KAGODA

Soma alama za nyakati mzee. Wala usiwe na presha! DPP alishasema kuwapeleka wote mahakamani kwa wakati mmoja ni kuhatarisha uchumi na usalama wa nchi kwa kuwa wengi wao wana pesa nyingi sana, na wanasimamia makampuni makubwa!

Ila kuna thread moja hapa JK imeanzishwa inayoripoti kuhusu Kagoda! Isome!
 
Nitapumua pale tu walau kesi 5 tofauti za abuse of power zitaletwa mahakamani:

Richmond, IPTL, Kiwira, Ndege ya Raisi, Kagoda, Rada,Import Support, EPA, Uuzahi wa Nyumba za serikali nk

Wachague seti 5 tu walau kati ya hizo hapo juu wavu utawanasa tu japo manguru na mapapa wa rushwa 10 wa nchi hii.

Aluta kontinua...hakuna kusifiana..wanatimiza wajibu wao, na hii ni kiduchu, wakishindwa tutafanya wenyewe!
 
Wadau sasa ni wakati wa watu wote kuungana na rais sio kudoubt step anazochukua.. ameonyesha yuko serious .. watu kwenda mahakamani sio jambo la mchezo. naomba tumuunge mkono mheshimiwa rais Kikwete..
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 383 (138 members and 245 guests)
Fidel80, 911, Ab-Titchaz, Al, allse, Alnadaby, Arsenal, August_Shao, Baba_Enock, BelindaJacob, Bi Tarabushi, Bint, Blanche, Bonnie1974, bulugu, CHAUMBEYA, Chuma, CottonEyeJoe, dedee, deodat, djwalwa, Domo Kaya, Edo, Eeka Mangi, FairPlayer, Fatuma, Franc, fwest, Gamba la Nyoka, Gashle, Halisi, injinia, Iteitei Lya Kitee, Jibaba Bonge, Jmpambije, Jobjob2, kajoro, Kaka Mdogo, Kakulwa, kamakabuzi, Kapinga, kapuchi, KatuleJ, KGM, Kichwangumu, Kinyau, Kisambayende, Koba, Kuntakinte, Kwayu, LadyMzuri, LazyDog, lukule, Lunyungu, macinkus, Majita, malila, Malunde-malundi, Mama Mdogo, MamaParoko, mambo, Mambo Jambo, mamiso, Manitoba, manundu, Masaki, matuse, Mbassa, MC, MegaPyne, Mfamaji, Mgoyangi, Mkora, MKUDE WA MGETA, Mkuu, Mlalahoi, mnyama, Mnyonywaji, Mnyoofu, Mong'oo, Morani75, Mpiganaji, MpiganajiNambaMoja, mpingo, Mpita Njia, Mr. Zero, Mrembo, MROSSO, Mtanzania, mTz, mTZ_halisi, muadilifu, Mukubwa, MwakyJ, nat867, ngereja, Ngongo, Ngorunde, Nono, Nyadundwe, Nyambala, nyamungo, Ochu, Opaque, Prince, ram, Sabasaba, Safari, Saharavoice, SaidSabke, Sally, semjato, share, Shiduki, Shy, Single D, sir leem, Sober, sunilv00, taffu69, tandala, tapeli, TooGood, Tshala, TwendeSasa, Ushirombo, Utamaduni, vstdar, Wakunyuti, watu, WildCard, Willy, Yebo Yebo, ygjunior, Zanaki, ZeMarcopolo
Si mchezo thread imekula nyomi balaaa.
Jamaa asubuhi kaileta watu kama kawaida yao wakawa wanabisha saizi kimeeleweka tayari.Je vp wameenda lock up au wamelipa kashi hizo bilioni 3?
 
Mimi nimeagiza whisky hapa na kuku wa kuchoma naanza kusherehekea!Hii ni hatua kubwa baada ya ile ya kutimuliwa kina EL.Cheers everyone!!!!!!!!!!!!!!!Hpa si suala la CCM wala Chadema..au CUF..hapa ni JK kafanya kile ambacho tulikuwa tukikitaka!!!
 
Wadau sasa ni wakati wa watu wote kuungana na rais sio kudoubt step anazochukua.. ameonyesha yuko serious .. watu kwenda mahakamani sio jambo la mchezo. naomba tumuunge mkono mheshimiwa rais Kikwete..

Mmetumwa nini?????????????
 
Hili liwe ni changamoto kwetu kuhakikisha kuwa mazingira ya magereza na mahabusu yetu yanaboreshwa maana hatuwezi kuapa kuwa hatutakuja ingia humo!
 
Sasa mshindwe wenyewe upinzani..ccm ndo imeshavunjika..kazi kuzuga tuu dodoma..wote wezi tuu...hivi ilani ya ccm inasemaje kuhusu wabunge na mawaziri waohujumu uchumi wa nchi????

looking back at how zitto was suspended ..nacheka tuu..that was embarrasing for the parliament..dr slaa atakama una agenda zako binafsi ahsante kwa kuchoonoa...kiburi cha ccm ndo kimefanya haya yote...someni nyakati wanasiasa..jitoeni mapema!!!
 
Wadau sasa ni wakati wa watu wote kuungana na rais sio kudoubt step anazochukua.. ameonyesha yuko serious .. watu kwenda mahakamani sio jambo la mchezo. naomba tumuunge mkono mheshimiwa rais Kikwete..

Jiulize kwanza kwa nini tunam-dought?
 
Hapo kazi kubwa kweli kweli! Jamaa kutoka kwenye msemo wa... ni bora tule nyasi kuliko kukosa ndege ya Rais,,,, mpaka Mahakamani! Hata kama akiachiwa, hiyo ni adhabu tosha na tishio kubwa kwa vibaka wakubwa waliobakia.

Nyeti nilizonasa, wazee wanatafutiwa mahitaji ya kutumia huko keko, e.g bukta, maji, miswaki na ndugu wa karibu ... hata muda wa kwenda kufwata nyumbani hakuna ni kununua tu mjini haraka haraka
 
Nani anabisha tena?Najua kuna watu bado hawaamini kama Mkulu huyu anapanda kizimbani
Huyu hapa au si yeye?
1227606390_mrambaa.gif
 
Sasa mshindwe wenyewe upinzani..ccm ndo imeshavunjika..kazi kuzuga tuu dodoma..wote wezi tuu...hivi ilani ya ccm inasemaje kuhusu wabunge na mawaziri waohujumu uchumi wa nchi????

looking back at how zitto was suspended ..nacheka tuu..that was embarrasing for the parliament..dr slaa atakama una agenda zako binafsi ahsante kwa kuchoonoa...kiburi cha ccm ndo kimefanya haya yote...someni nyakati wanasiasa..jitoeni mapema!!!
sio wote wezi. Naamini kuna ambao hawafurahishwi na hali hii. Kazi ni kuhahakikisha hamna chama ambacho kinalea watu kama hawa
 
Tunabaki tu kuwasema wenzetu WAHINDI kwamba ndio wanaolihujumu TAIFA letu.
 
Back
Top Bottom