Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Hata Kama usanii...Kwa hii stage ya kuwafikisha Mahakamani ni step kubwa...Kwanza ni AIBU kwa watu walokuwa na Hadhi na Pesa kama wao. kufikishwa Mahakamani..

Pia Hakimu kutaka dhamana ya Bilion 3.X pia its not a Joke, its a step we are moving. ..
 
Kuna mawili hapa Watanzania wenzangu; tuahirishe angalau kwa muda tofauti zetu na JK ili tumuunge mkono kwenye juhudi zake hizi mpya au tuwe upande wa hawa WAHUJUMU wa UCHUMI wa NCHI yetu.


WildCard, haihitaji sisi kumuunga mkono JK- ni wajibu wake kulinda mali zetu na kuwashughulikia waliohujumu uchumi wetu. wananchi sio mambumbumbu tena. MUHIMU HAPA NI JK KUAMUA KUWA UPANDE WETU WANANCHI AU UPANDE WA MAFISADI, WAHUJUMU UCHUMI WETU, WANYANG'ANYI, MAJAMBAZI walio/wanaotumia nafasi zao kufukarisha nchi yetu. hili ni vema likawa wazi ili tujue kama yuko upande wao basi siyo mwenzetu.
 
Nimetokea Mahakama ya kisutu na taarifa ni kuwa wanatakiwa kuwa na wadhamini wawili na wote kwa pamoja wanatakiwa kuweka bondi ya Tshs. 4 bn.......So mpaka now jamaa wamekosa hiyo pesa na wamepelekwa rumande kama kawa....
Kosa lao ni ABUSE OF OFFICE

Good start, kutoka kwenye kiti cha kuzunguka, kiyoyozi, kunyenyekewa mpaka hapa walipo leo ni adhabu tosha.

Iwe fundisho hata kwetu, that is the bottom line ya hii action. Tunasubiri adhabu sana.

Jela/Mahabusu ni jela/mahabusu tu hata kama ni VIP.
 
waheshimiwa hawa sasa wakisafiri wana criminal record!! hata watu waseme hii ni zuga...it doesnt matter how rich one is hata kama wakishinda kesi...jina muhimu sana..sasa limechafuka..wakamwombe lowassa ushauri sasa wa how to deal with depression even though account imejaa...
 
Cha msingi ni kuhakikisha kwamba kesi zinaharakishwa ili hukumu itolewe mapema kwa watuhumiwa wote.
 
Nimefurahi mnooo mbinu ya kutupiga changa la macho sisi wadanganyika inatimia na hatimaye the donors funds will soon begin to flow-in, lakini bado nina uchungu na waleee wazee wa kagoda, wakianikwa na hao, JK atatupa raha watanzania.
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 352 (131 members and 221 guests)

Utamaduni, 911, Ab-Titchaz, Al, allse, Alnadaby, August, August_Shao, Baba_Enock, BelindaJacob, Belo, Bi Tarabushi, Bint, Bonnie1974, bulugu, CHAUMBEYA, Chuma, CottonEyeJoe, dedee, deodat, djwalwa, Domo Kaya, Edo, FairPlayer, Fatuma, Franc, fwest, Gamba la Nyoka, Gashle, Halisi, Heri, Idimi, Iteitei Lya Kitee, Jibaba Bonge, Jmpambije, Jobjob2, kajoro, Kaka Mdogo, Kakulwa, kamakabuzi, Kandambilimbili, Kapinga, kapuchi, Katibu Tarafa, KatuleJ, KGM, Kichwangumu, Kijunjwe, Kinyau, Kisambayende, Koba, Komavu, Kuntakinte, Kwayu, LadyMzuri, Lione, lukule, Lunyungu, macinkus, Majita, Mama Mdogo, mambo, mamiso, Masaki, Mbassa, MC, MegaPyne, Mfamaji, Mgoyangi, Mkaguzi, Mkodoleaji, Mkora, MKUDE WA MGETA, Mkuu, Mlalahoi, Mnyonywaji, Mnyoofu, Mong'oo, Morani75, Mpiganaji, MpiganajiNambaMoja, mpingo, Mpita Njia, Mr. Zero, Mrembo, MROSSO, mshiiri, Mtanzania, mTz, mTZ_halisi, muadilifu, Mukubwa, MwakyJ, nat867, Ngongo, Nono, Nyadundwe, Ochu, Opaque, Prince, ram, Sabasaba, Safari, Saharavoice, SaidSabke, Sally, semjato, share, Shiduki, Shy, sir leem, Sober, Sra, sunilv00, taffu69, tapeli, think BIG, TooGood, Tshala, TwendeSasa, vstdar, watu, WildCard, Willy, Yebo Yebo, ygjunior, Zanaki, Zion Train
 
Sijakuelewa mkuu kwenye hili Lakini ni RAIS huyuhuyu ambaye sasa ameruhusu wakalie dawati lile leo

Ina maana kuna watu mpaka raisi aruhusu ndio tunawashtaki. Na nchi hiyo yenye mwenendo huo ina raisi unayetaka kutukomvisi kwamba ni mchapakazi?

Safari bado ndefu!

Tunayoyashuhudia leo kwa Mkapa hayangewezekana (au hata Mzee Ruksa). JK anachapa kazi. La Richmond Bunge lilifanya haraka kuliundia ile kamati na likamalizika kisiasa.
 
WildCard, haihitaji sisi kumuunga mkono JK- ni wajibu wake kulinda mali zetu na kuwashughulikia waliohujumu uchumi wetu. wananchi sio mambumbumbu tena. MUHIMU HAPA NI JK KUAMUA KUWA UPANDE WETU WANANCHI AU UPANDE WA MAFISADI, WAHUJUMU UCHUMI WETU, WANYANG'ANYI, MAJAMBAZI walio/wanaotumia nafasi zao kufukarisha nchi yetu. hili ni vema likawa wazi ili tujue kama yuko upande wao basi siyo mwenzetu.

Hatua hii hii ni ya kuungwa mkono na kila mtu aliye upande wa wanaopinga ufisadi.JK anastahili pat on this jamani!Kama unamjua Mramba basi unga mkono kitendo cha yeye kukalishwa kwenye bench huko Kisutu mara moja bila kuchelewa unless una agenda nyingine...
 
Dhamana kila mmoja Billion Tatu ,wameshindwa sasa wamepelekwa Keko!
Mashitaka ni kutumia madaraka yao vibaya!
 
wah. yona na mramba wanakabiliwa na jumla ya mashataka 13 ikiwa ni pamoja na kutumia vibaya madaraka yao walipokuwa mawaziri, kuingia mikataba ya madini na kadhalika. stori kamili inaandaliwa.
wote wamewekewa masharti ya dhamana kwamba kila mmoja atoe bilioni 3.9 keshi, wasalimishe hati za kusafiria, wasitoke nje ya dar na kila mmoja awe na wadhamini wawili ambao mahakama inabidi iridhike kuwa ni wa kuaminika.
 
Tunayoyashuhudia leo kwa Mkapa hayangewezekana (au hata Mzee Ruksa). JK anachapa kazi. La Richmond Bunge lilifanya haraka kuliundia ile kamati na likamalizika kisiasa.

Eeeh leo hii mmeanza kumsifia JK! Wa TZ nimewavulia kofia.
 
Nina imani hawa mafisadi ndio waliosababisha serikali kukosa uwezo wa kuhudumia wananchi wake mpaka inafikia kuwa na migomo kila sehemu!

Hivi CCM pesa za kampeni za mwaka 2010 watatoa wapi? Nina wasiwasi watarudi huko huko BOT kutafuta kamwanya kengine!
 
Wasiwasi wangu isijekuwa danganya toto.....ila kwa wao kukaa ktk benchi la watuhumiwa imenipa faraja.

Namkumbuka kijana wake Yona alikuwa analipa bili baa kwa kutuoa pesa ktk buti ya gari kumbe ni pesa yangu mlipa kodi...
 
Eeeh leo hii mmeanza kumsifia JK! Wa TZ nimewavulia kofia.

Give credit where it is due! Naona muda hauendi kabisa ili nisogee baa ya karibu....Nahisi leo raundi za bia zitakuwa nyingi kama siku ile Lowasa alipojiuzulu!

Sitaki kujua kama ni mchanga wa macho....!!! Hayo tutajua mbele ya safari.
 
Ama kweli JK maeanza kutema cheche. Ila ni vyema kufuatilia kwa karibu mambo hay tasiwe kiini macho kwa wananchi. Kwanza dhamana ikije ya wao kutoka na mashitaka ni yepi. Je yana uzito wa kumvalisha magwanda ya wafungwa? Hapo ndio kweli tutajua TZ inatawaliwa kwa sheria na taratibu.
 
Back
Top Bottom