Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Mie Nahitaji kumuona Mkapa sasa...

CCM inakaribia kuvunjika...Ndoto inakaribia kutimia
 
Active Users Viewing This Thread: 107 (33 members and 74 guests)
Mwikimbi, Arsenal, August_Shao, BelindaJacob, Fatuma, Field Marshall ES, Franc, Gembe, Icadon, Jmpambije, Kaka Mdogo, Kinyamana, Koba, Majita, Malunde-malundi, manundu, Mbassa, Mgoyangi, Mlalahoi, mpingo, Mr. Zero, MwakyJ, mwanjelwa, Mzuzu, SMU, Sober, sunilv00, taffu69, tandala, Tshala, watu, Yebo Yebo, Zanaki
 
ili kieleweke kweli wafuatao nao watinge mahakamani

rostam azizi
benjamini mkapa
edward lowasa
hosea
mwanyika
chenge
kingunge
.................ongeza list
 
Mzee FMES,

Am Back...


Break the News !

Kwa ukweli nahitaji kukaa na wazee kama Malecela Leo..Jioni Tukutane pale Movenpick,nataka nimvizie Mzee
 
Ndugu yangu, imenibidi niahirishe mihanjohanjo ya maisha ili nirudi Kisutu. Nimehakikishiwa ni kweli wako ndani ya mahakama na sheria inachukua mkondo wake. Kusherehekea mwanso wa anguko la mafisadi, naenda hapo Subway kupata mlo wa kushangilia ushindi. Karibu tupate chochote kama uko Dar tumpongeze DPP kwa uamuzi mzito.

Mm Hapo umeingizwa mkenge! Too early to say anything.

Bado naamini tunazugwa tu na huu ni mchezo wa kuigiza tu. Watu wanatu-fool na kupelekana mahakamani then wote wanarudi mtaani kutucheka. Kwani EPA wangapi wako Keko? Na je ambao hawajakamatwa? Akina Kagoda etc

Mimi naenda zangu kulala kwa sababu sitaki kuwa shahid wa hii ngoma ya kitoto isiyokesha! Watu wanapata dhamana ya mamilioni halafu tunataka ushahidi gani kama hiyo haikutosha hakimu kutoa hukumu? Mfanyakazi wa BOT anaweza kupata wapi zaidi ya 100m? Afadhali wangetuacha tu, kuliko kutuzuga. I am tired and sick!
 
Dar City ur just broke..chill.lol

Jamani u people.. are u on drugs? JK na Mramba wana beef, and Yona anamuona JK kama bwana mdogo na hawa jamaa the investigation yao iliisha zamani...Timing ilikuwa inapimwa

to get ur shallow minds of the real prize KAGODA..... mnapigwa changa.. Wake UP! Mnashangilia nini... Hakuna chochote, JK anataka aonekane kuwa yeye Kweli anapiga vita ufisadi so anatoa kafara ndogo ndogo... Atoe Kagoda basi, Apson, yeye mwenyewe, Rostam, BWM.... Dont be fooled..
 
Mwanzo wa safari ni hatua jamani wanaJamvi wenzangu!!! Swali ni tunaweza piga hatua ngapi bila kujikwaa?? Na kama tukijikwaa, je kuna any substitute measure in place??

Hii kitu ni ngumu na kadri siku zinavyoenda inazidi kutuchanganya ila kikubwa na kuvuta subira manake so far mwendo mdundo!!!
 
WanaJF,

Msishangilie kwa chochote, Mramba na Yona wamefunguliwa mashtaka ya Abuse of Power katika sakala ya Alex Stewart. Muda wowote kwanzia sasa wanaachiwa.
 
Maandalizi yalishafanyika kuwa wasikae ndani hata siku moja, wamekaa meza moja na wakuu wa serikali, watu wa kwa DPP, na kukubaliana style ya kuendesha mashtaka.

Huu ni ujanja ujanja tu, wa kufunika kombe ......
 
ahhahahaa abuse of power kuwaleta Alex au kufanyaje?kwelii EPA sanaa group
 
Halafu hili lao ndio linatugusa wote (pengine) kuliko hata lile la EPA, hii ni kodi yetu watanzania ( I stand to be corrected) tunaponunua kiberiti, peremende, mafata ya taa, tunapopanda daladala fedha ya kodi tuliyokatwa ndio iliwalipa wale wakaguzi
 
Maandalizi yalishafanyika kuwa wasikae ndani hata siku moja, wamekaa meza moja na wakuu wa serikali, watu wa kwa DPP, na kukubaliana style ya kuendesha mashtaka.

Huu ni ujanja ujanja tu, wa kufunika kombe ......

Mwanaharamu apite! lol nachoka kweli kweli
 
Maandalizi yalishafanyika kuwa wasikae ndani hata siku moja, wamekaa meza moja na wakuu wa serikali, watu wa kwa DPP, na kukubaliana style ya kuendesha mashtaka.

Huu ni ujanja ujanja tu, wa kufunika kombe ......

Hoseah, Hoseah. Ulituahidi na tunasubiri. Kumbuka kuwa Watazania si mabwege tena siku hizi
 
mkuu ilisemwa hapa last week kuwa katika kundi hilo na Mgonja na Mrisho pia wamo vp hao kesi zao??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom