Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani.

Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani.

Mimi naogopa sana watu wanahoandika vitabu sababu wanakuwa na uwezo mkubwa hata kwenye maongezi yao.

Sasa wewe yani hata Hoja huna na si mara moja kabla ujatoka chadema uwezi lolote.
imagessassa.jpg
 
View attachment 3438508
Ile ni copy na kupaste tu.
Ila ujinga wake ni halisi.
 
Ile ni copy na kupaste tu.
Ila ujinga wake ni halisi.
Ni kweli kabisa na jamaa vitabu vyake ni vya kugoogle ingekuwa chatGpt leo tungekoma
 
Du kweli ulitumia muda wako kusoma vitabu vya huyu kichaa! Halafu hata hizi thread mnamwanzishia zinamfanya ajione ni wa muhimu. Hyu na yule jamaa anayeitwa Deo Ksandu ni kama pacha.
 
Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani.

Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani.

Mimi naogopa sana watu wanahoandika vitabu sababu wanakuwa na uwezo mkubwa hata kwenye maongezi yao.

Sasa wewe yani hata Hoja huna na si mara moja kabla ujatoka chadema uwezi lolote.
View attachment 3438508
Lakini angeisifia chadema..
Hapo angeonekana bonge la mwandishi eti?

HAO NDO CHADOMO NINAOWAJUA MIMI!
 
Du kweli ulitumia muda wako kusoma vitabu vya huyu kichaa! Halafu hata hizi thread mnamwanzishia zinamfanya ajione ni wa muhimu. Hyu na yule jamaa anayeitwa Deo Ksandu ni kama pacha.
Sijawahi kuvisoma ila kupitia kuna gundi gundi nyingi yani anakupeleka ulaya anakuja kenya na kisa hiki yani unajiuliza huyu mtunzi au mpiga picha kama blog ya michuzi
 
Lakini angeisifia chadema..
Hapo angeonekana bonge la mwandishi eti?

HAO NDO CHADOMO NINAOWAJUA MIMI!
Uwezi kuwa na kitabu ukajibu hoja hata baba yako mzazi unaweza kumshangaa.

kazidiwa hata na msanii wa alikiba aliyetoka lebo ya king music.
 
YERIKO NYERERE ni mke mdogo wa Mbowe🤣
Sipati picha sura yake ina fanana na kijambio chake na pindi pale makengeneza yamepishana kama indicator za gari anaona vizuri utazani kichengeo
 
Kuna wakati nilidhani Lucas Mwashambwa ndio kilaza nambari wani ila Yericko amechukua nambari wani halafu Lucas ni namba mbili
 
Huwa sijawahi kuvisoma
Kuna mambo ameandika mule? 😀
 
Back
Top Bottom