Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,197
- 132,332
Hicho kitabu kina page ngapi mpaka kielezee dini zote?Inaonekana husomi, tafuta kitabu hiki usome. View attachment 1745153
Sisi tunasoma nyinyi mnaokoteza. Hiki kitabu kimeelezea vyanzo vya Dini,makundi na mfano wa hayo.
Kwanza ujue kwa sayansi kupata jibu juu ya utafiti fulani hakumaanishi kwamba unafunga uchunguzi wa hicho kituTatizo siyo kuelezeka tatizo yanayo elezwa ni ya kweli au la. Mara ngapi tumeambiwa ya kuwa chanzo cha dunia ni "Kishindo kikubwa", wanafalsafa wa kale wamagharibi walisema chanzo cha maisha ni hewa, wengine wakasema maji, wengine wakasema ni jua. Wote hawa walieleza. Lakini wanasayansi wanatuambia ya kuwa kuwepo kwa usiku na mchana ni matokeo ya Dunia kuzunguka katika muhimili. Wote wanaelezea haya mambo, swali ni je wanayoyasema ni kweli ? Kwahiyo hii si hoja, hoja ni je hayo maelezo ni ya kweli au uongo.
Kutofautina mawazo kwenye jambo ni moja wapo ya njia bora ya kupanua wigo wa kuzidi kufanya utafiti zaidi kupata idea mpya yenye majibu sahihi.
Leo hii kuna dawa tele tofauti tofauti zinazotibu maleria (na bado zingine bado zinatafitiwa) lakini hiyo haimaanishi dawa za mgunduzi wa pili zilikuja kuonesha kwamba mgunduzi wa kwanza alitoa dawa za uwongo
Na ndio maana hata hao hakuna aliyekua amekaa kwenye kochi lake home na kutoa hayo madai bali alijibidiisha kutafuta uthibitisho ambao una challenge fact iliyo tangulia kabla.
Hii ni kwa mujibu wa imani yako, and that's personal matterMola wetu amejielezea kupitia vitabu na kuna chain ambayo haijakatika
Tunamuabudu Mola ambaye haonekani Ulimwenguni ila kuna muda ataonekana kama tunavyoliona jua la saa sita mchana. Lakini Mola huyu huyu hakutuacha hivi hivi baada ya kutuumba bali alituwekea ishara za kuona na kujua uwepo wake.
kabla ya kusoma unanihakikishiaje kua imesema ukweli?Soma aya ya 35 katika sura ya 52, nilikuwekea huko nyuma.
Haijalishi unawaitaje waliokinyume na dini yako ila tambua kuwa nawewe umepewa jina lako katika zingine linalotambulika kua ni watu waliopotoka wasioabudu mungu wa kweliThibitisha ya hilo. Hapa nakupa mfano. Makafiri wa kiarabu walikuwa wana miungu 360, lakini kuna muda mambo yalipokuwa yanawazidia wanarudi kwa Mola wa ulimwengu. Sasa sharti lazima Mungu huyo ajielezee na kuwe na ushahidi.
Hayo uliyoyaandika I bet yapo katika simulizi za kuran nauhakika katika hizo dini hakuna mahali zimedai kua kuna muda mambo yaliwaendea kombo ikabidi wamuache mungu wao na kumfuata wako