Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,197
- 132,337
Suo kuirejea tu umeielewa?Nimerejea. Jibu swali sasa.
Suo kuirejea tu umeielewa?Nimerejea. Jibu swali sasa.
Msanifu ni nini?Kwanza usiniulize kwa kuniambia "uhisi" . Sababu nins uhakika na ninachokiandika.
Sababu ziko nyingi sana,na hizi ni baadhi.
1. Ulimwengu si msanifu
Well, hii haizuii wala haina effect kwenye principle ya kila kilichopo ni lazima kiwe na chanzo2. Ulimwengu hauna malengo
Kujieleza vipi?3. Ulimwengu hauna uwezo wa kujielezea wenyewe.
Maarifa ni nini?4. Ulimwengu hauna maarifa kwa dhati yake.
Kila kilichopo ni lazima kiwe na chazo?Nasubiri majibu ya maswali niliyo kuuliza.
Ahsante.
Nimecheka saana🤣🤣🤣 yani. Na kinyume chake inakuaje sasa🤣🤣🤣🤣Huwezi ukasema Mungu hayupo wakat haumjui.Nisawasawa na umekutana na mtu kwenye sherehe,alaf unamuuliza umemwona Joseph ukumbini?anakujibu sijamwona,unamuuliza unamjua lakin? Anakujibu cmjui.unabaki kushangaa sasa amejuaje Kama Joseph hayupo ukumbini wakat hamjui.Vivohivyo hatuwezi kusema Mungu hayupo wakat hatumjui
Acha uongo! Au, ulikandamizwa nywele na sio kichwa wala tumbo ! Ungekandamizwa shingoni na tani 50 = kg 50,000 usingepona.Tulikua wawili tumekaa sehemu moja tukapata ajali ya kukandamizwa na behewa lilojaa mizigo tani 50 lilipo tolewa behewa hilo mwanzangu alikufa hapohapo mimi nikapona kabisa hata alama wala dalili sina mpaka leo naishi.
Naomba unipe law of nature ilofanya mwenzangu afe mie nipone pasina kubakia hata na kilema au mkwarozo wowote?
Hapa ofisini napofanyia kazi huwa wananiona mwehu! I can't comprehend how people are so narrow minded.Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Kama kuna mtu anabisha, athibitishe Mungu yupo.
Anajaribu kuamini kuwa Migomba na Bangi inauwezo wa kuzuia kifo?...au anajaribu kutuaminisha kuwa kama watanzania wote tungeabudu Migomba na Bangi zake Hayati Rais wetu hangekutwa na umauti?...Mwanafunzi mwingine wa Kiranga.
Afande kasema anaabudu migomba yake au bangi zake.
Sasa huyo mtu nzima kweli?
Amekwambia nani ? Tafuta kitabu usome,usiulize maswali ya kijinga.Si viko ndani ya quran basi we ndo uvitaje
Jibu swali nililo kuuliza. Mfano uongo wa UKRISTI unaweza kuuvunja katika msingi wao mmoja tu wa UTATU. Sasa jengs hoja ujib swali,usiendeshwe na dhana na kubahatisha.Ukisoma vi mistari viwili na kui attack dini ya mwenzako utaambiwa umesoma kama GAZETI
Ona ulivyo kuwa mjinga. Unaujua msingi su misingi ya Atheism au misingi ya Ubudha ? Misingi inabatilishwa kwa njia nyingi,kww uhalisia,kwa nususi za kisheria (Qur'aan na Hadithi), Historia,kuhoji na mfano wa njia nyingine.Misingi kwa sheria ya nani?
Unatumia sheria ya misingi ya dini yako kubatilisha dini ya wengine?
Kupitia :Uongo wa uhindu unaupima kupitia mzani upi?
Kupitia dini yako?
Kama ndo hivyo nao watakuwa sahihi kusema uislamu ni dini ya uwongo kwa ku refer na dini yao
Safi kabida,onyesha hayo majibi sahihi katika kutuelezea kuhusu ulimwengu na mpaka sisi kuwepo humu ulimwenguni.Nimeijua kwasababu inaleta majibu sahihi
Jibi swali nililo kuuliza.Irrelevant
Safi kabida,maana yake unathibitisha ya kuwa hujui ulimwengu unekuwaje mpaka ukawa hivi,ndiyo maana unaona hauna chanzo.Kujiumba ndio nini? Wishful thinking
Ulimwengu hauna chanzo
sasa kama ulijiumba kutakua hakuna mashiko kusema hauna chanzo kwa maana kabla haujajiumba haukuwepo
Umejuaje Ulimwengu hauns chanzo ?Nimekuambia ulimwengu hauna chanzo.
Unaposema "kabla" una maanisha nini?
Hujajibu swali,nakuuliza hivi umejuaje ya kuwa ulimwengu hauna chanzo ? Unasema sio lazama kuwe na chanzo. Hivi unasoma unachokiandika mzee ?Na jibu lake ni rahisi pia
Kwasababu sio lazima kuwe na chanzo ili kitu kiwepo
Hili sio jibu la swali nililo kuuliza,narudia tena umejuaje kama ulimwengu hauna chanzo. Unajibu kwamba siyo lazima kuwe na chanzo ili kingine kiwepo. Hili ndiyo swali la msingi.Nishakujibu hapo juu na hapa narudia tena sitaki swali hili lijirudie tena
Sio lazima kuwe na chanzo ili kusababisha kingine kiwepo
Jibu swali nililo kuuliza. Maana hujui pia kama wewe ni mjingw,sasa ujasiri wa kujadiliana na unaupata wapi ?Abusive
Hilo kosa la kiuandishi,nakusudia Cloning. Sasa huu mchakato huwa wanafanya ng'ombe wenyewe ?Mi sielewi clojing ya ng'ombe ni kitu gani
Cloning ni Biological copying. Utakuwa huelewi ninachokiandika.Hiki ulichokiandika I'm pretty sure that you have no clue about clone
Kwa hiyo scientist anayefanya hiyo clone kwa kuchukua DNA samples za mtu mwingine, kiumbe kinachotoka hapo baba yake ni huyo mwana sayansi?
Ukweli wake uko wapi ? Maana naona unaruks ruka tu. Tulia na utetee unachokidai.Hata hicho nilichokisema ni cha kweli, we ndio unataka kunilazimisha niseme uongo kua hayupo kwasababu alikufa
Yesu anajulikana.Ni sawa na leo mtu aseme thibitisha yesu yupo, hutaweza kumtaja muigizaji bryan deacon ambaye kacheza movie mwanzoni mwa mwaka 2000 wakati habari za yesu zilikuwepo wayback 2000 years ago
Kuwepo kwake au kutokuwepo hakuhadilishi maana ya kuwa huyo ni tokeo la ubunifu wa watu.Mimi swali langu limeenda extra miles kwasababu kabla ya 2002 bado habari za spiderman zilikuwepo so kabla ya 2002 spiderman hakuwepo?
Huyo anakuwa muongo sababu Yesu tuna mjua.So mtu kama huyu akisema yesu ni bryan deacon ana maanisha kua hakujawahi kuwa na habari za yesu katika kipindi hicho kabla ya hiyo filamu
Haswaa nataka jina na ilikuwaje ? Naona swali limekuwa rahisi zaidi. Usiwe unasemw tu vitu jumla jumla. Tuendelee.Unapouliza kina nani unataka jina?
Kwani haiwezekani watu wakaficha identity zao wasijulikane kwa majina?
Kuna vitabu vingi vimeandikwa ila mwandishi hajulikani ni nani, so kwa hoja kwasababu mwandishi hajulikani kitabu hicho kitakua kimejiandika?
Tunafahamu kuwa pyramid zimejengwa, ila hakuna mwenye kujua jina la mjenzi wala kampuni iliyoshiriki kujenga hizo pyramid. So tuishie kusema kuwa hazikujengwa bali zilijijenga kwasababu haifahamiki ni nani mjenzi?
Poa.kwasababu huwezi kulijibu?
Ndiyo maana nikakusoa.Suo kuirejea tu umeielewa?
Sijui ni nani.Msanifu ni nini?
Onyesha kuwezekana kwa hili. Maana yake tupo tupo tu kisha tufe iwe basi. Nikisema una ugonjwa wa akili ujue sikudhulumu.Well, hii haizuii wala haina effect kwenye principle ya kila kilichopo ni lazima kiwe na chanzo
Sijui.Kujieleza vipi?
Sijui maarfa ni nini ?Maarifa ni nini?
Ulimwengu ndo umekufanya wewe uwepo, unahitaji kitu gani kingine
Pumzi unayopumua wewe imetoka kwenye huu ulimwengu, kupitia maarifa yako wewe jurjan unaweza ku produce oxygen ukaivuta maisha yako yote?
Ni vingapi ulimwengu inavifanya ambavyo wewe na maarifa yako huviwezi
Kama ulimwengu unaweza kufanya yote hayo bila kuwa na maarifa, then maarifa ni
Nishajibu hili swali,na hapa nasubiri jibu la swali ya kuwa umejuaje kama Ulimwengu hauna chanzo ?Kila kilichopo ni lazima kiwe na chazo?
kwani nani aliyedai kuran imekosoa dini zote zilizokinyume na uislam?Amekwambia nani ?
we umesoma vitabu vya kila dini mpaka ukaona uislamu ndio dini ya kweli?Tafuta kitabu usome,usiulize maswali ya kijinga.
Kwa mujibu wa ukristo kuisoma biblia na kuielewa kuna hitaji uvuviwe na roho mtakatifuJibu swali nililo kuuliza. Mfano uongo wa UKRISTI unaweza kuuvunja katika msingi wao mmoja tu wa UTATU. Sasa jengs hoja ujib swali,usiendeshwe na dhana na kubahatisha.
Nilichokiona umgeni katika mambo ukosoaji.
Argumentum Ad HominemOna ulivyo kuwa mjinga.
Kwanza inategemeana na namna ambavyo unau define "uhalisia"Unaujua msingi su misingi ya Atheism au misingi ya Ubudha?
Misingi inabatilishwa kwa njia nyingi,kww uhalisia,kwa nususi za kisheria (Qur'aan na Hadithi), Historia,kuhoji na mfano wa njia nyingine.
Wakristo wanakanuni zao ambazo ili uweze kufikia hatua ya kuhoji lazima level fulani umezipitia. ili ufike 3 basi 1&2 lazima umezipitaKwahiyo hata Ukristo naweza kuvunja misingi yake kwa kuhoji tu na kuangalia uhalisia.
Mostly every religion has such claimKadhalika Qur'aan ndiyo mwisho wa matatizo na huwa inahukumu sababu imetoka kwa yule mkamilifu.
Na ili vitabu vya dini zingine zaidi ya 2000 viwe uwongo vinatakiwa kukosolewa.Maana yake ili uwe mkweli unatakiwa uikosoe Qur'aan,hili hamjawahi kuweza.
Hii ni kwa mujibu wa uislamu, usitegemee kanuni hizo kuzitafuta kwenye dini zingineKupitia :
1. Dini yangu.
2. Akili/kutafakari
3. Kuhoji
4. Uhalisia
Kama ambavyo wewe ni muongo kwa kuita dini zingine za uwongo wakati hujawahi kuzisoma zoteWatakuwa sahihi endapo wakithibitisha hilo,kinyume na hapo wanabaki kuwa waongo na wazushi. Soma hicho kitabu uone hizo dini zilianzia wapi. Usipoteze muda kuandika maoni ya uongo na usiyoweza kuyathibitisha.
Majibu sahihi ni kua hakuna chanzo cha ulimwengu kwasababu sio lazima kuwe na chanzo ili kitu kiwepoSafi kabida,onyesha hayo majibi sahihi katika kutuelezea kuhusu ulimwengu na mpaka sisi kuwepo humu ulimwenguni.
Nikikuambia milele na milele unaelewa nini?Jibi swali nililo kuuliza.
Unavyosema "mpaka ukawa na chanzo" hiyo ni wishful thinkingSafi kabida,maana yake unathibitisha ya kuwa hujui ulimwengu unekuwaje mpaka ukawa hivi,ndiyo maana unaona hauna chanzo.
Hili nimelijibu na nilikusisitiza usiulize tenaSasa swali la msingi ni wewe umejuaje kama Ulimwengu hauna chanzo?
Wishful thinking, kwanini umefikiri jibu libase kwenye mawazo hayo?Swali rahisi sana hili. Umekwambia au unausemea wewe?
Kilichopo si lazima kiwe na chanzoUmejuaje Ulimwengu hauns chanzo ?
Na hiyo ni wishful thinkingKabla namaanisha ulitanguliwa ns kutokuwepo.
Hapo juu nimejibuHujajibu swali,nakuuliza hivi umejuaje ya kuwa ulimwengu hauna chanzo?
Yap nasoma na ndio maana nakujibuUnasema sio lazama kuwe na chanzo. Hivi unasoma unachokiandika mzee ?
Hii inategemeana na namna ulivyoelewa ile kanuniHili sio jibu la swali nililo kuuliza,narudia tena umejuaje kama ulimwengu hauna chanzo. Unajibu kwamba siyo lazima kuwe na chanzo ili kingine kiwepo. Hili ndiyo swali la msingi.
Kwani unapoambiwa ni wamilele unaelewa nini?Hivi unapojua uwepo wa kitu huwa unajuaje ?
Personal attacks once againJibu swali nililo kuuliza. Maana hujui pia kama wewe ni mjingw,sasa ujasiri wa kujadiliana na unaupata wapi ?
Kwanza Cloning kwako unaielewaje?Hilo kosa la kiuandishi,nakusudia Cloning. Sasa huu mchakato huwa wanafanya ng'ombe wenyewe ?
Biological copying ndio kitu gani?Cloning ni Biological copying. Utakuwa huelewi ninachokiandika.
Kwa kitu/mtuNimecheka sana,hiz DNA samples zimetoka kwa nani?
Ya kikubwa huyaweziInakuwaje unauliza maswali ya kitoto namna hii ?S
Falllacy of Argument from Personal Incredulity Asserting that opponent’s argument must be false because you personally don’t understand it.Ukweli wake uko wapi ? Maana naona unaruks ruka tu. Tulia na utetee unachokidai.
Na nani?Yesu anajulikana.
Sasa thibitisha spiderman yupo kupitia habari zake zilizo exist miaka mingi bila kuhusisha mcheza filamu wa 2002Kuwepo kwake au kutokuwepo hakuhadilishi maana ya kuwa huyo ni tokeo la ubunifu wa watu.
kama ambavyo wewe umekuwa muongo kusema unamjua spiderman kwa kumtaja muigizajiHuyo anakuwa muongo sababu Yesu tuna mjua.
Kama unakumbukumbu utakumbuka kuwa nilishawahi kupa link ya vitabu ambavyo havijulikani muandishi unitafutie majina ya waandishi wa hivyo vitabuHaswaa nataka jina na ilikuwaje ? Naona swali limekuwa rahisi zaidi. Usiwe unasemw tu vitu jumla jumla. Tuendelee.
Kama humu jamii forums tunaweza ficha identities zetu kwa fake id tusijuane peesonal bila kuwa na lengo la msingi kwa ajili ya dunia, nini kinazuia kwa hao watu kuficha majina yao kwa ajili ya ku control watu kifikra?Sasa,unatakiwa utuambia je wameficha hayo majina na ututhihitishie ukweli wa hilo. Nakukumbusha tu ya madai yako ni kuwa Mungu ni hadith za kutungwa tu watu.
Pale ambapo evidence or rational arguments fail to convince your opponent you think using force and threats could be helpfulUsiendelee kuonyesha udhaifu wako wa kuandika mambo usiyo kuwa na ujuzi nayo. Hili litakupa tabu sana maisja yako yote,na ukikutana na mimi na hiki ndicho kinachokukuta.
Misingi inayokubalika na nani?Mathalani mimi kwa kutumia misingi ya uhakiki wa habari huwa tunajua huyu kaficha kwa sababu na aliyefichwa ni huyu.
Unaniwekea maneno mdomoni?Au wakubwa zako walio kuambia Mungu ni matokeo yacmawazo ya watu,hawakukutajia majina na kukuambia ilikuwaje ? Maana nyinyi ndiyo kawaida yenu kubeba beba mambo bila kuhoji.
Kuwa maarufu sio kigezo cha kufanya kitu kiwe kweli. Kuwa maarufu hakuzibi mwanya wa mwandishi kutojulikanaSuala muandishi kutojulikana na kuhus nani wa kwanza kumbuni Mola n vitu viwili kando. Sababu suala la kubuniwa Mungu limekuwa maarufu sana na habari zake zina mapokezi ya watu wengi. Kwahiyo kuniambia ya kuwa muandishi hajulikani wewe unaongopa na unathibitisha ya kuwa ulichokiandika umekisikia tu na wala huja hoji,kwanini hao ulio wasikia wanadai hayo.
Sasa nani aliyeandika hivi vitabuKuuliza swali kuwa kitabu kimejiandika ni kupoteza muda sababu hili haliwezekani
Kama ambavyo mwandishi wa vitabu vya dini hajulikani hivyo haitoi wigo wa kusema uongo kua ni mungu au habari za supernatural powerhapo tutasema muandishi wa kitabu hajulikani.
Mchakato mrefu unao chukua muda kiasi gani?Lakini mchakato wa kuhitimisha juu ya kutokujulikana kwa maandishi ni mchakato mrefu sana.
Nitajie hapa kwa majina na uthibitisho uwekeWajenzi wa Pyramid wanajulikana.
Na watu ambao hawajajulikana kwa majinaKingine usitoke kwenye swali la msingi,kwamba unachotakiwa kukifanya hapa ni kututhinitishia ya kuwa Mungu amebuniwa na nani na ilikuwa lini?
Habari zake ni za kufikirika tu, hathibitishiki kihalisia nje ya masimulizi yake kama ilivyo spidermanHili umejuaje kama mungu amebuniwa?
Umeielewaje?Ndiyo maana nikakusoa.
Mkuu maswali yakondikirishi Sana....!Mungu ivi kwanini ataki kuja kumaliza maneno maneno yanayo endelea duniani maana kama mtume wa mwisho alimtuma miaka iyo.
Kusema dunia ya sasa ipo salama sana mpka asitume mitume wengne afu mitume Mungu sijui alikuwa anapendelea.
mbona china wengi vile ajawai kuwatumia mtume.
So ulilopoka bila kujua maana yake?Sijui ni nani.
As long as ulishakiri hujui you have no right to prove me wrongPili,hakai nini katika Msanifu. Uliza swali kwa usahihi.
Fallacy of Argument from Adverse Consequences. Asserting that an argument must be false because the implications of it being true would create negative resultOnyesha kuwezekana kwa hili. Maana yake tupo tupo tu kisha tufe iwe basi. Nikisema una ugonjwa wa akili ujue sikudhulumu.
Then hoja yako inapaswa kupuuzwaKisha soma ulichokiandika vizuri.
Sijui.
Sijui maarfa ni nini ?
Kupitia pumzi ambayo inazalishaThibitisha ya kuwa ulimwengu umenifanya mimi niwepo.
Kasome photosynthesisImetokaje tokaje hiyo pumzi?
Nimekupa mifano ambayo ulimwengu ambao umedai hauna maarifa unaweza kufanya ambayo wewe huwezi kufanya licha ya kujinadi una maarifaUnaelewa maana ya kitu fulani kinafanya kitu fulani ? Hapa ndipo utakapo jua ya kuwa niliposema ulimwengu hauwezi kufanya hivyo sababu hauna hivyo vitu nilivyo vitaja. Sasa nahitimisha kwa swali hili ili kitu kifanye kitu fulani kinatakiwa kiwe na nini na nin ? Kisha uniambie ulimwengu unaweza kufanya kwa dhati yake ?
Nothin new nishajibu nakuweka msisitizo kuwa swali hili nikilijibu hapa usirudie tena kuuliza kuuliza. Sitegemei kurudia tena kujibuNishajibu hili swali,na hapa nasubiri jibu la swali ya kuwa umejuaje kama Ulimwengu hauna chanzo ?
Nasubiri jibi la swali hili.
Ni uongo fulani unaowafanyia maisha yao yawe rahisi, wasisumbue sana akili zao.Kwa hiyo ina make sense at some level.Kama unapenda uvivu.Hapa ofisini napofanyia kazi huwa wananiona mwehu! I can't comprehend how people are so narrow minded.
Eti Joshua akasimamisha [emoji3508] jua.!
Nuhu akampakia Arctic bear [emoji199] kwenye Safina huku jangwani middle East [emoji3591].[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Poa.kwani nani aliyedai kuran imekosoa dini zote zilizokinyume na uislam?
we umesoma vitabu vya kila dini mpaka ukaona uislamu ndio dini ya kweli?
Kwa mujibu wa ukristo kuisoma biblia na kuielewa kuna hitaji uvuviwe na roho mtakatifu
sasa wewe una amini katika roho mtakatifu?
Na yeyote aliyeingiwa na roho mtakatifu hatoona dosari ya biblia pindi anapoisoma.
Huo uwongo unaodai upo kwenye ukristo unathibitisha kwamba hukupata nguvu ya roho mtakatifu ambaye angekuongoza uweze kuelewa vizuri
Argumentum Ad Hominem
Hivi unajiskiaje kuona mtu ambaye hana dini wala hofu ya mungu hatoi personal attacks?
Pengine watu wasiojua atheist walitegemea kuona mimi ndo ningekuwa mtu wa kwanza kukushambulia kwa maneno kama hayo
Nazidi kukupa faida kua, kuwa na maadili mazuri hakuhitaji uamini mungu wala dini
Kwanza inategemeana na namna ambavyo unau define "uhalisia"
Uhalisia ni nini?
Huwezi uka defend habari za dini kwa itifaki ya kihalisia ( unless uwe na maana yako ya uhalisia nje ya hii nayo ijua mimi)
uhalisia gani unao support habari za mtu kugawanyisha mwezi vipande viwili na kuurudisha tena?
Wakristo wanakanuni zao ambazo ili uweze kufikia hatua ya kuhoji lazima level fulani umezipitia. ili ufike 3 basi 1&2 lazima umezipita
Wakristo wana amini katika roho mtakatifu ambaye huyu huwashukia wale walio safi, roho huyu hakai mahali pachafu.
Roho mtakatifu ndo muongozo mzima wakumfanya mtu aijue biblia kwa mapana yake. Hivyo bila roho mtakatifu kukuingia huwezi jua biblia
Sasa swali la kujiuliza ni je ulipokuwa unasoma hiyo biiblia uliomba kwa mungu ili ushushiwe roho mtakatifu?
Kama jibu ni ndio there three things involved
1. Kama roho mtakatifu alikuingia basi hautakiwi kuona kosa kwenye biblia
2. Kama roho roho mtakatifu alikuingia basi ni wazi uislam umepotoka kwa maana hauamini katika roho mtakatifu
3. Kama roho mtakatifu hakukuingia basi hauja qualify kusema ukristo ni dini ya uwongo
Mostly every religion has such claim
Nini kinachokufanya uone madai hayo kutoka dini yako ni ya ukweli na ya wenzako ni uwongo?
Na ili vitabu vya dini zingine zaidi ya 2000 viwe uwongo vinatakiwa kukosolewa.
Na sio kukosolewa tu bali wahusika wa hivyo vitabu wakiri kuwa kwa hoja ambazo mmezitoa kweli vitabu vyao ni vya uongo
Unavyopinga dini zingine hautakiwi kutumia sheria za dini zako, so kama wewe dini yako imesema mungu aliumba mtu kwa udongo hivyo ukaweka dhana hiyo kama silaha ya kua dini fulani ni ya uwongo kwasababu imesema binadamu aliumbwa kwa material mengine tofauti na udongo
Hii ni kwa mujibu wa uislamu, usitegemee kanuni hizo kuzitafuta kwenye dini zingine
Kama kila kitu cha dini yako ukataka kiwepo kwenye dini za wengine kutakuwa na maana gani kusema dini nyingi?
Kama ambavyo wewe ni muongo kwa kuita dini zingine za uwongo wakati hujawahi kuzisoma zote
Majibu sahihi ni kua hakuna chanzo cha ulimwengu kwasababu sio lazima kuwe na chanzo ili kitu kiwepo
Nikikuambia milele na milele unaelewa nini?
Unavyosema "mpaka ukawa na chanzo" hiyo ni wishful thinking
Ushajiwekea mawazo yako kua kisicho na chanzo ni lazima kuna kitu kili facilitate mpaka ulimwengu ukawepo
Hili nimelijibu na nilikusisitiza usiulize tena
Wishful thinking, kwanini umefikiri jibu libase kwenye mawazo hayo?
Kilichopo si lazima kiwe na chanzo
Na hiyo ni wishful thinking
Umeweka mawazo yako unataka niyajadili as if mi ndo nili declare
Hapo juu nimejibu
Yap nasoma na ndio maana nakujibu
Kwanini ufikiri chanzo ni lazima ili kingine kiwepo?
Hii inategemeana na namna ulivyoelewa ile kanuni
"Kila kilichopo ni lazima kiwe na chanzo"
Kwani unapoambiwa ni wamilele unaelewa nini?
Personal attacks once again
Kwanza Cloning kwako unaielewaje?
Biological copying ndio kitu gani?
Kwa kitu/mtu
Sasa ulisema uwepo wa mtu huthibitisha baba yupo/kuwepo, mi nikakuambia unajuaje kwamba mtu fulani ana baba na siyo cloning ambayo haihitaji mbegu za baba?
Ukimfanyia clone mwanamke, product utayoipata itakuwa na baba gani?
Ya kikubwa huyawezi
Falllacy of Argument from Personal Incredulity Asserting that opponent’s argument must be false because you personally don’t understand it.
Hoja haiwezi kuwa ya uwongo eti kwakua tu we huielewi
Na nani?
Sasa thibitisha spiderman yupo kupitia habari zake zilizo exist miaka mingi bila kuhusisha mcheza filamu wa 2002
kama ambavyo wewe umekuwa muongo kusema unamjua spiderman kwa kumtaja muigizaji
Kama unakumbukumbu utakumbuka kuwa nilishawahi kupa link ya vitabu ambavyo havijulikani muandishi unitafutie majina ya waandishi wa hivyo vitabu
Hukuweza
Kwasababu hukuweza kwa hiyo nitakuwa sawa kusema vitabu hivyo havina mwandishi au vilijiandika?
Kama humu jamii forums tunaweza ficha identities zetu kwa fake id tusijuane peesonal bila kuwa na lengo la msingi kwa ajili ya dunia, nini kinazuia kwa hao watu kuficha majina yao kwa ajili ya ku control watu kifikra?
Pale ambapo evidence or rational arguments fail to convince your opponent you think using force and threats could be helpful
Misingi inayokubalika na nani?
We know for sure hakuna misingi ambayo ni universal imewekwa kama mzani kubaini uongo wa dini.
Hiyo misingi ilipangwa na kukubaliwa itumike dhidi ya nani?
Unaniwekea maneno mdomoni?
Wapi ninedai ninawakubwa zangu walioniambia hivyo?
Kuwa maarufu sio kigezo cha kufanya kitu kiwe kweli. Kuwa maarufu hakuzibi mwanya wa mwandishi kutojulikana
Vipo vitabu maarufu mpaka leo havijulikani nani aliviandika
Sasa nani aliyeandika hivi vitabu
1. History of San Mateo County, California (Classic Reprint)
2. The Voynich Manuscript
Kama ambavyo mwandishi wa vitabu vya dini hajulikani hivyo haitoi wigo wa kusema uongo kua ni mungu au habari za supernatural power
Mchakato mrefu unao chukua muda kiasi gani?
Nitajie hapa kwa majina na uthibitisho uweke
Na watu ambao hawajajulikana kwa majina
Unaposema lini unakusudia nikuambie tarehe?
Habari zake ni za kufikirika tu, hathibitishiki kihalisia nje ya masimulizi yake kama ilivyo spiderman
Sijaelewa.Umeielewaje?
Jambo langu mimi nimemaliza.So ulilopoka bila kujua maana yake?
As long as ulishakiri hujui you have no right to prove me wrong
Fallacy of Argument from Adverse Consequences. Asserting that an argument must be false because the implications of it being true would create negative result
Hoja hiyo haina mantiki kwa sababu ukweli wa hoja hautazamwi kulingana na jinsi wewe unavyopenda au kutopenda matokeo ya ukweli huo
Then hoja yako inapaswa kupuuzwa
Kupitia pumzi ambayo inazalisha
Kasome photosynthesis
Nimekupa mifano ambayo ulimwengu ambao umedai hauna maarifa unaweza kufanya ambayo wewe huwezi kufanya licha ya kujinadi una maarifa
Hujaweza kunijibu kwanini vitu hivyo huwezi kuvifanya ilihali una maarifa
Nothin new nishajibu nakuweka msisitizo kuwa swali hili nikilijibu hapa usirudie tena kuuliza kuuliza. Sitegemei kurudia tena kujibu
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu n.k hivyo ndani ya Biblia kuna vitabu vya mitume mbalimbali,Qur'an pia inaelezea visa vya hiyo mitume pamoja na mafunzo mbalimbali ya hizo zama zilizopita. Sasa hapo nani kamkopy nani?Kwenye vitabu kuna watu walikopi kitabu cha wenzao na kuingiza marekebisho kidogo.