Yawezekana Afande Sele yupo Sahihi?

Yawezekana Afande Sele yupo Sahihi?

Sasa tukisema tuanze kuwekeana tafsiri hapa kwa mujibu wa mtu anavyojua basi hatutakubalina na jibu la upande wowote ule

Mwingine anaweza akawa kinyume na wewe akasema hao pichani wameputuka
Hapo hakuna kwa mujibu kila mtu au mtu anavyo ona,kusujudu kunajulikana na kupiga magoti kunajulikana.

Hakuna maana nyingine kinyume na niliyo itoa mimi kuhusi kusujudu na kupiga magoti. Maana yake ni kuwa atakaye toa kinyume na maana hiyo,huyo ni muongo na amekosea.
 
Kwanza kabisa, ninaanza kwa kumjadili Mungu anayedaiwa kuwa ni muumba wa ulimwengu, mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Mungu wa tabia hizi ni kama aliyeandikwa katika Quran na Biblia.

Mungu huyu ni wa hadithi tu, kwa sababu, sifa zake ukizilinganisha na uhalisi wa mambo tunayoyaona katika ulimwengu ni contradiction.

The problem of evil shows this God is a mythical figure, not a real one outside the myths.

Mungu huyu ni wa kinadharia, na nadharia yenyewe ina contradiction.

Ni sawa na kusema kwamba, katika plane Euclidean geometry, kuna umbo linaloitwa pembetatu-duara ambalo kwa wakati mmoja huo huo ni pembetatu na duara.

Sasa hapo utajua kwamba, pembetatu ina pembe tatu, duara halina pembe, pembe tatu ina nyuzi 180, duara lina nyuzi 360.

Kwa hivyo, katika plane Euclidean geometry, hakuna umbo ambalo kwa wakati mmoja huo huo ni pembetatu na duara.

Hiyo ni contradiction inayoonesha nadharia ya kuwepo kwa umbo hilo ni nadharia tu, kiuhalisia umbo hilo halipo.

Uwepo wa huyo Mungu ni sawa na kusema kwamba katika non-relativistic framework kuna binti wa kike wa miaka mitano ambaye ni mama mzazi wa mzee mwenye miaka sitini na tano.

Nadharia hii ya binti wa miaka mitano kuwa mama mzazi wa mzee wa miaka sitini na tano ina contradiction, mzee wa miaka sitini na tano mama yake mzazi anatakiwa kuwa na miaka zaidi ya sitini na tano.

Contradiction katika nadharia ya kuwepo kwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya (the problem of evil) inaonesha kwamba Mungu huyo ni wa kinadharia tu, kiuhalisia hayupo.

Ni hadithi za watu walioamua kujipa majibu rahisi kwa maswali magumu wasiyojua majibu yake ya kweli, kama sehemu ya coping mechanism katika kupambana na maisha.
Sahihi!

Na kwa mtazamo wako,hakuna possibility ya kitu nje ya huu ulimwengu kilicho/kinacho influence Ulimwengu wetu?

Una confidence kwa kiasi gani kuwa "naturalistic worldview" itatupa majibu ya kila swali
 
Yawezekana Mungu yupo kweli, ila baada ya uumbaji, ameamua kutuacha tuendelee na mambo yetu bila kuinterfere
 
Sahihi!

Na kwa mtazamo wako,hakuna possibility ya kitu nje ya huu ulimwengu kilicho/kinacho influence Ulimwengu wetu?

Una confidence kwa kiasi gani kuwa "naturalistic worldview" itatupa majibu ya kila swali
Nje ya huu ulimwengu ni wapi? Na kama ulimwengu unakusanya vyote, huko nje ya ulimwengu kumepataje kuwa nje ya ulimwengu?

Unapoandika "naturalistic wordview" una maana gani?

Muandishi wa Science Fiction wa Kiingereza Arthur C. Clarke alisema "Any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic".

You are asking me to prove a negative. That is not a fair question.

What is naturalistic and what is supernatural?

Where and how do you draw the line?

Mimi sijatetea naturalistic worldview popote. Mimi natetea logical consistency tu.

Kwa sababu, kwa mtu anayetumia macho anaweza kusema heat rays hazionekani, si kitu ambacho kinaonekana naturally. Hivyo hakuna heat waves.

Wakati nyoka wa aina ya rattlesnake wanaona infrared wavelengths, wanaona heat waves. Unaweza kujificha nyuma ya pazia wasikuone kwa mwanga, wakakuona kwa heat.

Mimi sasa hivi siwezi kukuambia kitu fulani kitatupa majibu ya kila swali, kwa sababu hata maswali yenyewe sijayamaliza kuyajua bado.

Unaniuliza kama kitu fulani kitatupa majibu ya kila swali wakati hata maswali yenyewe sijayajua yote bado?

Unaelewa kwamba hatujaelewa mengi sana kuhusu Quantum Physics? Kuna mambo huko kwenye Quantum Physics yanaenda kama "Alice In Wonderland" na "Through The Looking Glass". Causes zinatokea baada ya effects, paka wa Schrodinger anakuwa mzima na kafa kwa wakati mmoja huo huo, mtu mmoja anapita katika milango miwili iliyo sehemu tofauti kwa wakati mmoja, na kadhalika na kadhalika.

Sasa haya maswali tu sijamaliza kuyaelewa, unataka niseme kama kuna kitu kitajibu maswali yote?
 
Zaidi ya page 2000 kina volume mbili. Hujui kusoma nini ?

vipo vitabu vya dini pinzani navyo vinazaidi ya page 2000, kuran ili iweze kuelezea vitabu vya dini zingine ili kuthibitisha kua vitabu hivyo ni vya uwongo, kuran itahitaji ipangue kila aya iliyoandikwa katika list ya hivyo vitabu 2000+ vya dini nyingine
Hili swali la kitoto,usiulize tena. Sielewi ila najua kaida na kanuni za kuthibitisha mambo.
hujajibu swali
Ukiulizwa spider man ni nani utatuambiaje ? Kivipi wakati wa mwanzo wake ni huyo aliye buni ?
Nadhani hujalielewa swali

spiderman ukiambiwa umthibitishe yupo au hayupo kihalisia nje ya idea utaweza?
Unathibitisha vipi uhalisia wake wakati ni jambo la kubuni ?
unajuaje ni jambo la kubuni na sio kwamba hujaweza kuwa na maarifa ya kuweza kukithibitisha?
Mawazo yana ukomo ukiona kitu hujawahi kukidiriki katika mawazo huwezi kuelezea,wala kujua kipo.
Kwa maaana hiyo kumbe mawazo yana nafasi ya kubuni kitu cha kufikirika ambacho hakithibitishiki kihalisia kua kipo na vile vile hakithibitishiki hakipo

So kwa point hiyo tumeshajua sio kila chenye jina maana yake kitu hicho kipo kina exist in reality, sometimes ni mawazo tu ya mtu ambayo yame invent character wa kufikirika asiye thibitishika

Sasa mtu akatoea akabuni kitu cha kufikirika ambacho kimsingi hakipo halafu akaweka madai kua kitu hicho kipo ila kimechagua watu fulani tu wa kukijua na ningumu kwa mtu mwingine kujua kua kipo.

Utakubali kua kitu hicho kipo na wewe huna taalumu au qualifications za kuweza kujua kipo?

Mtu huyo akikuambia thibitisha kitu hicho hakipo utaweza?

Hili umelileta wewe.
Nimelileta ili ulijibu
Nikiwa naandika jambo,unatakiwa uelewe. Nilikwambia mwanadamu anavaa uhusika,na ndio maana ukimuuliza Mtu Spiderman ni nani anakwambia ni fulani
Kwanini spiderman awe ni fulani wakati yeye ndio spiderman?

Unanielewa nikikuambia "kihalisia" namaanisha nini?

Mimi simzungumzii spiderman wa kwenye movies za superhero kama ambavyo mtu akiamzungumzia yesu utajua hamaanishi muigizaji bryan deacon

Huyo spiderman unayemlenga wewe ukimuita aje azuie treni la TAZARA kwa nyuzi za buibui ataweza?

Ili uwe si uginjwa wa akili unatakiwa utuambie mchakati ulijuwaje mpaka Ulinwengu ukawa. Hili unalikimbia.
Mchakato ni nini?

Unaposema mchakato hua una refer na kitu gani?

Na kwanini kuwe na mchakato?

Sababu hayupo hii si sababu kijana. Yaani Mola hayupo kwa sababu hayupo ? Ukiambiwa una matatizo ya akili una kataa.
Kwa hiyo unataka kunilazimisha niseme hayupo kwasababu kafa?

Yani sababu ya kutokuwepo iwe imechangizwa kutokana na uwepo wake before?

Sasa Mungu hajawahi kuwepo na mimi nimekujibu kua Mungu ni finctional character wakufikirika tu aliyekuwa invented kwenye mawazo ya watu na ndio maana hathibitishiki, unataka sababu gani nyingine?

Niko serious unaleta mzaha.
Read between lines you'll get it

Ni mchakato maalumu unaofanywa na wanadamu kupatikana kiumbe fulani kutokana na cell za viumbe husika.
Wanadamu gani, elezea vizuri

Kumbuka clone haihitaji sperm wala myai ili kupata embroys
Hukujibu swali kwa namna yoyote ile.

Nakujibu kwa swali,niambie sababu tano za ulazima wa Mola muumba kuwa na chanzo kisha,utajibu maswali nitakayo kuuliza.

Huu mtindo wa logic katika kuhoji hakuweseshi kuujua ukweli. Kwanini ulimwengu hauhitaji chanzo ?

Chanzo nini ,wakati hana chanzo ?

Kila kilichopo kina chanzo?

Yes kina chanzo: Tupe chanzo cha mungu

No hakina chanzo: Ulimwengu nao hauna chanzo

Universal principle ndio imekuhukumu
Thibitisha.
Ni wa milele na milele ulikuwepo tangu na tangu, enzi na enzi
Kijana naona unazunguka mbuyu,hata mchakato wa kupatikana meza haufanani na mchakato wako wewe,ila meza ipo na wewe upo na ulimwengu upo. Tuelezee mchakato wa Ulimwengu ulipatikana vipi ? Ulimwengu umejiumba au umetokana pasi na chochote...?
Mchakato ni nini?

Meza haikuwepo lakini baadaye fundi akaitengeneza. Sasa unataka utumie njia hizo hizo kuhoji ulimwengu ambao hauna chanzo ulikuwepo tangu enzi na enzi?

Kukiwa na mchakato kutakuwa na point gani ya kusema ulimwengu hauna chanzo?

Huo mchakato ulikuwa unafanyika outside au inside ya ulimwengu?
 
vipo vitabu vya dini pinzani navyo vinazaidi ya page 2000, kuran ili iweze kuelezea vitabu vya dini zingine ili kuthibitisha kua vitabu hivyo ni vya uwongo, kuran itahitaji ipangue kila aya iliyoandikwa katika list ya hivyo vitabu 2000+ vya dini nyingine
Kwanza tafuta hicho kitabu. Kisha nani alikwambia ili kuvunja hoja za dini fulani basi lazima uguse kila nukta ? Huu utoto umejifunzia wapi ?

Sisi tunaangalia misingi,kwani jengo halisimami bila msingi. Kwahiyo tukivunjs msingi mmoja ujue tumevunja jengo zima.

Hicho kitabu kinaelezea misingi ya hizo dini,kwani kutokana na misingi hupatikana matawi. Hivi mathalani nikitaka kuona Uongo wa Uhindu lazima niguse kila nukta ? Hivi mnahukumu vipi mambo ?
Universal principle ndio imekuhukum
Safi kabisa,umeijuaje hii kanuni ? Ili kitu kihukumu kinabidi kikidhi vigezo gani ?
Meza haikuwepo lakini baadaye fundi akaitengeneza. Sasa unataka utumie njia hizo hizo kuhoji ulimwengu ambao hauna chanzo ulikuwepo tangu enzi na enzi?

Kukiwa na mchakato kutakuwa na point gani ya kusema ulimwengu hauna chanzo?

Huo mchakato ulikuwa unafanyika outside au inside ya ulimwengu?
Ulimwengu umejiumba au umetokana pasi na chochote ? Hili swali unalikimbia.

Sasa kama meza haikuwepo,naomba unithibitishie ya kuwa Ulimwengu hapo kabla ulikuwepo ? Swali langu rahisi sana yaani nataka unismbie umejuaje kama Ulinwengu hauna chanzo ? Hili ndiyo swali la msingi.

Maana yake wewe huna hoja zaidi ya kulazimisha ulimwengu usiwe na chanzo.
Ni wa milele na milele ulikuwepo tangu na tangu, enzi na
Umejuaje hili,au kipi kimekujulisha hili ? Umeona,una dhani au una uhakika ? Kama una uhakika thibitisha.
Wanadamu gani, elezea vizuri

Kumbuka clone haihitaji sperm wala myai ili kupata embroys
Kijana inakuwaje mjinga kiasi hicho ? Unataka kuniambia Mchakato wa Clojing ya Ng'ombe hufanya Ng'ombe wenyewe ? Hii michakato inafanywa mwanadamu,sasa usiulize maswali ili mradi umeuliza,bali uliza vya maana.
hujajibu swali
Swali gani sijajibu ?
Kwa hiyo unataka kunilazimisha niseme hayupo kwasababu kafa?
Unatakiwa useme vya kweli na si dhana na kuhoji kitoto kww mtindo wa logic.
Nadhani hujalielewa swali

spiderman ukiambiwa umthibitishe yupo au hayupo kihalisia nje ya idea utaweza?
Unarudia swali nililo jibu.
unajuaje ni jambo la kubuni na sio kwamba hujaweza kuwa na maarifa ya kuweza kukithibitisha?
Jibu swali.
Sasa Mungu hajawahi kuwepo na mimi nimekujibu kua Mungu ni finctional character wakufikirika tu aliyekuwa invented kwenye mawazo ya watu na ndio maana hathibitishiki, unataka sababu gani nyingine?
Safi kabisa,naomba uonyeshe ukweli wa maneno yako.

Kina nani hao walifanya kazi hiyo,yaani wale wa mwanzo walio mbuni Mungu mpaka habari hizi zikatufikia sisi ? Yaani ilikuwaje Mungu akabuniwa ?

Bila shaka aliyembuni Spiderman anajulikana, naomba utujuze ya kuwa nani wa kwanza kumbuni Mola na utupe ushahidi. Usilete habari za "dhana" mara "labda" na mfano wa maneno kama hayo.
Nimelileta ili ulijibu
Kwanini unaleta jambo ambalo si mahala pake ?
 
Kwa maaana hiyo kumbe mawazo yana nafasi ya kubuni kitu cha kufikirika ambacho hakithibitishiki kihalisia kua kipo na vile vile hakithibitishiki hakipo

So kwa point hiyo tumeshajua sio kila chenye jina maana yake kitu hicho kipo kina exist in reality, sometimes ni mawazo tu ya mtu ambayo yame invent character wa kufikirika asiye thibitishika

Sasa mtu akatoea akabuni kitu cha kufikirika ambacho kimsingi hakipo halafu akaweka madai kua kitu hicho kipo ila kimechagua watu fulani tu wa kukijua na ningumu kwa mtu mwingine kujua kua kipo.

Utakubali kua kitu hicho kipo na wewe huna taalumu au qualifications za kuweza kujua kipo?

Mtu huyo akikuambia thibitisha kitu hicho hakipo utaweza?
Kijana inakuwaje unarudia jambo ambalo liko wazi ? Unapenda kupoteza muda kwenye hakuna. Msingi wa maneno hays ni kutaka kutuonyesha ya kuwa Mungu muumba amebuniwa. Sasa ndiyo nimekuuliza swali,nani aliyembuni na ilikuwaje akabuniww,kisha utuwekee ushahidi wa hayo unayo yadai. Maana vilivyobuniww tunavijua na tunawajua walio vibuni.
 
Kwanini spiderman awe ni fulani wakati yeye ndio spiderman?
Ukiambiwa spiderman unamjua ? Utajibu vipi ?

Sababu Spiderman ni wasifu ainishi wa muhusika fulani katika jambo maalumu.
Kwanini spiderman awe ni fulani wakati yeye ndio spiderman?

Unanielewa nikikuambia "kihalisia" namaanisha nini?

Mimi simzungumzii spiderman wa kwenye movies za superhero kama ambavyo mtu akiamzungumzia yesu utajua hamaanishi muigizaji bryan deacon

Huyo spiderman unayemlenga wewe ukimuita aje azuie treni la TAZARA kwa nyuzi za buibui ataweza?
Hivi huwa unasoma vizuri ninachokiandika ?
 
Nje ya huu ulimwengu ni wapi? Na kama ulimwengu unakusanya vyote, huko nje ya ulimwengu kumepataje kuwa nje ya ulimwengu?

Unapoandika "naturalistic wordview" una maana gani?

Muandishi wa Science Fiction wa Kiingereza Arthur C. Clarke alisema "Any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic".

You are asking me to prove a negative. That is not a fair question.

What is naturalistic and what is supernatural?

Where and how do you draw the line?

Mimi sijatetea naturalistic worldview popote. Mimi natetea logical consistency tu.

Kwa sababu, kwa mtu anayetumia macho anaweza kusema heat rays hazionekani, si kitu ambacho kinaonekana naturally. Hivyo hakuna heat waves.

Wakati nyoka wa aina ya rattlesnake wanaona infrared wavelengths, wanaona heat waves. Unaweza kujificha nyuma ya pazia wasikuone kwa mwanga, wakakuona kwa heat.

Mimi sasa hivi siwezi kukuambia kitu fulani kitatupa majibu ya kila swali, kwa sababu hata maswali yenyewe sijayamaliza kuyajua bado.

Unaniuliza kama kitu fulani kitatupa majibu ya kila swali wakati hata maswali yenyewe sijayajua yote bado?

Unaelewa kwamba hatujaelewa mengi sana kuhusu Quantum Physics? Kuna mambo huko kwenye Quantum Physics yanaenda kama "Alice In Wonderland" na "Through The Looking Glass". Causes zinatokea baada ya effects, paka wa Schrodinger anakuwa mzima na kafa kwa wakati mmoja huo huo, mtu mmoja anapita katika milango miwili iliyo sehemu tofauti kwa wakati mmoja, na kadhalika na kadhalika.

Sasa haya maswali tu sijamaliza kuyaelewa, unataka niseme kama kuna kitu kitajibu maswali yote?
Yah,sasa kama tumekubaliana kuwa kuna mengi bado hatuyafahamu kuhusu huu ulimwengu na kuna maswali mengi bado hatuwezi kuyajibu kama ulivyofafanua vizuri hapo juu

Unafikia vipi conclusion kuwa hakuna kitu chochote kile kinacho/kilicho influence ulimwengu wetu?

Kuutafsiri ulimwengu kama jumla ya kila kitu kilichopo wakati bado una kili kuna mengi bado huyafaham sio dhana sahihi

Kama ulimwengu ni jumla ya kila kitu kilichopo,na wakati huo huo ni ukweli kuwa ulimwengu una tanuka

Utakua unatanuka ndani ya kitu gani?

Labda kuweka vizuri hoja yangu,ni kuwa tunaweza kukubaliana juu ya uwezo wa sayansi kuuelezea huu ulimwengu wetu tunao uona

Na pia tunaweza kukubaliana Mungu kama anavyoelezewa na dini / au vitabu vya dini hayupo

Ila hatuwezi kubaliana kuwa hakuna possibility ya intelligent agent(s) inayo/iliyo influence ulimwengu wetu haswa kwenye Asili ya maisha

Na kwakua neno Mungu linaweza beba maana yoyote,tuitee hii/hizi intelligent agents(bila kuhofu kuhusu asili yake/zake) kuwa ndio Mungu

Sasa swali litakua,kwa machache haya tunayoyajua kuhusu ulimwengu tunafikia vipi conclusion ya kukataa kabisa possibility ya uwepo Wa Mungu haswa kwenye asili ya maisha?
 
Nini kinachokufanya uhisi ulimwengu nao unahitaji kupitia kanuni za hivyo vitu?
Kwanza usiniulize kwa kuniambia "uhisi" . Sababu nins uhakika na ninachokiandika.

Sababu ziko nyingi sana,na hizi ni baadhi.

1. Ulimwengu si msanifu
2. Ulimwengu hauna malengo
3. Ulimwengu hauna uwezo wa kujielezea wenyewe.
4. Ulimwengu hauna maarifa kwa dhati yake.

Nasubiri majibu ya maswali niliyo kuuliza.

Ahsante.
 
Kwanza tafuta hicho kitabu.
Si viko ndani ya quran basi we ndo uvitaje
Kisha nani alikwambia ili kuvunja hoja za dini fulani basi lazima uguse kila nukta ? Huu utoto umejifunzia wapi ?
Ukisoma vi mistari viwili na kui attack dini ya mwenzako utaambiwa umesoma kama GAZETI

Sisi tunaangalia misingi,kwani jengo halisimami bila msingi. Kwahiyo tukivunjs msingi mmoja ujue tumevunja jengo zima.
Misingi kwa sheria ya nani?

Unatumia sheria ya misingi ya dini yako kubatilisha dini ya wengine?

Hicho kitabu kinaelezea misingi ya hizo dini,kwani kutokana na misingi hupatikana matawi. Hivi mathalani nikitaka kuona Uongo wa Uhindu lazima niguse kila nukta ? Hivi mnahukumu vipi mambo ?
Uongo wa uhindu unaupima kupitia mzani upi?

Kupitia dini yako?

Kama ndo hivyo nao watakuwa sahihi kusema uislamu ni dini ya uwongo kwa ku refer na dini yao
Safi kabisa,umeijuaje hii kanuni ?
Nimeijua kwasababu inaleta majibu sahihi
Ili kitu kihukumu kinabidi kikidhi vigezo gani ?
Irrelevant

Ulimwengu umejiumba au umetokana pasi na chochote ? Hili swali unalikimbia.
Kujiumba ndio nini? Wishful thinking

Ulimwengu hauna chanzo

sasa kama ulijiumba kutakua hakuna mashiko kusema hauna chanzo kwa maana kabla haujajiumba haukuwepo

Sasa kama meza haikuwepo,naomba unithibitishie ya kuwa Ulimwengu hapo kabla ulikuwepo ?
Nimekuambia ulimwengu hauna chanzo.

Unaposema "kabla" una maanisha nini?

Swali langu rahisi sana yaani nataka unismbie umejuaje kama Ulinwengu hauna chanzo?
Na jibu lake ni rahisi pia

Kwasababu sio lazima kuwe na chanzo ili kitu kiwepo

Umejuaje hili,au kipi kimekujulisha hili ? Umeona,una dhani au una uhakika ? Kama una uhakika thibitisha.
Nishakujibu hapo juu na hapa narudia tena sitaki swali hili lijirudie tena

Sio lazima kuwe na chanzo ili kusababisha kingine kiwepo

Kijana inakuwaje mjinga kiasi hicho ?
Abusive
Unataka kuniambia Mchakato wa Clojing ya Ng'ombe hufanya Ng'ombe wenyewe ?
Mi sielewi clojing ya ng'ombe ni kitu gani
Hii michakato inafanywa mwanadamu,sasa usiulize maswali ili mradi umeuliza,bali uliza vya maana.
Hiki ulichokiandika I'm pretty sure that you have no clue about clone

Kwa hiyo scientist anayefanya hiyo clone kwa kuchukua DNA samples za mtu mwingine, kiumbe kinachotoka hapo baba yake ni huyo mwana sayansi?

Unatakiwa useme vya kweli na si dhana na kuhoji kitoto kww mtindo wa logic.
Hata hicho nilichokisema ni cha kweli, we ndio unataka kunilazimisha niseme uongo kua hayupo kwasababu alikufa

Unarudia swali nililo jibu.
Hujajibu swali, umemuongelea mcheza filamu Tobey Maguire ambaye kacheza movie 2002

Mimi swali langu limeenda extra miles kwasababu kabla ya 2002 bado habari za spiderman zilikuwepo so kabla ya 2002 spiderman hakuwepo?

Ni sawa na leo mtu aseme thibitisha yesu yupo, hutaweza kumtaja muigizaji bryan deacon ambaye kacheza movie mwanzoni mwa mwaka 2000 wakati habari za yesu zilikuwepo wayback 2000 years ago

So mtu kama huyu akisema yesu ni bryan deacon ana maanisha kua hakujawahi kuwa na habari za yesu katika kipindi hicho kabla ya hiyo filamu
Jibu swali.

Safi kabisa,naomba uonyeshe ukweli wa maneno yako.

Kina nani hao walifanya kazi hiyo,yaani wale wa mwanzo walio mbuni Mungu mpaka habari hizi zikatufikia sisi ? Yaani ilikuwaje Mungu akabuniwa ?

Bila shaka aliyembuni Spiderman anajulikana, naomba utujuze ya kuwa nani wa kwanza kumbuni Mola na utupe ushahidi. Usilete habari za "dhana" mara "labda" na mfano wa maneno kama hayo.
Unapouliza kina nani unataka jina?

Kwani haiwezekani watu wakaficha identity zao wasijulikane kwa majina?

Kuna vitabu vingi vimeandikwa ila mwandishi hajulikani ni nani, so kwa hoja kwasababu mwandishi hajulikani kitabu hicho kitakua kimejiandika?

Tunafahamu kuwa pyramid zimejengwa, ila hakuna mwenye kujua jina la mjenzi wala kampuni iliyoshiriki kujenga hizo pyramid. So tuishie kusema kuwa hazikujengwa bali zilijijenga kwasababu haifahamiki ni nani mjenzi?

Kwanini unaleta jambo ambalo si mahala pake ?
Ni kwasababu huwezi kulijibu?
 
Back
Top Bottom