Nachukia wanoutumia Ukristo kuwaumiza Waislaam, kama Nyerere na Ndalichako.
Mbona udini umetawala sana hapa jamani kulikoni???? Hivi watanzania tumefikia huko??? I wish Nyerere angekuwepo aone haya kwa macho yake mwenyewe!!!!
FaizaFoxy,
Mie sitii neno nakusoma na miwani ya 3D huku nakula zangu Faluda, endelea kumwaga data na facts za haja.
Mlimsikia Kingunge Ngombale Mwiru kwenye TBC this weekiend?Naona hoja zimewaishia ngoja nikachungulie Ikulu, washapata Juice?
FaizaFoxy,
Mie sitii neno nakusoma na miwani ya 3D huku nakula zangu Faluda, endelea kumwaga data na facts za haja.
Uliona idara ipi inayoongozwa na Muislaa ikawa majanga? tunaona maendeleo tu. Hata nchi, alivyoshika nyerere ni majanga ya kufa watu, alipoingia Mwinyi "ruksa" "ruksa" 'ruksa". Kuingia Nkapa, mama yangu wee! hapo ndio mpaka nyumba za Serikali wakauziana kwa bei poa! Kuingia Kikwete? maendeleo kwa kwenda mbele, mabarabara, mashule, vyuo vikuu, utalii, biashara, wageni maarufu. Mambo waa waa!
Na huko nna uhakika akishika Muislaam tutaona mafanikio makubwa sana, ndugu zetu nyie bado, imani yenu haiwafundishi kuongoza mnafundishwa kuongozwa tu (kondoo).
Hiyo nafasi mbona ndogo sana!!
Mkuu wako wa nchi ni muislam..Nini kipya?
Hilo unalodai 'waislamu wamefelishwa', NECTA walishalitolea ufafanunuzi na sina sababu ya kurudia huo mjadala. Hata hivyo, mimi na wewe si wasemaje wa NECTA.Wewe hata uliposikia Waislaam wamefelishwa na Ndalichako nna uhakika uligonga "like"
Wrong. Mimi nilifanya kazi miaka mingi sana lakini sio Serikalini, kwa sasa ni semi retired (nachukuwa kazi moja moja za "consultancy", na nnakula nilichokichuma na nilichokirithi kwa wazee wangu, mashamba mkoa wa pwani na nyumba, Kariakoo, Ilala, Magomeni, Mbezi beach, Msasani na Sinza. Waliona mbali eeeh?
Wewe kibibi imaonekana umechika mara nyingi kiasi kwamba umepata msongo wa mawazo. Ndiyo maana unapiga jalamba ndani ya jf.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Sidhani kama dini ndiyo itatoa machungu maana hata ARABU wanawake wanalalamika kunyimwa nafasi za shule na hata kuendesha magari, sasa sijajua kama ni mfumo, dini, utamaduni ama mapokeo. Any way, mambo nyeti kama haya hayataki kufanyiwa majaribio, ndiyo maana hata siye mnaotuita wapagani tumenyamaza kwa kujua kuwa si dini ndiyo itafanya hayo bali ilimu.Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Hilo unalodai 'waislamu wamefelishwa', NECTA walishalitolea ufafanunuzi na sina sababu ya kurudia huo mjadala. Hata hivyo, mimi na wewe si wasemaje wa NECTA.
Lakini, hoja ya msingi ni kuwa ni vizuri tukajifunza kuweka pembeni tofauti zetu za kidini, kiitikadi, kikabila, kijinsia n.k. ili tujadili mambo yanayotuhusu mustakabali wa nchi yetu kama watanzania na sio 'sisi' au 'wao'. Kuna tatizo kubwa katika mfumo wetu wa elimu na tunayaona na kuyasikia kuptia matokeo ya mitihani ni sehemu ndogo tu ya tatizo. Badala ya kutibu chanzo cha tatizo, tuko busy tunajadili 'dini' ya mtu anayeongoza taasisi fulani. Nikuhakikishie tu kuwa hata kama atapewa 'muislam' hiyo nafasi ya ukurugenzi NECTA kama unavyotaka, bado hawezi kufanya chochote kama matatizo ya kimfumo hayatashughulikiwa.
Mifano tunayo mingi, ingawa wakati mwingine hatupendi kujifunza kutokana na makosa ya nyuma. Kuna wakati uwaziri wa fedha uligawiwa kwa 'mwanamke' si kwa sababu ya weledi, uzoefu na ujuzi wake katika masuala ya fedha na uchumi lakini kwa sababu ni 'mwanamke'. Leo hii nani anaweza kusimama na kusema huyo waziri wa fedha mwanamke alifanya nini kuimarisha uchumi na hali ya maisha ya watanzania? Vivyo hivyo, wazee wa CC ya sisiemu wakaona sasa ni zamu ya mwanamke kuongoza bunge. Yanayoendelea sasa kila mtu ni shahidi yameturudisha nyuma nafikiri miaka kama 50 hivi au zaidi iliyopita.
Miaka 24 mfululizo Nyerere alileta maendeleo yepi? zaidi ya kuiwacha nchi hohehahe!
Huwa nacheka sana linapokuja suala la Waislam na serikali Chadema wote wanarudi CCM teh teh te!!
Halafu mnaota ndoto eti mtaitoa madarakani CCM.
Tunataka tusidhulumiwe maksi zetu kama alivyofanya Ndalichako.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
nlikuwa nasubiri post ya udini kama hii nijue msimamo wenu
kwa hivo akiwekwa muislamu ndio watafaulu sana wanafunzi au?
Nampongeza aliemteua anaekaimu kwa sasa
Bakwata undeni baraza lenu la mitihani na mjitenge na NECTA kama mnaona mnaonewa
nlidhani bibie Faiza ana upeo kumbe kichwani zero kabisa