Ukweli usemwe, Mayele na Fei toto ndio walioileta Yanga kwenye ramani ya Soka la kimataifa

Mr Alpha

Senior Member
Jul 31, 2018
195
522
Ukweli usemwe tu Mayele na Fei Toto ndio walioileta Yanga kwenye ramani ya soka la kimataifa, kabla yao kwa miaka mingi yanga ilikua mchicha mwiba timu zilikuwa zinajipigia tu

Najua mashabiki maandazi watoto wa juz walioanza kushabikia mpira juzi hawaez jua watasema chambuzi la CAF nazingua, sisi wakongwe wala hatushangai tunajua walioileta Yanga mjini ni kina nani

Kabla ya Mayele na Fei Toto kama sikosei simba ilishachukua ubingwa karibu mara tano mfululizo, ilifikia mahali simba inatafuta mtani wa jadi Afrika Kusini nk hata klabu bingwa Yanga ilikuwa inaishia hatua ya awali kabisa ilikua haifik hata makundi

Hawa jamaa waliipigania sana Yanga kwa jasho na damu ila inaonekana yanga badala ya kuwajengea masanamu ya heshima imewatupia majini
View attachment 2926516
 
Huko waliko wamezipeleka timu zao wapi?
Wamezisaidia sana kwa mfano Mayele ameisaidia Pyramid kubaki makundi hadi mwakani tofauti kama ingeenda robo fainali wachezaji wangechoka kwa kucheza mechi nyingi.

Upande wa Feisal amesaidia azam kuzidiwa points na Simba na yanga ni hivyo kufanya nafasi yao ya kuchukua ubingwa kuwa finyu,,,hii itasaidia wachezaji kucheza bila presha na hivyo kuimarisha afya zao.
 
Kubwa sana hii
 
Sasa ulitaka wasitimize majukum yao? Au uliambiwa walisajiriwa yanga wakakate vibuno?. Vipi tukisema CHAMA, MIQUISONE,BWALYA NA KAHATA ndio wameipaisha Simba tutakuwa tumekosea?. Huyo fei hata hajacheza robo fainali yoyote ya CAF.....

PRINCE DUBE akiwa na mpira huku kavaa jezi ya njanoo anawasaka makolooo princeeeee yalaaaaaa goaaaaaal😅😅
 
Ukweli usemwe tu Mayele na Fei Toto ndio walioileta Yanga kwenye ramani ya soka la kimataifa, kabla yao kwa miaka mingi yanga ilikua mchicha mwiba timu zilikuwa zinajipigia tu

Najua mashabiki maandazi watoto wa juz walioanza kushabikia mpira juzi hawaez jua watasema chambuzi la CAF nazingua, sisi wakongwe wala hatushangai tunajua walioileta Yanga mjini ni kina nani

Kabla ya Mayele na Fei Toto kama sikosei simba ilishachukua ubingwa karibu mara tano mfululizo, ilifikia mahali simba inatafuta mtani wa jadi Afrika Kusini nk hata klabu bingwa Yanga ilikuwa inaishia hatua ya awali kabisa ilikua haifik hata makundi

Hawa jamaa waliipigania sana Yanga kwa jasho na damu ila inaonekana yanga badala ya kuwajengea masanamu ya heshima imewatupia majini
View attachment 2926516
Wewe ndio mwehu kabisa
 
Huna akili.
Samson Mbangula anakusalimu.
FB_IMG_1709753938065.jpg
 
Wamezisaidia sana kwa mfano Mayele ameisaidia Pyramid kubaki makundi hadi mwakani tofauti kama ingeenda robo fainali wachezaji wangechoka kwa kucheza mechi nyingi.

Upande wa Feisal amesaidia azam kuzidiwa points na Simba na yanga ni hivyo kufanya nafasi yao ya kuchukua ubingwa kuwa finyu,,,hii itasaidia wachezaji kucheza bila presha na hivyo kuimarisha afya zao.
 
Hivi Azam hata inakumbuka kuwa ilikuwa kwenye mashindano ya caf !?maana ni mda
 
Back
Top Bottom