Yanayotokea Muhimbili ni kweli?

Yanayotokea Muhimbili ni kweli?

Nesi hahusiani na bima.
Siamini kama huelewi nachomaanisha... Ni kwamba huduma zinazopata kwa kutumia bima ni mbovu mno na ni kwa sababu pesa zinazofikia mahospitali ni ndogo na hazifiki kwa wakati ukichanganya rushwa juu kwa wafanyakaz wa hospitalin.
 
Labda hii ndiyo itapelekea kila Mtanzania kujuwa umuhimu wa kujichukulia bima ya afya.
tuanze kuboresha huduma zitolewazo wakati tuanaelekea kubadili mfumo mzima wa malipo katika sekta ya afya
 
kuu walimtajia kiasi gani
kinacho shangaza sio tu kulipia ni amount
ni kubwa kuliko hospitali za private
Mtoto Alitakiwa Kipimo Cha Macho Tsh 10000/-
Kupimwa Kichwa Tsh 47000/-
Japo Anayehitajika Vipimo Ni Mtoto Asiyezidi Miaka Miwili
 
Mtoto Alitakiwa Kipimo Cha Macho Tsh 10000/-
Kupimwa Kichwa Tsh 47000/-
Japo Anayehitajika Vipimo Ni Mtoto Asiyezidi Miaka Miwili

Kuna watu watabisha hili

natamani wana JF wanaoenda Muhimbili now wa post risiti za malipo humu
hii ni hatari sana
 
Uuwiiiiiiieeeee jamani tunaelekea wapiiiiiiii ????????
 
Humu ndani tuna waandishi wa habari na watu wengine wafanyakazi wa Muhimbili ninaomba watueleze kama niliyosikia huko ni kweli.

Kuna taarifa huko Muhimbili sasa huduma zote ni za kulipia na gharama ni juu kupita hospitali za binafsi.

Mfano huduma ya wamama wajawazito ambayo ilikuwa bure kabisa sasa naambiwa lazima walipe laki tatu na ishirini..320,000/- na vipimo kama CT scan ni kulipa kuanzia laki sita.

Kuna vipimo ambavyo hospitali binafsi wana charge elfu 40 Muhimbili unalipa laki nne 400,000/ na kwamba mgonjwa akilazwa tu siku moja lazima alipe
na chakula ni kununua.

Nimejiuliza hizi taarifa ni za kweli au uzushi?

Kuna watu ambao mmekwenda Muhimbili hivi karibuni mtusaidie?

Pascal Mayalla Manyerere Jackton
Salary Slip
Watanzania wana miliki viwanda vya kutengeneza uongo-Jk
 
Uzushi toka BAVICHA

Lizaboni leo nataka nikwambie kitu ambacho hata nikikurudisha darasala kwanza nianze kukufundisha hautaelewa lakini nataka nijaributu,Sio kilamtu ambae anakanushakitu kilicho cha kweli au ambae atasema kitu kulingana na mtazamowake ni mwanachama wa CHADEMA sio kweli,kumbuka kua sio wote ni watumishi wa vyama kama wewe,ila kama kuna kitu kinaenda ndivosivo lazima kilamtu aseme kimtazamowake.
 
Tangu kipindi cha matamko kianze,muhimbili imetamkwa kuwa ijiendeshe yenyewe kwa kila kitu,kwahiyo unachokisema inaweza kua kweli.
 
Huu ni ukweli kabisa,hii kitu sio ya Leo ni vile ulikua haijasemwa ama imesemwa ila haijawekwa public.sina hamu nao hao muhimbili nilipeleka mkewangu kujifungua ni kam miezi mitatu imepita kwa bahati mbaya mtoto Siku haikua kamilika vizuri so walimweka kwenye chumba cha joto,wife alikaa hospital kama Siku ,4 ila bill niliyopewa ni sh million 1.6 aisee niliwaza sana kuhusu watanzania wenzangu ni kwa jinsi gani hizi gharama watazimundu,bila kwa kweli pale muhimbili hali sio nzuri,hata nilivyokuwa kwenye foleni kwenda kulipa kila mtu analalamika ughali wa huduma..!!
 
Sikilizeni CHADEMA mbinu yenu ya kuichonganisha serikali na wananchi kwa kupika habari za uongo na kuzisambaza kupitia mitandao ya jamii acheni,Siku hizi kwa makusudi mnafanya disinformation za kauli za viongozi kama Ndalichako, mnatunga uzushi na kuueneza, Acheni tabia hizi!
Na we achaga kuangalia recorded news kwa clip tu basi we tayari ndo habari kamili ingia deep unadhani kila kitu cha kubisha bana gpa ilikua tatu mkasema ndo safi amtaki filaza ukishindwa nenda ufundi haya imeshuka 3 na itashuka tena na hii nayo unapinga wakati we ujaenda huko na kutoa info ya kutosha unapinga bila hoja unasubir serikali ipate msaada then gharama ipungue ndo waongee waseme sasa mliimba ohh chakula bure kwa wagonjwa hadi leo kimya acha ujinga ulaya watu mpk wanaandamana kwakua huku serikali aitaki ilo acha watu waandamane kwenye mitandao mpk kieleweke
 
Huu ni ukweli kabisa,hii kitu sio ya Leo ni vile ulikua haijasemwa ama imesemwa ila haijawekwa public.sina hamu nao hao muhimbili nilipeleka mkewangu kujifungua ni kam miezi mitatu imepita kwa bahati mbaya mtoto Siku haikua kamilika vizuri so walimweka kwenye chumba cha joto,wife alikaa hospital kama Siku ,4 bila bill ya niliyopewa ni sh million 1.6 aisee niliwaza sana kuhusu watanzania wenzangu ni kwa jinsi gani hizi gharama watazimundu,bila kwa kweli pale muhimbili hali sio nzuri,hata nilivyokuwa kwenye foleni kwenda kulipa kila mtu analalamika ughali wa huduma..!!


Mods hii post iwekwe kwenye post yangu ..
naona hali ni mbaya kuliko tunavyo dhani
Cookie Invisible
 
Sasa kama kila kona taarifa ni za kupika unategemea pesa ya itoke wapi?.........

Leo mtu anatoa taarifa kesho uyo uyo anaikanusha kwa maelekezo toka juu....

Kiufupi uchumi umekufa acha tuwakamue wananchi pesa waliobakiza huku tunasubiri sanda na kuosha tufanye mazishi.........

Safi sana ngoja wafe hai kesho watakuwa na macho ya kuangalia kura waweke wapi
 
Back
Top Bottom