Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,237
Sawa sawa NECKama rubani kakataliwa kwa sababu ya sheria hatutakiwi kulalamika. Kwamba pilot wa helkopter Tanzania ni huyo babu tuu?? Tusiwe watu wa kulalamika. Tuwe watu wa kutafuta majibu.