Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,809
- 218,467
- Thread starter
- #41
Mwibara
HakikaMwaka huu mtakojoa damu kama ng'ombe anaugua Babesiosis!
Mkuu fafanunua kivipi ,??Ukerewe : Maagizo kutoka juu yakwamisha timu ya lissu kupanda kivuko
Waendesha kivuko walipoona msafara wa Lissu wamekimbia baada ya kupewa maelezo ya kufanya hivyo ili wamkwamisheMkuu fafanunua kivipi ,??
Sawa mkuu , nimekuelewa ,very sadWaendesha kivuko walipoona msafara wa Lissu wamekimbia baada ya kupewa maelezo ya kufanya hivyo ili wamkwamishe
Chadema si kilishajifia zamani😂😂😂Nakuhakikishia wakiingia ikulu hawatamaliza hata miezi wananchi watawaondoa kwa nguvu.
Eti nini? Wapigie simu raia huko walikokimbilia waletwe kwa nguvu! Magu mzee mjinga sana na mwaka huu mpaka ajambe cheche!Waendesha kivuko walipoona msafara wa Lissu wamekimbia baada ya kupewa maelezo ya kufanya hivyo ili wamkwamishe
Haya maajabu,Lissu ni mpango wa Mungu
HakikaHaya maajabu,Lissu ni mpango wa Mungu
Dalili za Baraka
AmenMungu ANASEMA NENO
Wewe ni weste au upo wested?!Huu utetezi wa kitoto Sana kwamba eti hamna makazi ya kudumu kwakua mnasubiri muitoe CCM madarakani ili mchukue ofisi zake??
What a waste!!
Aisee nitake radhi mkuu,Wewe ni weste au upo wested?!
We unaonaje?Sijajua kama unalia au unalalamika
Elewa hii ? alama. Alafu Wewe umeniambia what a weste! Au kwenu mkuki mnapiga nguruwe tu?!Aisee nitake radhi mkuu,
Sawa sawa NEC