- Thread starter
- #21
Hako kajamaa kwenye sufuria kamekenua meno na hako kamalaya kamevaa bikini vinanchekesha sana yani sijui,,,, huyo mchoraji ni msenge aisee
Wao wanaita kuwa wanayo dunia yote mifukoni mwao. Kwa kasi zaja siku ambazo tutabadilishana majengo.
Mshitaki atakuwa mshitakiwa.
Mbona tutaelezana waliko kina Lijenje, Ben, Azory na wote wengine? Tutaelezana nani walikuwa kwenye viroba na na nani walikuwa taratibu wa kuuwa wengine.
Sabaya anawakilisha. Yule mwingine naye anasemekana analetwa mpera mpera.
Wacha tusubiri. Yajayo yanafurahisha.