Yanayojiri Katika Uwanja wa Soweto Jijini Arusha

Yanayojiri Katika Uwanja wa Soweto Jijini Arusha

mwenyekiti wa Chadema taifa ameshatamka hadharani anamjua mtuhumiwa tayari amerahisha uchunguzi,

1. Unauhakika atakachokisema serikali itakitekeleza na kuchukuwa hatua?

2. Tamko la cdm kuhusu video ya Lwakatale kuhusu uhusika wa Nchimbi, Riziwani kikwete, Mwigulu nk Je unatuambia nini au nini mtazamo wako kuhusu suala hili na mrejesho wa serikali?

Nitakuuliza zaidi ukinijibu hayo hapo juu kwa ufafanuzi.
 
jwtz wanafaa, kuliko polisccm
IMG_20130617_172234_0.jpg
View attachment 98030
Kama CCM kuwauwa watu kwenye mkutano wake mlidhani mtawatisha basi imekula kwenu kwani leo watu walikuwa wengi sana na hawakutangaziwa mkutano wowote hali iliyopelekea wanajeshi wa JWTZ kuja kuwalinda badala ya wapumbavu waliokubali kutumika...
 
Lol!!Poleni sana wana Arusha kwa yote yaliyowasibu niko mbali na nyumbani lakini tuko pamoja sana tu.Watu wetu wamekatishiwa maisha na wadhalimu CCM na PoliceCCm lakini kwa bwana kila kitu kinawezekana wao wametangulia pasipo ridhaa ya Mwenyezi Mungu lakini na wauaji nao watafuata hakuna mjadala na watakufa vifo vibaya na vya ajabu ajabu kwani twafahamu malipo ni hapa hapa Duniani.Mwigulu,Wasira,Mwampamba,Juliana Shonza hawa wote wanaufahamu mpango huu wa mauaji hapa hakuna ubishi.Haya ndio aliyoandika JUliana Shanza kwa ukurasa wake wa Facebook jana;M pp llatokeo ya Makuyuni Arusha
Ccm 1444
chadomo 321 plus Nassari kung'olewa meno.Achanja mbuga kwa miguu na kutelekeza gari.
chezea masai weye hahaaa chadema wanaiiita sabena hahaaaa
 
Mlisema nchi haitatawalika na kweli matukio tunayaona jakaya usikatishe ziara yako kwa matukio ya kupangwa
 
Mbunge wa Arusha mjini ameiambia Sauti ya Amerika kwamba aliyelipua bomu anajulikana, tunamjua jina, na kifaa kilichotumika kuficha bomu tumeijua pia. Tutawataja wote na itaishangaza dunia
 
Napata huzuni kubwa ninapoyaona haya katika ardhi yangu ya Tanzania, nashindwa kuamini macho yangu, kwa style hii CCM mnazidi kujichimbia kaburi kirahisi sana.

Sina hakika hata 2014 kutakuwa na kitu kizima kinachoitwa ccm ndani ya ardhi ya Tanzania, any way Mungu anayo makusudi yake, maana damu ya waja wake hakika haiwezi kupotea kirahi namna hiyo na nyie mubaki salama tena eti madarakani, hapana mimi nakataa.

Kuna watu wanaweza kuwatetea kwamba huenda hamhusiki na yanayotokea sasa kwa wananchi wenu hasa wanachama na wapenzi wa chadema, lakini hakika hakuna mtu mjinga ambaye atawaelewa kuhusu hilo, na hata kama akiwaelewa bado atawahoji ninyi ndio chama dola kwa nini serikali yenu ishindwe kusimamia amani ya watu wake, hakika CCM na serikali yake mnalo la kujibu.

Hongera mkuu Mungi kwa coverage ya tukio.
 
Last edited by a moderator:
Mbunge wa Arusha mjini ameiambia Sauti ya Amerika kwamba aliyelipua bomu anajulikana, tunamjua jina, na kifaa kilichotumika kuficha bomu tumeijua pia. Tutawataja wote na itaishangaza dunia
huu ni zaidi ya utoto sasa kwanini wasimtaje ili sheria ichukue mkondo wake,hii inaashiria kuwa uongozi wa Chadema unalinda muuaji kwa kutomtaja.Wanakimbilia kutaka kuaga maiti huku mtuhumiwa akiwa huru.Shame on u
 
Sikuchangia hata moja mpaka ss kwani kila nishikapo key body natetemeka natamani kuwa private sneiper lakini mashine sina mwenyenayo aniazime nianze kiwavizia nikianzia na mwiguli
 
Asante sana kamanda Mungi kwa taarifa pia nawapa pole wafiwa wote, pole pia kwa wana wa Arusha pamoja na watanzania wote kwa msiba uliOotukuta

Mungu azilaze roho za marehemu Panapowastahili.

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Chadema
AMEEEN....
 
Last edited by a moderator:
At least kumbe mnamuona yeye ana hadhi sawa kama jamaa wa kujiangusha ?. Atleast yeye yupo anaongea na wenye brain na sio kutembelea kambi za vidudu za timu zilizoponea kushuka daraja na kuomba jezi...!

Ila kwa nn kila kukiwa na matokeo kama haya huwa anakuwa amepiga mbizi mitaa ya majuu ? Coincidence au wachoraji wana elimu ya kuunga-unga aka kuongezewa maksi so hawajui kuangalia mbali ?
Bahati njema padri yuko born ujerumani anakula raha na kimwana Josephine
 
hivi wewe mvaatai hizi habari anakwambia nani?ujue humu kuna watu wenye upeo wa mkubwa,hizi story zinakuexpose na kukuacha wazi.

Sawa Tumeachana na Mvaa Tai , haya sasa hebu wewe tuambie unachojua ! Hao watu wenye upeo mkubwa unaowasema wewe ni akina nani ? Hao akina LUkuvi ? Na je Huyu Mvaa Tai unamjua ? Uoga ni dhambi mbaya kuliko zote .
 
IMG_20130617_173639_0.jpg
IMG_20130617_173635_0.jpg
Baadhi ya watu wa Arusha waliojitokeza hii leo kwenye viwanja vya Soweto kulikotokea mlipuko wa bomu na risasi kwa mpango ulio ratibiwa na CCM na polisi, leo wana Arusha wamepaza sauti kuiambia CCM hawaitaki hata kama wata wauwa wote...
 
Inahuzunisha sana ila tutafika tu pole pole najuwa always kitu kizuri hakipatikani kwa uraisi, so now ni wakati wa kuomboleza...
 
Back
Top Bottom