Yanayojiri Katika Uwanja wa Soweto Jijini Arusha

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,721
13,959
Muda huu uwanja wa Soweto watu no wengi wakisubiria wabunge wa CHADEMA kitoka Dodoma Mh Mbowe ameshafika,
Pia kutakuwa na kumuaga kijana ambae atasafirishwa kwenda kuzikwa Tabora.
Watu ni wengi sana
Ulinzi unasimamiwa jeshi la wananchi, watu hawataki kuwaona polisi wanaotumiwa na CCM.

attachment.php
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1371469337851.jpg
    uploadfromtaptalk1371469337851.jpg
    52.7 KB · Views: 7,049
View attachment 97990Muda huu uwanja wa Soweto watu no wengi wakisubiria wabunge wa Chadema kitoka Dodoma Mh Mbowe ameshafika,
Pia kutakuwa na kumuaga kijana ambae atasafirishwa kwenda kuzikwa Tabora,
Watu ni wengi sana
Ulinzi unasimamiwa jeshi la wananchi watu hawataki kuwaona polisi wanaotumiwa na ccm kama mipira ya nanihii

Tuwasamehe Bure Polisi hawana jinsi, kuna habari kwamba ukienda tofauti na matakwa ya viongozi waliopo madarakani unajiingiza kwenye matatizo sana, hebu fikilia ndugu yangu kulikuwa kuna habari kwamba Imrani Kombe alishiriki katika kufanya kilichompata Horace Kolimba, na kuna habari pia kilichomtokea Imrani Kombe kilitokana na kujua Siri za Kifo cha Horace Kolimba au umewahi kujiuliza kilichompata Balali kwasababu tu ya kujua siri zoote za BOT. Ndiyo maana nawaonea huruma sana watu walio Usalama wa Taifa, Polisi na baadhi ya Watumishi wa umma.
 
Uwanja wa soeto leo watu wamejaa sana, wanasubiri kuwaaga marehemu waliofariki katika mlipuko wa bomu. Wananchi hawataki askari police tena, wanajeshi ndio wametawala uwanja tu. Viongozi wote wa chadema wameenda kwa mkuu wa mkoa
 
Kwa vile majukumu ya kazi isingekuwa ivyo ningekuepo hapo ila mliopo mtatuwakilisha Mungu awalinde mmalize salama.
 
Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi - Amen.
 
Nchi hii si eneo salama tena, inaharibiwa na viongozi wanaotaka kubaki madarakani milele! Serikali inazidi kuonyesha udhaifu katika kulinda wananchi na mali zao.
 
bado hawajaanza kuaga, tunawasubiri viongozi wa chama cha chadema. nafikiri itachukua muda sana. ila inasikitisha . kweli chadema wako vizuri wanajali sana watu na sio vitu!!!!!!!!!!!!!
 
R.I.P woooote waliopoteza maisha katika mstari wa mbele kulikomboa Taifa letu.Amennnn.
 
Tuwasamehe Bure Polisi hawana jinsi, kuna habari kwamba ukienda tofauti na matakwa ya viongozi waliopo madarakani unajiingiza kwenye matatizo sana, hebu fikilia ndugu yangu kulikuwa kuna habari kwamba Imrani Kombe alishiriki katika kufanya kilichompata Horace Kolimba, na kuna habari pia kilichomtokea Imrani Kombe kilitokana na kujua Siri za Kifo cha Horace Kolimba au umewahi kujiuliza kilichompata Balali kwasababu tu ya kujua siri zoote za BOT. Ndiyo maana nawaonea huruma sana watu walio Usalama wa Taifa, Polisi na baadhi ya Watumishi wa umma.

hivi wewe mvaatai hizi habari anakwambia nani?ujue humu kuna watu wenye upeo wa mkubwa,hizi story zinakuexpose na kukuacha wazi.
 
Uwanja wa soeto leo watu wamejaa sana, wanasubiri kuwaaga marehemu waliofariki katika mlipuko wa bomu. Wananchi hawataki askari police tena, wanajeshi ndio wametawala uwanja tu. Viongozi wote wa chadema wameenda kwa mkuu wa mkoa

kama hujui hawa wajeshi wako hapa kuweka mambo sawa kama kule mtwara kwahiyo mjibehave.na hao wakubwa wa cdm wako kwa RC kuwekwa sawa ili shughuli isiharibu ikawalazimu wajeshi kutoa mkong'oto.
 
R.I.P wote, Bwana hakutwaa ila ccm ndio wametwa. Tuwekeeni picha zaidi kwa ambao hatuko Arusha.
 
Tuwasamehe Bure Polisi hawana jinsi, kuna habari kwamba ukienda tofauti na matakwa ya viongozi waliopo madarakani unajiingiza kwenye matatizo sana, hebu fikilia ndugu yangu kulikuwa kuna habari kwamba Imrani Kombe alishiriki katika kufanya kilichompata Horace Kolimba, na kuna habari pia kilichomtokea Imrani Kombe kilitokana na kujua Siri za Kifo cha Horace Kolimba au umewahi kujiuliza kilichompata Balali kwasababu tu ya kujua siri zoote za BOT. Ndiyo maana nawaonea huruma sana watu walio Usalama wa Taifa, Polisi na baadhi ya Watumishi wa umma.

lazima itakuwa wewe ni polisi.
 
R.I.P makamanda, mungu awapumzishe kwa amani na awaangazie mwanga wa milele.Amen...on y way to soweto kuwaaga mashujaa wetu
 
Ccm tokeni kwa amani.msinga'nga'nie madaraka.mbona rais kaunda wa zambia alikubali kutoka madarakani bila vurugu kwani nini nyinyi hamtaki?miaka 50 mmetawala.bado tu mnasema haitoshi.
 
Back
Top Bottom