Yanayojiri Katika Uwanja wa Soweto Jijini Arusha

Yanayojiri Katika Uwanja wa Soweto Jijini Arusha

Kwa umati huu Nape anakwambia chadema wamejilipua kuzuia uchaguzi,hivi inaingia akilini kweli,NAPE HIVI WEWE UNAMWAMINI MUNGU KWELI,UNA HOFU YA MUNGU KWELI..kama si leo basi in future to come laana na uchungu wa familia za watu na viongozi wa dini zitawalipa nyie na vizazi vyenu.

ujue mtu akitenda maovu sana hasa ya uuwaji hakili zake huruka na kuanza kutapatata, kwahiyo usimshangae sana Nape na kauli zake kama kichaa....... I hate him!!!!!!!
 
kwani unadhani polisi na jeshi kazi yao nini kama sio kulinda amani.uwepo wa jeshi hapo ni ujumbe tosha kwa waliopo hapo.
Kama hujui majukumu ya kila chombo ni bora kukaa kimya kijana. Mbona DRC hawajapelekwa Polisi kulinda amani? Ulinzi wa ndani ni kazi ya Polisi,ukiona Jeshi linatumika ujue wameshindwa kazi au kama huko Arusha hawakubaliki.
 
May God rest all of them in peace.....................................May he punish all those who have done such a teroristic act.......Amen....Amen........Amen.
 
Kwa umati huu Nape anakwambia chadema wamejilipua kuzuia uchaguzi,hivi inaingia akilini kweli,NAPE HIVI WEWE UNAMWAMINI MUNGU KWELI,UNA HOFU YA MUNGU KWELI..kama si leo basi in future to come laana na uchungu wa familia za watu na viongozi wa dini zitawalipa nyie na vizazi vyenu.
Yaani hata mie baada ya kuona hizi picha nimejiuliza Nape kweli yuko sawa kichwani? Kama kuna watu wanaweza kumwamini anachokisema basi hata wao ni wa kupimwa afya ya akili. Umati huo ni ishara tosha kuwa CCM ilishakufa Arusha, sasa Chadema kwa nini wazuie uchaguzi wakati uhakika wa kushinda upo na ilikuwa ndio tiketi ya kumng'oa Meya wa kuchonga? Nape mnahalalisha mauaji kwa ajili ya udiwani tuu jee kwenye Urais itakuwaje?
 
Makamanda mie nipo kwenye GARI natokea MOSHI niwahi Hapo uwanja wa CHUMA soweto hope nitawahi ndio nipo KIA hapa! hivi viongozi wa kifisadi wa CCM watasubutu kufika SOWETO?
 
Muda huu uwanja wa Soweto watu no wengi wakisubiria wabunge wa CHADEMA kitoka Dodoma Mh Mbowe ameshafika,
Pia kutakuwa na kumuaga kijana ambae atasafirishwa kwenda kuzikwa Tabora.
Watu ni wengi sana
Ulinzi unasimamiwa jeshi la wananchi, watu hawataki kuwaona polisi wanaotumiwa na CCM.

attachment.php

R.I.P Makamanda wangu
 
halafu huyo kilaza wao anadai CDM ndio wamejilipua wenyewe, wanataka kuficha maovu yao kwa mgongo chadema

Ngoja tui-release ile video yao wakati wakiua kwa bomu na baadaye kwa SMG na Bastola Nape aseme jingine.
 
Si kamanda wa disco? huyo u kamanda wa anga autolee wapi?

pamoja na kiburi chote ulicho nacho sababu ya uzima ulio nao ipo siku nawewe utauona uchungu wa mauti ndugu yangu dharau kwa mambo ya uchungu si jambo jema hata kama ni mkereketwa wa siasa utu ni zaid ya siasa zomba tukio la mahala hapo si jambo jema kuingiza siasa wakati kuna walio kuwa na uhai kama unao kupa kiburi wewe leo hawanao tena.
 
Back
Top Bottom