kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,075
- 1,550
mungu awape pumziko la milele....mwanga wa milele awaangazie...
mungu mlaani mwigulu...
mungu mlaani mwigulu...
Kamanda Mbowe haya mambo mnaratibu na kuyapanga nyie wenyewe; unamlaumu Lukuvi kwa lipi nyie kama mna uchungu na watanzania wanaopoteza maisha yao kwa sababu za kipuuzi kama hizi mnayapangia nini? Mnatafuta mchawi nyumba ya jirani wakati mchawi mnalala naye chumba kimoja!
We bahau jiheshimu,hii thread kwanza haikuhusu kama una-comment acha masiara wakati watu wanaomboleza..
Unapokuwa unaongozwa na serikali dhaifu....bila shaka utakutana na hoja kama hizi kutoka kwa wananchi dhaifu wa fikra....hujui kama hapa unaiabisha serikali?????
Hii ni aibu kwa polis,wanamgambo wa wizara ya mambo ya ndani mwisho wao unakuja...Kama ubongo wako ungekuwa na mawasiliano na viungo vingine ungetambua kuwa kama raia wamekosa imani na polisi mpaka JWTZ ndio wanafanya kazi ya kulinda amani katika shughuli za kiraia na sio kulinda mipaka hiyo inaonyesha kushindwa kwa watawala. Na sio jambo la kujivunia unaposhindwa kutawala kwa taratibu za kisheria mlizojiwekea.
Mkuu kwani waliokufa watanzania,hupati shida kumjua adui yako na muuaji mkuu,leo chadema wameuliwa,kesho cuf,kesho kutwa askari....tutafika pale tunapopataka.mbona sioni kiongozi wa serikali?du kweli tuna kazi..sirikali hawana aibu
kama mh mbowe anamfahamu alierusha bomu ni vyema atamje kuliko kutumia vifo kama mtaji wa kisiasa haikubaliki
kwa lipi? kwa kuongea ukweli?
mwenyekiti wa Chadema taifa ameshatamka hadharani anamjua mtuhumiwa tayari amerahisha uchunguzi,By chama![]()
![]()
Hii kesi ndogo kwa misingi ya kutaka kujua wahusika halisi ni kina nani?
Chama Sijaelewa unamaana gani?
-Ya ulimboka makubwa kiasi kwamba mpaka leo hawajulikani wahalifu
-ya kibanda makubwa mpaka leo hawajulikani wahalifu
-Ya mapadri huko zanzibar makubwa mpka leo hawajulikani wahalifu
Thibitisha la arusha ni dogo ukilinganisha na machache nilioorodhesha hapo juu? unatumia vigezo gani kufikia hitimisho hilo.
:A S 13:LUKUVI NA MWIGULU KWENYE MAONGEZI MAZITO BUNGENI