Mbowe:
Katika eneo la tukio zimetumika silaha tatu.
Silaha ya kwanza ni bomu. Aliyerusha bomu tunamjua.
Silaha ya pili ni bunduki aina ya smg. Silaha ya tatu ni bastola.
Mauaji haya yalipangwa. Nimezungumza na IGP pamoja na Chagonja. Tumewaambia tuwajua, na waliochafua amani ni jeshi la polisi.
Lukuvi anatoa kauli bungeni kwa kudanganya wananchi kuwa wananchi waliwashambulia polisi. Uwongo.
Nilikuwa wa mwisho kuondoka eneo la tukio nikiwa na lema. Majeruhi wote makamanda wa chadema waliwabeba siyo polisi.
Lukuvi anazungumzia tukio la arusha utadhani waliokufa arusha ni kuku.
its paining.....Mbowe:

Poleni sana Mkuu Mungi!! lakini pia ningeomba utujuishe nasi kwa picha kama upenyo unaruhusu!!
Mbowe ana busara sana.Mbowe:
Matumaini yetu jana ilikuwa nikumaliza postmoterm, na kupanga mipango ya mazishi, kwa namna ratiba ilivyo, ni dhahiri kuwa kazi hii haitamalizika leo.
Tulio hili lisihusishwe na dini yoyote, tukio hili ni la kisiasa.
Tunawaomba serikali mkijaribu kuwatetea wahuni hawa wanaovuruga amani ya nchi, tukiwaka msilalamike!
Safi sanaMbowe: CHADEMA ni mpango wa Mungu, lazima kifanye kazi ya kukomboa nchi hii
Mbowe:
Tutarudi bungeni, lakini wanasheria wetu Prof. Safari, Mabere, Lissu, Kimomogoro tumewapa jukumu hili kutetea haki
Hali ya ulinzi vp hapo ikoje.
bado hawajaanza kuaga, tunawasubiri viongozi wa chama cha chadema. nafikiri itachukua muda sana. ila inasikitisha . kweli chadema wako vizuri wanajali sana watu na sio vitu!!!!!!!!!!!!!