huu ni zaidi ya utoto sasa kwanini wasimtaje ili sheria ichukue mkondo wake,hii inaashiria kuwa uongozi wa Chadema unalinda muuaji kwa kutomtaja.Wanakimbilia kutaka kuaga maiti huku mtuhumiwa akiwa huru.Shame on u
mwenyekiti wa Chadema taifa ameshatamka hadharani anamjua mtuhumiwa tayari amerahisha uchunguzi,
Mito mingi nimekuuliza haya mbona hukunijibu ndugu?
1. Unauhakika atakachokisema serikali itakitekeleza na kuchukuwa hatua?
2. Tamko la cdm kuhusu video ya Lwakatale kuhusu uhusika wa Nchimbi, Riziwani kikwete, Mwigulu nk Je unatuambia nini au nini mtazamo wako kuhusu suala hili na mrejesho wa serikali?
Nitakuuliza zaidi ukinijibu hayo hapo juu kwa ufafanuzi.
Lakini pia Kamanda wa anga ameweka wazi cdm itawataja na ameema ni askari wa FFU. Kuwa na subra watu wazike na baada ya maombolezo ukweli utajulika.