Yanayojiri Katika Uwanja wa Soweto Jijini Arusha

Yanayojiri Katika Uwanja wa Soweto Jijini Arusha

Hata MTWARA walikataa kuwaona police lakini sasa wanawatafuta. So sishangai la Arusha. Wekeni tofauti pembeni wakati wa matatizo kwani tofauti hazijengi.
 
kama hujui hawa wajeshi wako hapa kuweka mambo sawa kama kule mtwara kwahiyo mjibehave.na hao wakubwa wa cdm wako kwa RC kuwekwa sawa ili shughuli isiharibu ikawalazimu wajeshi kutoa mkong'oto.
Kama ubongo wako ungekuwa na mawasiliano na viungo vingine ungetambua kuwa kama raia wamekosa imani na polisi mpaka JWTZ ndio wanafanya kazi ya kulinda amani katika shughuli za kiraia na sio kulinda mipaka hiyo inaonyesha kushindwa kwa watawala. Na sio jambo la kujivunia unaposhindwa kutawala kwa taratibu za kisheria mlizojiwekea.
 
BWANA ALITOA NA CCM WAMEWAUWA.. Dhambi hii haitawaacha.. Na ndo inayowaangamiza kila uchwao!
 
No one can confidently say that he will still be living tomorrow.

Ndiyo maana ni mtu mpumbavu tu anayeweza kuua mwenzake kwa kukusudia, na wala siyo ili yeye apate cheo, bali ili amfurahishe bosi wake. Tunapoishi leo tujitahidi kuona kuwa endapo tutakuwa tumeimaliza safari, basi tuishie mahali pema. Hii habari ya kuombewa na Mungu kuagizwa eti awaweke marehemu peponi ni kujisumbua. Pepo unaiandaa wewe mwenyewe unapokuwa unaishi hapa duniani. Huwezi kuishi kwa kuua wenzako ukategemea maombi ya wanaokuzika. Infact wanapokuwa wanakuzika roho yako inakuwa iko tayari jehanum ya moto. Hapa ni mwili tu wanakuwa wanazungumza nao. Shtuka. Acha kuua wenzako wasio na hatia. Siku ya mwisho utatoa hesabu kwa kuwa damu zao zinamlilia aliyewaumba.
 
Maneno ya Mwigulu Nchemba yametimia... "Msipochagua ccm, mkachagua chadema, mtakufa" Ukitazama mikutano ya juzi ya kufunga kampeni ni wazi kwamba wananchi walichagua CHADEMA... Wamekufa
 
video,msg,fax,e-mail na hata cm za kuiambia ccm itoke madarakani zinaweza jaa lile ghorofa jipya la UVCCM pale Lumumba na zote washazisoma na kuzisikiliza mpk wamezizoea kama ringtone ya nokia........
 
Damu yenu inamwagilia mti wa ukombozi....mtakumbukwa na wazalendo wenyekujua thamani ya michango yenu ya pesa,muda,mawazo hatimae UHAI. ARUSHA UNASABABU YA HAYA ILI TUMKATAE KTK SANDUKU LA KURA ATAKAEGOMBEA KWA KUTUMIA CHAMA CHA CCM TANZANIA YOTE
 
Mtwara watu walikimbilia hospitali kupata hifadhi na usalama wao badala ya kukimbilia polisi, Arusha na sehemu nyingi tu polisi wanakataliwa na wananchi, hili jeshi lina nini hasa? inavyoonekana limebaki kama kichaka cha kufichia wezi, kuficha majangili, majambazi, wauza unga na bangi, kwa nini basi lisifumuliwe?
 
Rip.
damu. yako ukombozi wa wanyonge.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Kama ubongo wako ungekuwa na mawasiliano na viungo vingine ungetambua kuwa kama raia wamekosa imani na polisi mpaka JWTZ ndio wanafanya kazi ya kulinda amani katika shughuli za kiraia na sio kulinda mipaka hiyo inaonyesha kushindwa kwa watawala. Na sio jambo la kujivunia unaposhindwa kutawala kwa taratibu za kisheria mlizojiwekea.

kwani unadhani polisi na jeshi kazi yao nini kama sio kulinda amani.uwepo wa jeshi hapo ni ujumbe tosha kwa waliopo hapo.
 
Polisi watalaumiwa bure tu,watu wengine wanapanga maovu halafu eti polisi mnawalaumu kwa kipi mtu anayewapigia kelele polisi ni mharifu kama wahalifu wengine.
 
hivi wewe mvaatai hizi habari anakwambia nani?ujue humu kuna watu wenye upeo wa mkubwa,hizi story zinakuexpose na kukuacha wazi.

kila likitajwa la horace kolimba linaonekana kukugusa mkuu , vipi linakuhusu nini?
 
Maneno ya Mwigulu Nchemba yametimia... "Msipochagua ccm, mkachagua chadema, mtakufa" Ukitazama mikutano ya juzi ya kufunga kampeni ni wazi kwamba wananchi walichagua CHADEMA... Wamekufa
Acha uzandiki wewe mwigulu anawatesa kisiasa ndiyo maana mnamwandama lakini kumbukeni mnavyomwandama ndiyo mnazidi kumpandisha chati kisiasa.
 
Mtwara watu walikimbilia hospitali kupata hifadhi na usalama wao badala ya kukimbilia polisi, Arusha na sehemu nyingi tu polisi wanakataliwa na wananchi, hili jeshi lina nini hasa? inavyoonekana limebaki kama kichaka cha kufichia wezi, kuficha majangili, majambazi, wauza unga na bangi, kwa nini basi lisifumuliwe?

pia kutekeleza mauaji na kupalilia ugaidi wa ccm.
 
Mungu awatangulie Chadema wote, msiogope hakika mna Mungu na daima mtashinda,watu ARUSHA NYIE FAHARI YA USHINDI TZ.
 
Back
Top Bottom