Shinyanga mjini leo asubuhi watu walikuwa wanafuatilia matokeo wakapigwa na mabomu. Lakini wamerudi tena sahizi. Ofisi za manispaa zimepigwa moto, hakijaeleweka bado... matokeo yamechakachuliwa....
baada ya kutangazwa kuwa shelembi wa chadema ameshinda , uwanja wa manispaa ya shynga ulilipuka kwa furaha baada ya wafuasi wa chadema kuanza maandamano kulekea mjini shy kama km 2 kutoka manispaa, walipofika mjini shy,huku nyuma matokeo mengine yakatangazwa kuwa Masele wa CCM kashinda, ilichukua muda mashabiki wa chadema kugundua kuwa walikuwa wanashangilia ushindi usiokuwepo, hapo ndo fujo zikaanza ofisi za manispaa na ofisi ya ccm zimechomwa moto, mabomu na virungu na magari ya polisi yametanda mjini
a curious kenyan here, what does the phrase "......hadi kitaeleweka" mean?