Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

Shinyanga CCM wanahali njema na sema za bariadi kule kwa jinsi nilivyosikia kupitia Channel ten...Iringa mjini nimependa msimamo wao!!
 
Nami matokeo ya njombe yananishangaza sana. watu wa njombe wanatuangusha. tuendelee kupata matokeo zaidi. wadau huko endeleeni kutuhabarisha kwa data haswa njombe magharibi kwa thomas nyimbo.
 
Tafuteni takwimu tuitangazie dunia.....that in Tanzania there is a quiet revolution taking place........................
 
by renatus mutabuzi -ITV
Kashai
chadema kata 2 cuf kata 1
 
kwa mzee wa vijisent vipi huko, mramba, lowasa.....imekaaje kwa hawa bandugu?
 
kwa mzee wa vijisent vipi huko, mramba, lowasa.....imekaaje kwa hawa bandugu?

Kwa mzeee wa vijisent huko kwake anapita bila kupingwa hilo kwa wale wanyantuzu hawana tatizo nae kabisa na hao wamasai kumpitisha huyo mmeru hapo Monduli kama kawa yao

 
Hii ya kusema sehemu fulani safi, safi safi....... bila data ni uhuni
lete data usomeke
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, my home town!! sasa ccm mtaji haupo tena! tunaomba data mkuu. Weka figure mkuu zote Urais, Ubunge na madiwani.
 
Safi sana wasukuma wameamka shukrani kwa Dr. Slaa kuhamasisha wananchi !!!!!!!
 
Dr. Slaa ni mpiganaji ambaye atakumbukwa kwa muda mrefu saana katika historia ya nchi hii
 
Back
Top Bottom