Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
578
144
Taarifa nilizoona ITV sasa hivi toka huko shinyanga ni kuwa kuna system ilishatengenezwa ya kuchakachua ya mtu kupewa karatasi tatu za kupigia kura baada ya kuonesha ishara ya vidole vitatu kwa msimamizi.

Amekamatwa jamaa alishapiga kura tatu kwa jk tayari na sasa yupo lupango.
 
Was#$%^^&*(

hawatashinda kwa dizaini hiyo.
 
hata mimi nimesikia live toka shinyanga, halafu wanasema tukubali matokeo. Tutauana mwaka huu. Bila kuuana kidogo hakuna nidhamu hata kidogo. Je hii ndiyo maana walisema watashinda kwa kishindi. Wapuuzi wakubwa ccm
 
Hizo kula zake zote ziwe batili. Huyo ni mpinga maendeleo. Pia msimamizi naye amfuate mwenzake rumande
 
Mtindo huu nadhani umefanyika pia kunduchi mtongani zahanati ya mtakuja. Maana waligeuza box la kuandikia halafu msimamizi mkuu alipoambiwa ligeuzwe ili kila mtu aone akawa mkali mpaka sisi wapiga kura tukamuhoji kwa nini unakataa lisikae kama mabox mengine yalivyo unataka kufanya nini. Mzozo ukawa mkubwa mpaka polisi wakaingilia box likageuzwa. Mimi nashauri mawakala wahesabu idadi ya waliopiga kura na idadi ya kura kwenye box kuhakiki kama kuna uwiano
 
Hizo kula zake zote ziwe batili. Huyo ni mpinga maendeleo. Pia msimamizi naye amfuate mwenzake rumande

hIVI WANAJAMII SHERIA INASEMAJE KUHUSU KURUDIA KUHESABU/KUHAKIKI KURA? HAPA NAONA KUTAKUWA NA ULAZIMA WA ZOEZI HILI KAMA KUNA VIASHIRIA VYA NAMNA HII. NAOMBA UFAFANUZI KWA MWENYE UFAHAMU ZAIDI
 
Wangapi walishapiga kura 3 kabla ya huyu aliyekamatwa!!!!!!!???????

hapa hata mimi pamenishinda.....lakini si wana idadi ya waliopiga kura....kwa nini wasioanishe matokeo na wapiga kura....tushtuke jamani
 
Habari toka chanzo cha kuaminika shinyanga mjini CCM ina hali mbaya,Geita Chadema iko safi,Maswa Chadema safi
 
Nimependa sana matokeo ya IRINGA MJINI, YAANI ni mauaji matupu, CCM hawana lao ila hapoo njombe naona bado washamba flani ivi
 
Back
Top Bottom