Elections 2010 Yanayojiri huko Shinyanga

Ivi neno confirmed ndo data ,mnataka JF iwe kijiwe cha udaku
Weka data achana na mambo ya confirmed
 
tunasubiri nyamagana na ilemela pleasee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
 
Hongereni watani wangu wasukuma, hatimaye na ninyi mmeamka, mwenye matokeo ya jimbo la meatu, kishapu na sorwa atupatie data, asante manyusi!:yield:
 
Hongera sana Sukumaland kwa kuonyesha muamko mkubwa wa kisiasa kwa kuchagua mabadiliko.Kamwe msirudi nyuma na Mungu awabariki sana, amen.
 
Baada ya kile kinachoonekana kuwa ni uchakachuaji wa matokeo, wanachi wamerusha mawe na kumfanya mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga kuahirisha kutangaza matokeo. source: redio Faraja
 
Hawa WASIMAMIZI WA UCHAGUZI WATANGAZEE MATOKEO KWA WAKATIII..HATUTAKIII KULAZIMISHIWA FUJOOOOOOOO
 
hivi hawa wametumwa na Ibilisi kutuvuruga?
kuna ugumu gani kuhesabu kura na kupanga jedwali? Hata mtoto wa shule ya msingi si anaweza fanya....wananiudhi kweliii
 
Baada ya FFU kurusha mabomu ya machozi hali imetulia, mkurugenzi ameendelea na kutangaza matokeo. Tumshukuru Mungu
 
Back
Top Bottom