Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa, January 30

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa, January 30

Hivi anaweza kugombea tena ubunge na watazania wa Bariadi wakampitisha kwa "Kishindo"?
Ukistajabu ya Musa kweli utaona ya Firauni.

umesahau walimpokea kwa red carpet last time

wasukuma ni wa ajabu mkuu, usishangae
 
Pesa ya serikali inaliwa sana. Kuna watumishi wa serikali hawako kazini zaidi ya miezi 4, lakini bado wanalipwa mishahara. Kwa staili hii ufisadi hautaisha kamwe!
 
Mdee amenikosha sana,, amesema., ' chenge wewe ni jamaa yangu lakini sasa nimeamua nikufungukie maana kila maali upo'

afu akarusha mkono like 'to hell, liwalo na liwe'

Mzee chenge amemtisha mdee kwamba kama ana ubavu na wengine wote wajaribu kumsema wakiwa nje ya bunge waone
 
Nchi ya ajabu sana hii. Cha ajabu hawezi kufuatiliwa kujua mali zake na uhalali wa mali alizonazo...!
 
Chenge amemwambia halima apeleke ushahidi. Baadhi ya wabunge wanataka kuwatumia wenzao ili kujitafutia umaarufu wa kisiasa tusisahau huu ni mwaka wa uchaguzi.

Hiyo sio sababu,wewe unaridhika kusikia bandari wanapeana posho ya bilioni tisa,bila idhini ya serikali wakati wagonjwa hawana madawa
 
Nimemuona chenge kwa macho yangu jinsi alivyohamaki hivi huyu mzee hata aibu haoni kila kunapotokea ubadhilifu wa pesa ya umma yeye lazima awe ameshiriki kweli huyu mzee bonge la mwizi
 
umesahau walimpokea kwa red carpet last time

wasukuma ni wa ajabu mkuu, usishangae

Safari hii,walimzomea sehemu inaitwa nyakabindi...walimzomea baada ya kuwaambia umati uliokuwa ukimsikiliza kwamba wapinzani hawa wahuni wakipita hapa muwazomee,lakini umati ukaguna....na ndipo akawaambia mimi nawaletea pesa halafu mnanizomea?
Umati ukaanza kumzomea mpaka ilipolazimika polisi kumtoa kwa kumsindikiza ili asidhurike.
 
Chenge tumwaadhibu sisi wananchi wenyewe kwa style ile ya vibaka wa mitaani(visha tairi then...).

Hii kwa tanzania bado sana labda uarabuni huko… sanyingine huwa napenda mfumo wa islamic state mana wao ukiiba hata kijiko unanyongwa mbele za watu sasa huyu chenge sijui wangemnyofoa kiungo kimoja baada ya kingine kama kwa tevez tu
 
Mkuu nikisaidie kitu kuhusu ufafanuzi wa gaidi.ni kuwa kabla ya mwaka huu wa fedha serikali ilikuwa inapeleka pesa taasisi husika mf halmashauri then halmashauri wanakulipa wewe kadri unavyostahili.ila kwa sasa hazina inalipa moja kwa moja yenyewe baada ya kupata taarifa toka halmashauri
 
Hivi huyu Chenge ni nani ndani ya nchi hii hadi kila wizi unaofanyika lazima ahusike?

kibogo;
Ninatamani nikujibu hivi; Kama kuna malikia wa mchwa, Chenge ni Mfalme wa mchwa. Mchwa unapekecha nguzo taratibu huku ikijitahidi kufunika palipo toboka. mchwa unakula nguzo, ukiwa mjinga au kipofu au ukiwa safarini, ukija rudi nyumba ishaanguka. Chenge amesomea kughushi. Piga yake ni kwa mabilioni. Chini ya bilioni kwake ni vijisenti tu. Chenge ni nusa nusa, popote palipolundikwa hela anaijua harufu yake. Lazima azitafune tuuuu
 
Polisi yetu bado inafuata matakwa ya mtawala,ni sawa na polisi wa kikoloni.Hili la kutumia polisi kuleta mikataba ni porojo ili liende.Ni kama alivyosema mkuu mmoja "ni upepo tu...utapita" Reformation inahitajika kwa kuanza na sheria mama ndipo vyombo vingine vya dola.Na hapa itafanyika endapo tu tutapata Rais mzalendo wa kweli.
Na kwa muendelezo hata mwenyekiti wa PAC amesema imebidi watumie polisi leo ili kuwalazimisha TPDC wawape mikataba ya gesi na madini leo mchana
 
Back
Top Bottom