Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa, January 30

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa, January 30

... Huyu Chenge Ni Zaidi Ya Panya Buku. Anatafuna Hadi Chuma, Bora Aliemuumba Amrudishe Alikotoka Ili Jina La Bwana Lihimidiwe
 
mimi sijamwelewa mtoa mada...ila kuna jamaa yangu leo mwaka wa tatu anadai halipwi
 
Mzee ameongea mpaka nimejisikia vibaya.mwacheni chenge apumzike sasa.
 
Mdee amenikosha sana,, amesema., ' chenge wewe ni jamaa yangu lakini sasa nimeamua nikufungukie maana kila maali upo'

afu akarusha mkono like 'to hell, liwalo na liwe'
 
.... Chenge Ni Mhujumu Uchumi Wa Taifa La Tanzania. Akamatwe Mara Moja.
 
Tuungane na China tuwe nchi moja. Vigogo mafisadi wote hawa watanyongwa.
 
CHENGE ana roho mbaya sana ! Hivi huyu jamaa ana ndugu kweli jamani ? Maana sijawahi kuona dadake chenge au hata kaka yake .

wapo ndugu zake yupo kaka yake mmoja anaitwa makoye chenge anakaa Nyashimo wilaya ya Busega mkoa wa simiyu....nimesoma na binti yake anaitwa Ellen makoye chenge kabita secondary#finder boy
 
hata mimi nimeiona CHENGE alikunja sura kuambiwa ukweri ila halima ni kamanda kwa wabunge wanawake CHADEMA hakuna mwingine
 
Chenge amemwambia halima apeleke ushahidi. Baadhi ya wabunge wanataka kuwatumia wenzao ili kujitafutia umaarufu wa kisiasa tusisahau huu ni mwaka wa uchaguzi.
 
.... Apumzike Kwa Kazi Gani Aliyofanya, Ya Wizi? Jambazi Mkuu Yule

mkuu ungejua mambo wanayofanya hawa wabunge wanaowasema wenzao ungesikitika sana.politics is a dirty games.
 
Back
Top Bottom