issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
kuna umuhimu NEC ikaweka sheria ya wagombea ubunge angalau awe na digrii moja.maana mazombi ya kusinzia bungen hayaelewi kinachoendelea nchini yamebakia kusifia ujinga tu bungeni
Lema: Kama ningeweza kupendekeza pia kwenye Amri Kumi za Mungu, ningependekeza iongezwe amri ya 11 inayosema 'USIWE CCM'
kuna umuhimu NEC ikaweka sheria ya wagombea ubunge angalau awe na digrii moja.maana mazombi ya kusinzia bungen hayaelewi kinachoendelea nchini yamebakia kusifia ujinga tu bungeni
Hivi huyu Chenge ni nani ndani ya nchi hii hadi kila wizi unaofanyika lazima ahusike?
CHENGE ni mashine kila kona yupo
huyu ndio ccm na ccm ni yeye wengine wanaunga tela tu
Hivi huyu Chenge ni nani ndani ya nchi hii hadi kila wizi unaofanyika lazima ahusike?
lete ushahidi
Hivi hii nchi inalaana?