Suala la mgogoro wa Kikati kuhusu kupitisha Bajeti litakuwa baya zaidi endapo tu Katiba inayopendekezwa itapitishwa katika kura ya maoni.Katiba Inayopendekezwa iliyoandikwa na Chenge,Ibara ya 132(6),Rais anapewa madaraka ya kulivunja Bunge kama bajeti au muswada hautapitishwa na Bunge.Dawa ya tatizo hili ilipatikana kupitia Tume ya Warioba Ibara ya 122(6) lakini Sita na washirika wake akina Chenge wameliondoa pendekezo hilo.Mgogoro huu wa Kikatiba ni mwanzo tu,tutaona mengi zaidi.....Kama Bunge lingekuwa na meno mikataba mibovu ingeletwa mezani kujadiliwa na waliotenda uharamia huo wangewajibika haraka kisheria.Kwa nini kila wakati awe Chenge tu?Kuna nini hapo?Pamoja mkuu,sasa mzee mapesa cheyo,ndio anaongea kuhusu mgogoro wa kikatiba kuhusu tanzania bara kutopitisha bajeti yake bila bunge kuwa na akidi ya zanzibar.
Jambo ambalo limemlazimu AG kusimama ili kulitolea ufafanuzi lakini imeshindikana na kiti kimemwambia kulirudisha kwenye kamati ya mambo ya katiba ili kulijadili kwa weledi.
amri ya 11 usiwe ccm
amri ya 11 usiwe ccm
Alishasema yeye ni tumbili hivyo hata hili pia ataliruka bila wasiwasi.
Mkuu sijakuelewa,kalia kuambiwa ukweli kuhusu dili la ndege au?Chenge kalia wadau,, kalia live.