Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa, January 30

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa, January 30

"Kama Mungu angeongeza amri katika amri zake, amri ya kumi na moja ingekuwa USIWE CCM" ...Godbless Lema (MB)

Hii kauli itawatesa sana CCM, kama Kopa alivyoteswa na taarabu ya mtu mzima ovyo ya Nasma Khamisi Kidogo (R.I.P).
 
Lema: Kama ningeweza kupendekeza pia kwenye Amri Kumi za Mungu, ningependekeza iongezwe amri ya 11 inayosema 'USIWE CCM'
 
Lema ametia aibu sana naona bange aliyovuta leo hakutoa mbegu, Wana Arusha tunasubiri Machinga Comlex na Hospitali ya mama na mtoto, yeye anazungumzia habari za aunty ezekiel na getto Lema aage kabisa bungeni harudi tena.

Iko siku utajuta kutukana wanaokutetea kwa sababu unaowatetea wanafanya kazi ya kiibilisi. Hata sasa wanakudhuru ila hujitambui tu.
 
Kweli kabisaa kwani ccm ndio imekua adui mkubwa wa taifa letu. kila siku wabunge wanajadili wizi wa rasilimali za watanzania wakati hospitalini hakuna madawa mashuleni hakuna madawati walimu nao hawajalipwa stahiki zao. ccm ni ful matatizo.
 
Achana nao hao.......siamini kama huwaga wanatumia akili waliyopewa na Mwnyez Mungu.....kwanza watu wnyew hata kumi hawafiki kati ya maelfu tuliomo humu!!!
...achana nao mkuu kuna cku watajitambua tuzid tu kuwaombea!!!!

Hata watakaoingia peponi ni wachache. Kaa hukohuko kwa wengi.
 
Sijui kama ulichoandika hata wewe mwenyewe unakielewa. Subiri wenzako wake kukusuport
 
Lema: Kama ningeweza kupendekeza pia kwenye Amri Kumi za Mungu, ningependekeza iongezwe amri ya 11 inayosema 'USIWE CCM'

Kizazi cha shetani mnooana wanaume kwa wanaume.
Sera za Kameruni zinawaathiri.
 
Ni katika suala la mikataba mibaya ya wizi wa ATCL,serikali ilkodisha ndege kutoka liberia ambayo ilikuwa imebakiza miezi sita ili ifanyiwe marekebisho makubwa baada ya kutimiza umri w miaka 12.

Serikali ilianza kuilipia hata kabla haijaletwa nchini kuanza kazi husika na ilifanya kazi miezi sita tu, lakini sasa serikali imeendelea kuilipia kwa kiasi cha dola milioni ishirini na tano na inadaiwa bafo kiasi takribani milioni nyingine takriban 25USD.

Waziri wa miundombinu ni yuleyule mzee Chenge na Halima mdee amemtaja live humo bungeni.
Andrew chenge....amehamaki na kusimama akamuomba Halima Mdee atowe ushahidi kama anao, jambo ambalo mdee amesema atalifanya kwa kufuata kanuni za bunge.

Pia kuhusu Idd Simba, Halima mdee amemlipua kwa kuwa nyuma ya Simon group, kampuni ambayo inahusika na kashfa ya UDA na pia kashfa ya uhamishaji wa kampuni ya PRIDE ambayo imehamishwa kinyemela toka serikalini na kumilikishwa kwa Idd simba.

Chanzo ni TBC live bungeni saa hii
 
Yaani nchi yetu viongozi ni kula hapa kula kule, hakika hatutasalimika kama watanganyika hatutafanya maamuzi magumu na ya ukweli..
 
Safi kwa kutujuza yanayoendelea

Pamoja mkuu,sasa mzee mapesa cheyo,ndio anaongea kuhusu mgogoro wa kikatiba kuhusu tanzania bara kutopitisha bajeti yake bila bunge kuwa na akidi ya zanzibar.
Jambo ambalo limemlazimu AG kusimama ili kulitolea ufafanuzi lakini imeshindikana na kiti kimemwambia kulirudisha kwenye kamati ya mambo ya katiba ili kulijadili kwa weledi.
 
Ni katika suala la mikataba mibaya ya wizi wa ATCL,serikali ilkodisha ndege kutoka liberia ambayo ilikuwa imebakiza miezi sita ili ifanyiwe marekebisho makubwa baada ya kutimiza umri w miaka 12.

Serikali ilianza kuilipia hata kabla haijaletwa nchini kuanza kazi husika na ilifanya kazi miezi sita tu, lakini sasa serikali imeendelea kuilipia kwa kiasi cha dola milioni ishirini na tano na inadaiwa bafo kiasi takribani milioni nyingine takriban 25USD.

Waziri wa miundombinu ni yuleyule mzee Chenge na Halima mdee amemtaja live humo bungeni.
Andrew chenge....amehamaki na kusimama akamuomba Halima Mdee atowe ushahidi kama anao, jambo ambalo mdee amesema atalifanya kwa kufuata kanuni za bunge.

Pia kuhusu Idd Simba, Halima mdee amemlipua kwa kuwa nyuma ya Simon group, kampuni ambayo inahusika na kashfa ya UDA na pia kashfa ya uhamishaji wa kampuni ya PRIDE ambayo imehamishwa kinyemela toka serikalini na kumilikishwa kwa Idd simba.

Chanzo ni TBC live bungeni saa hii

Nimeikosa kidgo hiii…
 
Yani huyu lema amechanganyikiwa hadi kumdhihaki Mwenyezi MUNGU kwa kumsemea! Lema angalia kauli zako, sbb hata huko upinzani kumejaa ubadhirifu sema tu mnabebwa, sishabikii chama chochote ila wote mmejaa ubadhirifu!
 
Back
Top Bottom