Wizi umekithiri serikalini ndio maana wasomi,maprofesa wanakimbilia siasa ili waingie serikalini wakaibe kisomi. Sisi wafanyakazi tunabebeshwa mzigo mkubwa wa kodi ili mradi tufidie hasara ya wizi uliofanywa na viongozi serikalini. Mtu tuliyempa dhamana ya serikali ndio huyo ameshindwa kuwawajibisha wahusika kiasi kwamba tunapata mashaka kuwa anashirikiana nao,iko siku unga na maji kipi kitazama!