Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa, January 30

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa, January 30

nilifundishwa kuichukia CCM tangu utotoni sasa ndio naelewa kwann nilifunzwa hivyo.
 
Chenge,Idd Simba,Robert Mboma ndiyo vinara wa ufisadi tanzania!!!yapaswa wanyongwe hadharani
 
.... Kwakuwa Chenge Amekuwa Mpigaji Mkuu Wa Hela, Apewe Tuzo.!
 
Huyo ndio ''Mastermind" . Ni kama vile ndio focal point ya deal nyingi za ufisadi.
Cha ajabu anataishia kwenye lawama lakini hakuna wa kumshtaki kwa maana anajua mengi sana kuhusu wizi wanaofanyiwa raia wa nchi yetu.

Hivi huyu Chenge ni nani ndani ya nchi hii hadi kila wizi unaofanyika lazima ahusike?
 
... Kwanin Wenje Amepeleka Amendment Yake Bila Kuangalia Mhuri Umegongwa Lini? Hatuko Makini
 
mleta mada amesoma kiswahl inji gan? hajui hata maana ya kauli tata...kauli tata ni kauli amby ukiitoa inaleta maana zaidu ya moja...mh kamanda kasema "usiwe ccm" hakuna utata hapo maana ni moja tu kua ni dhambi kua mwanachama wa chama cha mapinduzi....na nasema usiwe ccm
 
najua yumo humu naomba tulipwe malimbikizo yetu sisi walimu tumechoka hizo hela tunakazi Nazi.
 
Suala la mgogoro wa Kikati kuhusu kupitisha Bajeti litakuwa baya zaidi endapo tu Katiba inayopendekezwa itapitishwa katika kura ya maoni.Katiba Inayopendekezwa iliyoandikwa na Chenge,Ibara ya 132(6),Rais anapewa madaraka ya kulivunja Bunge kama bajeti au muswada hautapitishwa na Bunge.Dawa ya tatizo hili ilipatikana kupitia Tume ya Warioba Ibara ya 122(6) lakini Sita na washirika wake akina Chenge wameliondoa pendekezo hilo.Mgogoro huu wa Kikatiba ni mwanzo tu,tutaona mengi zaidi.....Kama Bunge lingekuwa na meno mikataba mibovu ingeletwa mezani kujadiliwa na waliotenda uharamia huo wangewajibika haraka kisheria.Kwa nini kila wakati awe Chenge tu?Kuna nini hapo?

Na kwa muendelezo hata mwenyekiti wa PAC amesema imebidi watumie polisi leo ili kuwalazimisha TPDC wawape mikataba ya gesi na madini leo mchana
 
Acha chenge apige deal maana matanzania ni majinga sana tena hayafai kuwa duniani. kulalamika tuuuuuuuu majinga sana.
 
sijui kwa nini andrew mpaka leo hii yupo madarakani, yaani kwa maskendo yake yote ya kuliingizia taifa loss angetakiwa awepo segerea. nashangaa kumuona uraiani :A S confused:
 
Back
Top Bottom