commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
Polisi yetu bado inafuata matakwa ya mtawala,ni sawa na polisi wa kikoloni.Hili la kutumia polisi kuleta mikataba ni porojo ili liende.Ni kama alivyosema mkuu mmoja "ni upepo tu...utapita" Reformation inahitajika kwa kuanza na sheria mama ndipo vyombo vingine vya dola.Na hapa itafanyika endapo tu tutapata Rais mzalendo wa kweli.
Well said mkuu,
Ila nimeamini simon group iko na mkono wa ikulu.
Nasema hayo kwani nimeshuhudia leo kiti pamoja na AG wakitumia kila aina ya mbinu,na kwa nguvu za ziada kuwazuia wachangiaji kuhakikisha haijadiliwi bungeni pamoja na ushahidi kwamba kesi zilizoko mahakamani mlalamikaji ni manispaa na sio simon group😱